Hii haina ubishi na hili inathibitishwa na watu wengi waliohojiwa kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 17 ya kifo cha nyerere.

usije ukawaletea watu balaa kama yule kijana wa arusha wa m7
Inabidi hospital ya Mirembe ipanuliwe tu, hilo halina ubishi!Ngoja nikausome ule utafiti kuhusu kila watanzania 4...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] umetsha mkuuMkisha kunywa pombe za bure weekend basi mnasifia tu.
Khaaaaaa!!!Afadhali angemlinganisha na jk kwakuwa tuna kigezo cha kufanana herufi
Yaani julius kambarage jk na jakaya kikwete jk
Hii haina ubishi na hili inathibitishwa na watu wengi waliohojiwa kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 17 ya kifo cha nyerere.
Usishangae wala kucheka mkuu, ndo hivyo tena hakuna namnaKhaaaaaa!!!