Magufuli ni zaidi ya Nyerere

Magufuli ni zaidi ya Nyerere

Awamu hii ya 5 Mh Magufuli mpaka sasa amejitahidi sana kupambana na rushwa hasa kwa wafanyabiashara na watumishi wa uma, hongera sana Mh rais John Pombe Magufuli
 
Mbona juzi tumeambiwa Na Mkubwa mmoja kuwa hakuna kiongozi anayefafana Na Nyerere Kwa Vitendo?
 
Tumepata msiba wa kitaifa kagera hata kwenda kuhani kashindwa leo unamfaninisha na Nyerere. Tema mate chini.
 
Inawezekana kapitiliza in positive or negative side! Mwandash alituachia hadhira tunga'mue kwa fikra zetu
="Balagha, post: 18067297, member: 391798"]
Hili halina ubishi na linathibitishwa na watu wengi waliohojiwa kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 17 ya kifo cha Mwl J.Nyerere.
14721669_10154621151309339_6157589127975420243_n.jpg
[/QUOTE]
 
Kwa vyovyote vile mnamaanisha Steve Nyerere.... yule mchekeshaji fulani hivi.
 
Back
Top Bottom