Magufuli ni mungu

Magufuli ni mungu

Mbingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
411
Reaction score
230
Dr. Magufuli ni kama Mungu mdogo yaani kwenye psychology wanasema ni miniature God maana tamko lake lina nguvu.

Alitamka kuwa madawati yametengenezwa kwa muda mfupi na ongezeko la mishahara imewezekana, pamoja na kuwa kila mfanyakazi wa umma hujaza mkataba ambao hutamka ya kuwa kila July kutakuwa na ongezeko la mshahara yaani (increments) ila yeye kavunja huo mkataba.

Je, kuna mahali anaweza kushitakiwa?
 
Idd Amin alitoa agizo kwa wahindi waondoke uganda chini ya masaa 24 wakatekeleza. Je amin alikuwa mungu ?....mungu aliyefia ugenini..!
 
Dr Magufuli ni kama mungu mdogo yaani kwenye psychology wanasema ni miniature God mana tamko lake linanguvu Alitamka kuwa Madawati yametengenezwa kwa mda mfupi, No ongezeko la Mishahara imewezekana pamoja na kuwa kila Mfanyakazi wa Umma hujaza mkataba ambao hutamka yakuwa kila July kutakuwa na ongezeko la mshahara yaani ( Increments) ila yeye kavunja huo mkataba Je kunamahari anaweza kushitakiwa nani wakili mzuri tum SUE Magufuli...?
Njaa ya asubuhi.
 
Ni hatari sana ukichanganya viloba, bange na siasa! Madhara yake ni kubwabwaja ovyo!
 
Back
Top Bottom