Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,084
Magufuli siyo MUNGU.Dr Magufuli ni kama mungu mdogo yaani kwenye psychology wanasema ni miniature God maana tamko lake lina nguvu. Alitamka kuwa madawati yametengenezwa kwa muda mfupi na ongezeko la mishahara imewezekana, pamoja na kuwa kila mfanyakazi wa umma hujaza mkataba ambao hutamka ya kuwa kila July kutakuwa na ongezeko la mshahara yaani (increments) ila yeye kavunja huo mkataba.
Je kuna mahali anaweza kushitakiwa?
Na Hafanani na MUNGU.
Na Siyo kama MUNGU.
Kwa imani ya dini yangu vitabu vinasema MUNGU Hafananishwi na chochote.