Magufuli ni mnafiki kama Kikwete

Magufuli ni mnafiki kama Kikwete

Iv kati ya magufuli na chadema nan mnafik? Kama walimkandia lowasa kuwa fisadi kisha wakamsimamisha kugombea uraic, achen siasa zenu za maji taka
Mkuu maji taka ya kwako mbona mijizi yote ya halmashauri juu ya ccm waliimba mchana kweupe kuwa wanaimani na lowassa au hukuangalia TV mkuu
 
Magufuli jinsi siku zinavyoenda ndivyo unafiki wake unajianika haya tena listi ya mawaziri anaowapa vyeo ndio wale wale wenye visa na wasio na tija kwa wananchi nadhani hofu inamshika kwa sababu na yeye ni fungu la mafisadi rejea ripoti ya CAG alipokuwa wizara ya ujenzi
 
WAPINZANI/ WATUMBULIWA MAJIPU MNAHANGAIKA KUMCHAFUA MAGUFULI KILA KUKICHA MNAHANGAIKA SANA

YAANI NAWAFANANISHA NA MWANAMKE ANAYEFIKA MSHINDO WAKE ANAVYOHANGAIKA NDIO SAWA NA NYIE

Umeona huo mfano ndio muafaka sana? Hivi we umezaliwa na nani usiye na soni, jamiiforums inasomwa na watu wa rika mbalimbali jiheshimu... utaheshimiwa
 
Umalizwaji wa suala la Zanzibar ni kwa kurudia uchaguzi na wala si kwa rais kuvunja katiba na kuingilia mamlaka ya tume.
Maelezo yako yanakubaliana na mtazamo wa jamaa kuwa alichokisema mwanzo hakikuwa sahihi
 
Mtazungumza maneno mengi na vijembe vingi lakini ukweli ni kwamba Rais hana mamlaka kisheria kuingilia maamuzi ya tume ya Uchaguzi, iwe NEC au ZEC. Tume hizi zina mamlaka huru yasiyohojiwa na rais yeyote. Iwe zimefanya maamuzi mabovu au zimefanya maamuzi manzuri rais hawezi kuizingilia kisheria.
Sasa aliahidi Bungen akiwa anajua hana mamlaka
 
Umeona huo mfano ndio muafaka sana? Hivi we umezaliwa na nani usiye na soni, jamiiforums inasomwa na watu wa rika mbalimbali jiheshimu... utaheshimiwa

Si Bora Wanawake wanafikia siku zao, na Niasili, Wewe Kinachowatoka Katika siku zao si Ndio Kinakutoka Mdomoni, (Matusi, Kwa kukusa ufahamu wa Kujibu kwa hoja)
 
Kwa kuanzisha msemo wa majipu, unataka serikali ikupe nishani au labda unataka siku yako ya kuzaliwa igeuzwe kuwa ni siku ya mapumziko?.

No Nataka CCM Muwe Original, Magufuli Mimi Sisemi Tena Juu yake! It does not matter to me anymore! Asiyetaka Kukosolewa anaelekea aibu na anguko!
 
No Nataka CCM Muwe Original, Magufuli Mimi Sisemi Tena Juu yake! It does not matter to me anymore! Asiyetaka Kukosolewa anaelekea aibu na anguko!
Wanaomkosoa Magufuli wanamuombea kwa Mungu ili asije kulewa sifa na kuingia kwenye mitego ya wafanyabiashara wa kitanzania wenye sifa ya kuishi maisha ambayo yamejaa magumashi.
 
Si Bora Wanawake wanafikia siku zao, na Niasili, Wewe Kinachowatoka Katika siku zao si Ndio Kinakutoka Mdomoni, (Matusi, Kwa kukusa ufahamu wa Kujibu kwa hoja)
Kaka usijifanye huna akili, pima unayoandika. Usijifanye mwehu sana kuliko wendawazimu wanaozurura mabarabarani, tumia lugha ya kiungwana achana na ukaidi wa kipumbavu.
 
Kaka usijifanye huna akili, pima unayoandika. Usijifanye mwehu sana kuliko wendawazimu wanaozurura mabarabarani, tumia lugha ya kiungwana achana na ukaidi wa kipumbavu.
Nakuelewa Ni kwa Vile saa Nyingine watu wako so rude, Mtu unajaribiwa Kuwajibu Kulingana na Maneno yao, Lakini Ni Kweli inafedhehesha. "Kuna Mmoja aliniambia Nife Nimfuate Baba yangu Jehanam" I just said "Wow" but not always one can be gracious, Ila siasa inahitaji Uvumilivu!
 
Wengine tulukuwa tunajua kuwa kiongozi hasili c pombe ile yule mzee wa handeniwenye akitokea ntwara hakuna atakachofanya kwa ajili ya tanzania kwnza ipa atafanya kwa ajili ya waliomleta kwenye urais

Kama kungekuwa na uwezekana kujifuta utaifa mi ningekuwa niko kuweiti
Pumbavu ccm na sisitimu nzima
 
Kabla ya Kuzungumza dhumuni Kubwa La Post Hii Napenda Niweke wazi Kuwa, Kwa Miaka Mingi, Kuwashinda hata wengi wa wanaCCM, Nilitambua Uwezo Mkubwa wa Magufuli wa Kufanya Kazi. Nilikuwa na Shukurani Kubwa sana Kwa Magufuli kwa Upendo wake kwa Tanzania na Watanzania. Nilimpenda zaidi Kwa Tabia yake ya Kutokumwogopa yeyote.

Bahaati Mbaya sana Magufuli anatabia Moja mbaya, Ni Mnafiki, sio Mkweli Kama anavyosema "Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu" Inapofikia Katika Maswala ya Siasa Magufuli sio mkweli wala mwenye haki, inayofanana na Magufuli wa Ujenzi wa Taifa na Huduma za Jamii.

Unafiki wa wazi ni Pale aliposisitiza Kuwa ati Majaji walimwambia Kuwa Hawana haja ya Kuonekana Live, akiwa anaweka dhana Kuwa Majaji wanamuunga Mkono kwa Kuingilia Utendaji wa Bunge. Swala la Kukatisha matangazo ya TBC ilikuwa ni kwa Lengo la Kuubana Upinzani Bungeni na Kuruhusu Uonevu. Kusema Vinginevyo Ni Unafiki,

Swala Lingine Lilikuwa Ni swala la Zanzibar, Magufuli anajua wazi, Kikwete na Mkapa, walishinikiza Jecha Kufuta matokeo kwa Maslahi ya CCM, Magufuli anajua kuwa NEC, na ZEC sio Tume Huru. Magufuli anajua Uhuni Uliotendeka Zanzibar, Kwa yeye Kujifanya Jecha alifanya maamuzi yake Kikatiba Ni Unafiki.

Watu wanasahau Kuwa Sio Madictator wote Ni wa Aina ya Mobutu, Wengine walikuwa Madictator wa Kuchaguliwa na Watu waoliwaabudu, Madictator hao walikuwa Tayari kutoa damu yao Kuwapa watu wao Wainywe kama wana Kiu. Lakini kwenye Ukubwa wangemtoa yeyote Roho. Mfano halisi alikuwa ni Adolf Hitler. I hope Magufuli Ataacha Unafiki When it comes to Politic.

Mnamjua Mpanju yule Jamaa wa Bunge la Katiba, sasa Hivi kapewa Ukubwa Kwenye Wizara ya Sheria na Katiba.
Mnamkumbuka Makonda na siasa zake za maji taka, Naye Pia alikuwa Kwenye Bunge la Katiba, Magufuli sasa anampa Chapuo
Naaamini hata Bi Asha Bakari asingefariki, angepewa Madaraka Makubwa Kwa Kumtukana Jusa Bungeni! Huyo Ndiye Magufuli Mwanasiasa!

Sikiliza Maneno Yake Katika Sherehe za CCM, Msikilize Mpka Mwisho, Kuna Mahali aliropoka Ukweli, Kuonyesha Zanzibar ilikuwa Ni "Kukataa Kutawaliwa"

Mbona unaonekana apa mnafiki ni wewe,usituletee majungu ya ukawa apa tafuta jinsi nyingine ya kutueleza,acha JPM apige kazi zake/majipu kuyatumbua
 
Si Bora Wanawake wanafikia siku zao, na Niasili, Wewe Kinachowatoka Katika siku zao si Ndio Kinakutoka Mdomoni, (Matusi, Kwa kukusa ufahamu wa Kujibu kwa hoja)

Hebu pigia mstari hilo tusi nililoliandika ambalo mimi binafsi silijui. Nimekuonya kuhusu language na si kwamba nimekosa hoja, ni wewe ndio umekosa hoja kama hujitambui
 
Hebu pigia mstari hilo tusi nililoliandika ambalo mimi binafsi silijui. Nimekuonya kuhusu language na si kwamba nimekosa hoja, ni wewe ndio umekosa hoja kama.

Ulisema maneno haya. kama hudhani ni matusi basi mimi nijinyamazie!

WAPINZANI/ WATUMBULIWA MAJIPU MNAHANGAIKA KUMCHAFUA MAGUFULI KILA KUKICHA MNAHANGAIKA SANA

YAANI NAWAFANANISHA NA MWANAMKE ANAYEFIKA MSHINDO WAKE ANAVYOHANGAIKA NDIO SAWA NA NYIE
 
Huu ni ukasuku. Magufuli kama Rais, ana mamlaka kikatiba kuingilia na kushughulikia jambo lolote linalohusu utengamano, umoja na usalama wa nchi. Msikariri kama kasuku kwa vile tu yeye kamsema kuwa hana mamlaka.

Mtazungumza maneno mengi na vijembe vingi lakini ukweli ni kwamba Rais hana mamlaka kisheria kuingilia maamuzi ya tume ya Uchaguzi, iwe NEC au ZEC. Tume hizi zina mamlaka huru yasiyohojiwa na rais yeyote. Iwe zimefanya maamuzi mabovu au zimefanya maamuzi manzuri rais hawezi kuizingilia kisheria.
 
shida ya kukariri.

Una uhakika gani kurudia uchaguzi uliofutwa kidikteta na Dikteta Jecha, kutamaliza tatizo la udunishaji wa demokrasia Zanzibar?

Umalizwaji wa suala la Zanzibar ni kwa kurudia uchaguzi na wala si kwa rais kuvunja katiba na kuingilia mamlaka ya tume.
 
Back
Top Bottom