Magufuli ni mnafiki kama Kikwete

Magufuli ni mnafiki kama Kikwete

Unafiki wake Mwingine:


SIKU YA KUHUTUBIA BUNGE:
Suala La Zanzibar tutalishughulikia na
tutalimaliza haraka.....


SIKU YA XMAS:
Kama nilivyoahidi bungeni
suala la Zanzibar tutalimaliza
karibuni


SIKU YA WAZEE WA MKOA
WA DAR:
Suala la Zanzibar hatuwezi
kuliingilia kwasababu tume
huru na haiwezi kuingiliwa na
chombo chochote...
Yuko sahihi kabisa! Limeshughulikiwa na ndo maana uchaguzi unarudiwa! Basiiiii
 
Malalamiko kwa kwenda mbele. Rais wa mioyo ya UKAWA alishindwa kujibu maswali ya mtangazaji wa BBC, akaishia kusema anaonewa!!. Leo hii wafuasi wake wamebaki na nongwa mioyoni. Waliompa kura Magufuli walijua wanachagua binadamu hawachagui malaika.
 
Mtazungumza maneno mengi na vijembe vingi lakini ukweli ni kwamba Rais hana mamlaka kisheria kuingilia maamuzi ya tume ya Uchaguzi, iwe NEC au ZEC. Tume hizi zina mamlaka huru yasiyohojiwa na rais yeyote. Iwe zimefanya maamuzi mabovu au zimefanya maamuzi manzuri rais hawezi kuizingilia kisheria.
Kwa hiyo mwanzoni alipohutubia bunge alikuwa anayo mamlaka?
 
Hoja zikizimwa Utaona? Wakisingiziwa Kitu na Kuadhibiwa Utajua? Wakijadili maswala Kadhaa yasiyopendwa na Serikali Utayaona? By the way I don't have time to answer hypocrites. Unajua Vizuri sana Hoja, Ubishi uliopo hapa Ni mwendelezo huo huo wa Unafiki wa Wenzako.
Pole aisee
Yaani mtu akihoji kitu anaonekana "hypocrites na mnafiki "
Unataka uishi ktk jamii ya wasomi bila kuhoji ?!
Unachojua wewe sio kwamba wote wanajua kutoa mtazamo wako sio vibaya ndio maana kuna jamii forum

Una jazba aisee

Ni matumaini yangu utajifunza kitu kutokana na hili
 
1. Kazi wanayoifanya inabaki kuwa siri ya jengo la bunge

3. Jukum la kuisimamia serikali linabaki kuwa siri ya spika na wabunge....wananchi wapo gizani ....ambao ndio wahusika wakuu

4. Uchaguzi utakapo rejea tena sio rahisi kufanya uchaguzi sahihi

- upo uwezekano wa chama tawala watatekelezewa maombi yao kwa upendekeo na kuonekana wanafanya utetezi vema wa majimbo yao ( Mfano leo taarifa ya habari 2000hrs itv.....wananchi wamegomea umeme kupita katika ardhi yao kuelekea kibakwe- jimbo la aliekuwa waziri wa nishati Simbachawene....huu ni upendeleo, kwanini uvushe vijiji kibao kupeleka jimboni kwako ukiacha vijiji kibao njiani?)

- upo uwezekano wa upinzani wakatetea nakujenga hoja bora kabisa ....lakini wakapuuzwa....majimbo yao yakakosa maendeleo iliwaonekane wahovyo......

Ilikujenga dhana ya uwazi, uwajibikaji na weledi.....wanaanchi wapewe nafasi kuona moja kwa moja nini wabunge wao wanafanya ilikufanya maamuzi sahihi.
Uliyoongea yawezekana yakatokea
Nimekuelewa mkuu
 
Magufuli ni mshamba tu, kuwa mnafiki inabidi uwe na akili kidogo ya kudanganya. Akili ambayo Magufuli hana.

Ukimwita mnafiki unampandisha cheo.
 
Pole aisee
Yaani mtu akihoji kitu anaonekana "hypocrites na mnafiki "
Unataka uishi ktk jamii ya wasomi bila kuhoji ?!
Unachojua wewe sio kwamba wote wanajua kutoa mtazamo wako sio vibaya ndio maana kuna jamii forum

Una jazba aisee

Ni matumaini yangu utajifunza kitu kutokana na hili

Hapo Umesema Kweli, I was wrong to attack you, I am verry sorry about that
 
Mshamba ni wewe ambaye unataka kuwafanya watanzania wote wakubaliane na hoja zako, hata kama hazina nguvu wala ushawishi.
Nataka Watanzania wote wakubaliane na hoja zangu kivipi?

Huko kijijini kwenu chini ya mapango nako wana internet access kwani?
 
Magufuli inabidi umheshimu, ameshasema atakayemchezea ajiandae kubomolewa. Ongea mambo mengi yasiyoeleweka ila nakukumbusha, be careful katika mienendo yako. Nakutakia maisha mema, furaha na amani. All the best my brother.
Magufuli kunibomolea mimi hawezi.

Mimi nalindwa na NATO.

Kwangu hata kufika bila visa hafiki.

Na hatumpi visa mpaka aruhusu Maalim Seif awe rais Zenj.
 
Kabla ya Kuzungumza dhumuni Kubwa La Post Hii Napenda Niweke wazi Kuwa, Kwa Miaka Mingi, Kuwashinda hata wengi wa wanaCCM, Nilitambua Uwezo Mkubwa wa Magufuli wa Kufanya Kazi. Nilikuwa na Shukurani Kubwa sana Kwa Magufuli kwa Upendo wake kwa Tanzania na Watanzania. Nilimpenda zaidi Kwa Tabia yake ya Kutokumwogopa yeyote.

Bahaati Mbaya sana Magufuli anatabia Moja mbaya, Ni Mnafiki, sio Mkweli Kama anavyosema "Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu" Inapofikia Katika Maswala ya Siasa Magufuli sio mkweli wala mwenye haki, inayofanana na Magufuli wa Ujenzi wa Taifa na Huduma za Jamii.

Unafiki wa wazi ni Pale aliposisitiza Kuwa ati Majaji walimwambia Kuwa Hawana haja ya Kuonekana Live, akiwa anaweka dhana Kuwa Majaji wanamuunga Mkono kwa Kuingilia Utendaji wa Bunge. Swala la Kukatisha matangazo ya TBC ilikuwa ni kwa Lengo la Kuubana Upinzani Bungeni na Kuruhusu Uonevu. Kusema Vinginevyo Ni Unafiki,

Swala Lingine Lilikuwa Ni swala la Zanzibar, Magufuli anajua wazi, Kikwete na Mkapa, walishinikiza Jecha Kufuta matokeo kwa Maslahi ya CCM, Magufuli anajua kuwa NEC, na ZEC sio Tume Huru. Magufuli anajua Uhuni Uliotendeka Zanzibar, Kwa yeye Kujifanya Jecha alifanya maamuzi yake Kikatiba Ni Unafiki.

Watu wanasahau Kuwa Sio Madictator wote Ni wa Aina ya Mobutu, Wengine walikuwa Madictator wa Kuchaguliwa na Watu waoliwaabudu, Madictator hao walikuwa Tayari kutoa damu yao Kuwapa watu wao Wainywe kama wana Kiu. Lakini kwenye Ukubwa wangemtoa yeyote Roho. Mfano halisi alikuwa ni Adolf Hitler. I hope Magufuli Ataacha Unafiki When it comes to Politic.

Mnamjua Mpanju yule Jamaa wa Bunge la Katiba, sasa Hivi kapewa Ukubwa Kwenye Wizara ya Sheria na Katiba.
Mnamkumbuka Makonda na siasa zake za maji taka, Naye Pia alikuwa Kwenye Bunge la Katiba, Magufuli sasa anampa Chapuo
Naaamini hata Bi Asha Bakari asingefariki, angepewa Madaraka Makubwa Kwa Kumtukana Jusa Bungeni! Huyo Ndiye Magufuli Mwanasiasa!

Sikiliza Maneno Yake Katika Sherehe za CCM, Msikilize Mpka Mwisho, Kuna Mahali aliropoka Ukweli, Kuonyesha Zanzibar ilikuwa Ni "Kukataa Kutawaliwa"


Tena ww ndo mnafiki sugu kuliko wote, acha mambo ya kwenye vijiwe vya machungwa.
 
Mawazo yapi ya kitoto? Unaweza kuyataja? Mawazo ya kitoto yakoje?

Mtu mzima hawezi kuwa na mawazo ya kitoto?

Kama mtu mzima anaweza kuwa na mawazo ya kitoto, na wewe unamuita mtu ambaye humjui dogo, wewe huna mawazo ya kitoto kwa kumuita mtu dogo kwa sababu ya mawazo yake tu bila hata kumjua kwamba ni dogo kweli au ni baba yako?
"Mtu mzima mwenye mawazo ya kitoto ni DOGO"
 
Sasa hapo kuna habari gani ninayoilazimisha ndio maana nakuita wewe ni dogo
Hujataja habari za kitoto zipi. Unalazimisha kwamba mimi naleta habari za kitoto bila hata kuzitaja.

Pia, unalazimisha kwamba mtu mzima mwenye habari za kitoto ni dogo.

Wakati inawezekana hata baba yako aliyempanda mama yako na kukuzaa wewe akawa na habari za kitoto.

Utamuita dogo?
 
Hujataja habari za kitoto zipi. Unalazimisha kwamba mimi naleta habari za kitoto bila hata kuzitaja.

Pia, unalazimisha kwamba mtu mzima mwenye habari za kitoto ni dogo.

Wakati inawezekana hata baba yako aliyempanda mama yako na kukuzaa wewe akawa na habari za kitoto.

Utamuita dogo?
Umepanic dogo???
Navosema una mawazo ya kitoto hebu soma ulichokiandika hapa
"
Magufuli kunibomolea mimi hawezi.

Mimi nalindwa na NATO.

Kwangu hata kufika bila visa hafiki.

Na hatumpi visa mpaka aruhusu Maalim Seif awe rais Zenj."
 
Umepanic dogo???
Navosema una mawazo ya kitoto hebu soma ulichokiandika hapa
"
Magufuli kunibomolea mimi hawezi.

Mimi nalindwa na NATO.

Kwangu hata kufika bila visa hafiki.

Na hatumpi visa mpaka aruhusu Maalim Seif awe rais Zenj."
Wazo la kitoto liko wapi?

Ku panic kuko wapi?
 
Mshamba ni wewe ambaye unataka kuwafanya watanzania wote wakubaliane na hoja zako, hata kama hazina nguvu wala ushawishi.

Hoja Haina Nguvu, Kwa Kutamka Kwako au kwa Facts! Mashabiki wa CCM Mmejaa sana Matusi Kebehi, majibu mepesi na hamjengi hoja kwa kuwa Mara nyingi Ukweli hauko pamoja na Ninyi. Hata Nikiwasikiliza Wabunge wengi wa CCM natamani Nilie (Upotevu wa Fedha zetu kuwalipa watu hawa!)
 
Hoja Haina Nguvu, Kwa Kutamka Kwako au kwa Facts! Mashabiki wa CCM Mmjaa sana Matusi Kebehi, majibu mepesi na hamjengi hoja kwa kuwa Mara nyingi Ukweli hauko pamoja na Ninyi. Hata Nikiwasikiliza Wabunge wengi wa CCM natamani Nilie (Upotevu wa Fedha zetu kuwalipa watu hawa!)
Mlio na ukweli ni nyinyi ambao mpo tayari kubeba makapi yanayoachwa na vyama vingine. Mpaka sasa mnahangaika kutafuta mtu sahihi anayefaa kuwa katibu mkuu, na hicho ni chama ambacho kina uhai wa miaka 24. CCM ina hazina ya watu wenye uwezo. Wameondoka Lowassa na Sumaye lakini ni kama vile sisimizi anayerukaruka juu ya mgongo wa tembo, hakuna pengo lolote lililoachwa. Jengeni chama chenu, tengenezeni mfumo wa kukuza wanasiasa vijana, hizi siasa za kwenye facebook na JF haziwezi kukusaidieni.
 
Hoja Haina Nguvu, Kwa Kutamka Kwako au kwa Facts! Mashabiki wa CCM Mmejaa sana Matusi Kebehi, majibu mepesi na hamjengi hoja kwa kuwa Mara nyingi Ukweli hauko pamoja na Ninyi. Hata Nikiwasikiliza Wabunge wengi wa CCM natamani Nilie (Upotevu wa Fedha zetu kuwalipa watu hawa!)
1.
2.
 
Mlio na ukweli ni nyinyi ambao mpo tayari kubeba makapi yanayoachwa na vyama vingine. Mpaka sasa mnahangaika kutafuta mtu sahihi anayefaa kuwa katibu mkuu, na hicho ni chama ambacho kina uhai wa miaka 24. CCM ina hazina ya watu wenye uwezo. Wameondoka Lowassa na Sumaye lakini ni kama vile sisimizi anayerukaruka juu ya mgongo wa tembo, hakuna pengo lolote lililoachwa. Jengeni chama chenu, tengenezeni mfumo wa kukuza wanasiasa vijana, hizi siasa za kwenye facebook na JF haziwezi kukusaidieni.

sure Chenge, Kikwete, Muhongo, Anna Tibaijuka, etc
 
Unafiki wake Mwingine:


SIKU YA KUHUTUBIA BUNGE:
Suala La Zanzibar tutalishughulikia na
tutalimaliza haraka.....


SIKU YA XMAS:
Kama nilivyoahidi bungeni
suala la Zanzibar tutalimaliza
karibuni


SIKU YA WAZEE WA MKOA
WA DAR:
Suala la Zanzibar hatuwezi
kuliingilia kwasababu tume
huru na haiwezi kuingiliwa na
chombo chochote...

Aliyozungumza na wazee wa Dar es Salaam bila shaka ni hitimisho la mazungumzo yake na Dr. Shein, Balozi Iddi na Maalim Sief Sharif Hamad. Kwa hiyo aliyozungumza Bungeni na siku ya Xmas yalihitimishwa na aliyosema siku ya mkutano na wazee wa Dar.

Mwisho wa siku, Wazanzibar lazima wawe mstari wa mbele kutatua matatizo yao wenyewe. Wakati wanafanya mabadiliko ya katiba yao ya 2010 yenye vipengele vingi vilivyo kinyume na katiba ya muungano, walikuwa kitu kimoja. Hata hili la uchaguzi, wana uwezo wa kuwa pamoja kwa maslahi yao wote.
 
Back
Top Bottom