Magufuli ni mnafiki kama Kikwete

Magufuli ni mnafiki kama Kikwete

sure Chenge, Kikwete, Muhongo, Anna Tibaijuka, etc
Julius Nyerere, Benjamin Mkapa, John Magufuli, Asha Rose Migiro, Augustine Mahiga na wengine wengi tu, usiangalie upande mbaya tu wa CCM wataje na watu ambao dunia inawaheshimu na ni matunda ya CCM. Hao niliowataja walinganishe na Mnyika, Mdee, Mbowe, Lissu na wengine unaowajua wewe, ni vitu viwili tofauti kabisa, mawingu na maji ya bahari
 
sure Chenge, Kikwete, Muhongo, Anna Tibaijuka, etc

Lowassa Alitumwa na Kikwete, Asaidie Mkataba wa Richmond uende fasta fasta, Kuepusha Blackout. Hakuchukua Pesa Yeyote. Chadema hawakujua Kwa Kuwa Lowassa Kwa Ustaarabu wake alikaa Kimya Kumlinda Rais Aliyemsaliti Baadaye. Ukitaka Kujua Lowassa Ni Mstaarabu Tazama Mlivyomtukana na Kumdhalilisha, Mkasema Ni Maiti, Mkasema Ni Mfu mtarajiwa, Kajinyea etc. aliwajibu?

Lowassa Never took one single coin from Richmond. Na alijiuzulu, Vipi Kikwete alijiuzulu kwa Rumbesa za IPTL, Vipi Muhongo, Chenge etc wapo wapi tulioambiwa Kunguni!
 
WAPINZANI/ WATUMBULIWA MAJIPU MNAHANGAIKA KUMCHAFUA MAGUFULI KILA KUKICHA MNAHANGAIKA SANA

YAANI NAWAFANANISHA NA MWANAMKE ANAYEFIKA MSHINDO WAKE ANAVYOHANGAIKA NDIO SAWA NA NYIE
Kuwa mstaarabu
 
Aliyozungumza na wazee wa Dar es Salaam bila shaka ni hitimisho la mazungumzo yake na Dr. Shein, Balozi Iddi na Maalim Sief Sharif Hamad. Kwa hiyo aliyozungumza Bungeni na siku ya Xmas yalihitimishwa na aliyosema siku ya mkutano na wazee wa Dar.

Mwisho wa siku, Wazanzibar lazima wawe mstari wa mbele kutatua matatizo yao wenyewe. Wakati wanafanya mabadiliko ya katiba yao ya 2010 yenye vipengele vingi vilivyo kinyume na katiba ya muungano, walikuwa kitu kimoja. Hata hili la uchaguzi, wana uwezo wa kuwa pamoja kwa maslahi yao wote.

UKWELI NI KUWA MAGUFULI NI MNAFIKI, HATA YEYE ANAJUA HIVYO, MSIOJUA NI NINYI, NAJUA ANAJUA NASEMA UKWELI KWA HILI. DON'T WASTE YOUR TIME KUBISHANA!
 
Mtazungumza maneno mengi na vijembe vingi lakini ukweli ni kwamba Rais hana mamlaka kisheria kuingilia maamuzi ya tume ya Uchaguzi, iwe NEC au ZEC. Tume hizi zina mamlaka huru yasiyohojiwa na rais yeyote. Iwe zimefanya maamuzi mabovu au zimefanya maamuzi manzuri rais hawezi kuizingilia kisheria.

Ingekuwa tume huru, ingeingiliwaje na wanajesho pale kura zilipokuwa zikihesabiwa tarehe 27 October halafu wawakilishi wakaekwa under siege na makamu mwenyekiti kukatizwa kutangaza matokeo na kuchukuliwa wanakokujua? Mbona mnakuwa wafupi wa kufikiri mambo kiwazi?
 
Lowassa Alitumwa na Kikwete, Asaidie Mkataba wa IPTL uende fasta fasta, Kuepusha Blackout. Hakuchukua Pesa Yeyote. Chadema hawakujua Kwa Kuwa Lowassa Kwa Ustaarabu wake alikaa Kimya Kumlinda Rais Aliyemsaliti Baadaye. Ukitaka Kujua Lowassa Ni Mstaarabu Tazama Mlivyomtukana na Kumdhalilisha, Mkasema Ni Maiti, Mkasema Ni Mfu mtarajiwa, Kajinyea etc. aliwajibu?

Lowassa Never took one single coin from Richmond. Na alijiuzulu, Vipi Kikwete alijiuzulu kwa Rumbesa za IPTL, Vipi Muhongo, Chenge etc wapo wapi tulioambiwa Kunguni!

Acha kuipotosha jamii, Lowassa aliingilia taratibu za zabuni kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Ndio maana kamati ya Mwakyembe ilifikia hitimisho kwa kumwambia apime mwenyewe kama anafaa kuendelea kuwa waziri mkuu au ajiuzulu. JK kule Mwanza wakati anahitimisha kampeni ya CCM alisema yeye hakushiriki kuileta RIchmond Tanzania, alishiriki katika vikao vilifikia maamuzi ya kutafuta kampuni ya kuzalisha umeme. Lowassa aliingilia mambo ya kitaalam ambayo yalipaswa kufanywa na wataalam wa TANESCO. Achana na huyo Ole Sendeka, alitumika sana kisiasa wakati akiwa mbunge. Usiipotoshe jamii wakati suala hilo limeshamalizika.
 
UKWELI NI KUWA MAGUFULI NI MNAFIKI, HATA YEYE ANAJUA HIVYO, MSIOJUA NI NINYI, NAJUA ANAJUA NASEMA UKWELI KWA HILI. DON'T WASTE YOUR TIME KUBISHANA!
UKAWA mnaishi na majonzi moyoni, lakini itabidi muizoee hali hii kwani hamna namna. HAPA KAZI TU.
 
Kuwa mstaarabu

Hata Huo Msemo wa Jipu Nilianzisha Mimi wakati wa Kampeni, Magufuli anadandia sera, Misemo na Mikakati ya wengine. Look Nilivyokomalia swala la Wamama Kulala Chini. Safari za Kijinga, Look Nilivyowaita Wenye Matusi Kuwa Ni Majipu, Look Nilivyomsema Magufuli Kwa Kuiba Nembo ya M4C.
Kila Kitu Amedandia. But Kwa Mema anayofanya Simlaumu Hata Kama Akidandia.

Muhimbili, Madawati, Safari za Ovyo Ilikuwa Ni Hoja Nilizozikita, Kabla ya yeyote sikiliza kama Magufuli aligusa haya wakati wa Ufunguzi wa Kampeni, Aliteka ajenda niliyofanya makusudi kuisukuma Kwa Nguvu sana. Na Namshukuru Kwa Kuwa Kupitia Wajumbe Niliwashauri sana, Ukawa watumie hizo Kuwa Ndio Main issue za Kampeni zao Wakapuuza! Hivyo Simlaumu Magufuli Kwa haya Nitakuwa Mnafiki.

Msemo wa Jipu.

Mimi Nina Data ya Magufuli Kukopi vitu, Haya Niliyasema Mwanzo Kabisa wa Kampaign. Haiwezekani Kuwepo na coincidence Kuwa Kubwa Hivi.
Kwa Hiyo Nikisema Najua Nachosema amini!

Magufuli Anasema anaheshimu Wasanii, Na anaheshimu Biashara lakini anaiba Nembo ya Chama Kingine, Huo sio Unafiki?
 
Acha kuipotosha jamii, Lowassa aliingilia taratibu za zabuni kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Ndio maana kamati ya Mwakyembe ilifikia hitimisho kwa kumwambia apime mwenyewe kama anafaa kuendelea kuwa waziri mkuu au ajiuzulu. JK kule Mwanza wakati anahitimisha kampeni ya CCM alisema yeye hakushiriki kuileta RIchmond Tanzania, alishiriki katika vikao vilifikia maamuzi ya kutafuta kampuni ya kuzalisha umeme. Lowassa aliingilia mambo ya kitaalam ambayo yalipaswa kufanywa na wataalam wa TANESCO. Achana na huyo Ole Sendeka, alitumika sana kisiasa wakati akiwa mbunge. Usiipotoshe jamii wakati suala hilo limeshamalizika.

Sikusema Mimi Ripoti Ya Mwakyembe Ndiyo Inavyosema, sio OLE SENDEKA TU, Ndio Maana hutakaa Ukaona Lowassa ameshitakiwa. Ila Kiwete na Muhongo, Na Chenge, na Wizi wao wa Escrow ni wazi na Una ushahidi.
 
Hata Huo Msemo wa Jipu Nilianzisha Mimi wakati wa Kampeni, Magufuli anadandia sera, Misemo na Mikakati ya wengine. Look Nilivyokomalia swala la Wamama Kulala Chini. Safari za Kijinga, Look Nilivyowaita Wenye Matusi Kuwa Ni Majipu, Look Nilivyomsema Magufuli Kwa Kuiba Nembo ya M4C.
Kila Kitu Amedandia. But Kwa Mema anayofanya Simlaumu Hata Kama Akidandia.

Muhimbili, Madawati, Safari za Ovyo Ilikuwa Ni Hoja Nilizozikita Magufuli akazirukia.

Msemo wa Jipu.

Mimi Nina Data ya Magufuli Kukopi vitu, Haya Niliyasema Mwanzo Kabisa wa Kampaign. Haiwezekani Kuwepo na coincidence Kuwa Kubwa Hivi.
Kwa Hiyo Nikisema Najua Nachosema amini!

Magufuli Anasema anaheshimu Wasanii, Na anaheshimu Biashara lakini anaiba Nembo ya Chama Kingine, Huo sio Unafiki?

Kwa kuanzisha msemo wa majipu, unataka serikali ikupe nishani au labda unataka siku yako ya kuzaliwa igeuzwe kuwa ni siku ya mapumziko?.
 
Mtazungumza maneno mengi na vijembe vingi lakini ukweli ni kwamba Rais hana mamlaka kisheria kuingilia maamuzi ya tume ya Uchaguzi, iwe NEC au ZEC. Tume hizi zina mamlaka huru yasiyohojiwa na rais yeyote. Iwe zimefanya maamuzi mabovu au zimefanya maamuzi manzuri rais hawezi kuizingilia kisheria.
Kwani hizi tume zinapatikana Vipi?
 
Sikusema Mimi Ripoti Ya Mwakyembe Ndiyo Inavyosema, sio OLE SENDEKA TU, Ndio Maana hutakaa Ukaona Lowassa ameshitakiwa. Ila Kiwete na Muhongo, Na Chenge, na Wizi wao wa Escrow ni wazi na Una ushahidi.
Kutoshtakiwa kwa Lowassa sio kigezo cha kusema kwamba ameshakuwa msafi kuwazidi hao uliowataja, kumbuka kuwa kesi ya jinai inaweza kuanzishwa muda wowote ule. CHADEMA hamuwezi kuwa na usafi wa kimaadili kuweza kuinyooshea kidole CCM. Mmepokea makapi mawili kutoka CCM, mmepokea watu kutoka kwenye mfumo wa CCM. Ni bora chama kingine kiinyoshee kidole CCM na sio nyinyi.
 
Hakuna wanafiki kama chadema.
Mtu walietuaminisha kuwa ni fisadi kwa miaka nane,ndani ya mwezi tu kawa mgombea wao wa urais!

Issue Hapa sio Chadema, Na Usifikiri Mimi Namchukia Magufuli, au Nataka akwame, Nataka Awe Mkweli, Na Ajue Uozo wa Tanzania sio Tu Umasikini na Huduma Mbovu za Afya bali Ni Pia

1)Kukosekana Kwa Katiba Isiyobeba yeyote
2)Kutokuwepo na Haki.
3)Siasa za Mizengwe na Uonevu.
4)Umasikini
5)Mipango Mibaya ya Uchumi, Na Mikataba ya Kifisadi
6)Matumizi Mabaya ya Madaraka
7)Ukandamizaji wa Demokrasia.

Asipoyakabili haya Bila ya Kuingiliwa na Yeyote, Atamaliza Muda wake kwa Mafanikio ya Kawaida tu. Lakini akiwa Mkweli na Kudeal na Haya Miaka 1000 Ijayo Tutakuwa Tunamzungumzia Mtu aliyeitwa Magufuli. Na Nahisi hata 2020 Atakuwa Rais wa kwanza Kwa Historia ya Nchi Kupita Bila Kupigwa.

Sitaandika Tena chochote Juu ya Huyu Mzee, Ila Nadiriki Kusema Mungu na aniangamize Kama ati Mimi Namkosoa kwa Kuwa Ninamtakia Kushidwa au Mabaya. Natazama Mbali sana, Akifaya sawa, Kila Mtanzani, Kila Chama Kitafanikiwa Katika Nchi Yetu.
 
Mtazungumza maneno mengi na vijembe vingi lakini ukweli ni kwamba Rais hana mamlaka kisheria kuingilia maamuzi ya tume ya Uchaguzi, iwe NEC au ZEC. Tume hizi zina mamlaka huru yasiyohojiwa na rais yeyote. Iwe zimefanya maamuzi mabovu au zimefanya maamuzi manzuri rais hawezi kuizingilia kisheria.

Bas ni mnafiki kwanin alisema atalishughulikia mzozo wa zanzibar na anajua hana mamlaka hayo!
 
Kabla ya Kuzungumza dhumuni Kubwa La Post Hii Napenda Niweke wazi Kuwa, Kwa Miaka Mingi, Kuwashinda hata wengi wa wanaCCM, Nilitambua Uwezo Mkubwa wa Magufuli wa Kufanya Kazi. Nilikuwa na Shukurani Kubwa sana Kwa Magufuli kwa Upendo wake kwa Tanzania na Watanzania. Nilimpenda zaidi Kwa Tabia yake ya Kutokumwogopa yeyote.

Bahaati Mbaya sana Magufuli anatabia Moja mbaya, Ni Mnafiki, sio Mkweli Kama anavyosema "Msemakweli ni Mpenzi wa Mungu" Inapofikia Katika Maswala ya Siasa Magufuli sio mkweli wala mwenye haki, inayofanana na Magufuli wa Ujenzi wa Taifa na Huduma za Jamii.

Unafiki wa wazi ni Pale aliposisitiza Kuwa ati Majaji walimwambia Kuwa Hawana haja ya Kuonekana Live, akiwa anaweka dhana Kuwa Majaji wanamuunga Mkono kwa Kuingilia Utendaji wa Bunge. Swala la Kukatisha matangazo ya TBC ilikuwa ni kwa Lengo la Kuubana Upinzani Bungeni na Kuruhusu Uonevu. Kusema Vinginevyo Ni Unafiki,

Swala Lingine Lilikuwa Ni swala la Zanzibar, Magufuli anajua wazi, Kikwete na Mkapa, walishinikiza Jecha Kufuta matokeo kwa Maslahi ya CCM, Magufuli anajua kuwa NEC, na ZEC sio Tume Huru. Magufuli anajua Uhuni Uliotendeka Zanzibar, Kwa yeye Kujifanya Jecha alifanya maamuzi yake Kikatiba Ni Unafiki.

Watu wanasahau Kuwa Sio Madictator wote Ni wa Aina ya Mobutu, Wengine walikuwa Madictator wa Kuchaguliwa na Watu waoliwaabudu, Madictator hao walikuwa Tayari kutoa damu yao Kuwapa watu wao Wainywe kama wana Kiu. Lakini kwenye Ukubwa wangemtoa yeyote Roho. Mfano halisi alikuwa ni Adolf Hitler. I hope Magufuli Ataacha Unafiki When it comes to Politic.

Mnamjua Mpanju yule Jamaa wa Bunge la Katiba, sasa Hivi kapewa Ukubwa Kwenye Wizara ya Sheria na Katiba.
Mnamkumbuka Makonda na siasa zake za maji taka, Naye Pia alikuwa Kwenye Bunge la Katiba, Magufuli sasa anampa Chapuo
Naaamini hata Bi Asha Bakari asingefariki, angepewa Madaraka Makubwa Kwa Kumtukana Jusa Bungeni! Huyo Ndiye Magufuli Mwanasiasa!

Sikiliza Maneno Yake Katika Sherehe za CCM, Msikilize Mpka Mwisho, Kuna Mahali aliropoka Ukweli, Kuonyesha Zanzibar ilikuwa Ni "Kukataa Kutawaliwa"

MTAHANGAIKA SANA LAKINI HAMTAWEZA KUFANYA LOLOTE, ENDELEENI KULA PESA ZA HUYO MZEE WENU WA MONDULI. ILA UONGOZI WA NCHI HII MSAHAHU KABISA. ENDELENI TU KUWA WAPINZANI ILI MHAMASISHE MAENDELEO SERIKALI INAPOSINZIA MNAIAMUSHA. NIWASHAURI KITU, FANYENI KITU MTAKUJA SUTWA NA WATOTO WENU KUWA MLIKUWA WAPI MBONA MMEZEEKA MKIWA MASIKINI?
 
Issue sio Chama Nyie watu, Ukweli Ni Kuwa hata Ukawa wangetawala miaka 20,30 40 Ningetaka waondoke. Kama Ukawa wangekuwa Ndio wao wanakandamiza Zanzibar Ningewataka Waacha. Kama Ukawa ndio wangekuwa Madarakani Ningetaka Kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi Ili CCM na wengine wasidhulumiwe. Kama Ukawa Wangekuwa madarakani na wakatumia Polisi Kupiga Wapinzani (CCM) Ningepinga. Ukiangalia Video zangu za Miaka na Miezi mingi kabla ya Leo Naongea haya yaya. By The Way I have been away from Tanzania for 17 yrs, Huyo Lowassa Sijawahi Kukutana naye hata siku Moja. It is about Tanzania not an Individual
 
WAPINZANI/ WATUMBULIWA MAJIPU MNAHANGAIKA KUMCHAFUA MAGUFULI KILA KUKICHA MNAHANGAIKA SANA

YAANI NAWAFANANISHA NA MWANAMKE ANAYEFIKA MSHINDO WAKE ANAVYOHANGAIKA NDIO SAWA NA NYIE
Katika hayo anayoyafanya ni yupi wa upinzani aliyeathirika? Tambua kuwa sisi wapinzani tuliishajiandaa mapema kujihami na hiki akifanyacho Magufuli isipokuwa nyie mliotegemea Neema kutoka kwake ndio mnaoathirika kwani imekuwa tofauti na mlivyotarajia
 
Issue sio Chama Nyie watu, Ukweli Ni Kuwa hata Ukawa wangetawala miaka 20,30 40 Ningetaka waondoke. Kama Ukawa wangekuwa Ndio wao wanakandamiza Zanzibar Ningewataka Waacha. Kama Ukawa ndio wangekuwa Madarakani Ningetaka Kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi Ili CCM na wengine wasidhulumiwe. Kama Ukawa Wangekuwa madarakani na wakatumia Polisi Kupiga Wapinzani (CCM) Ningepinga. Ukiangalia Video zangu za Miaka na Miezi mingi kabla ya Leo Naongea haya yaya. By The Way I have been away from Tanzania for 17 yrs, Huyo Lowassa Sijawahi Kukutana naye hata siku Moja. It is about Tanzania not an Individual
huna lolote, ya Zanzibar kawaeleze wa Zanzibari au kasome katika yao uielewe na siyo kuropoka humu, kila kinachofanyika kina sheria na taratibu zake, kama walishindwa kurekebisha katiba kwa kulewa posho za ubunge, leo uchaguzi unafika unasema tume siyo huru, na kuibadili kabla ya uchaguzi walikuwa wapi. Zungumza kitu unachokifahamu na siyo unachosikia.
 
Back
Top Bottom