mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,404
- 3,420
Angekuwepo Magu hata hii mitozo ya kipuuzi iliyoanzishwa na huyu bibi isingekuwepo
Lakini ushetani ule wa kuteka watu, kushambulia na kuwatesa, kuwaua watu, na kuwabambakizia watu kesi za uhujumu uchumi, wote wenye kumkosoa, ulikuwa uovu unaozidi maovu yote. Kama muuaji hawezi kuitwa mwovu, ni nani anastahili kuitwa mwovu.Angekuwepo magu hata hii mitozo ya kipuuzi iliyoanzishwa na huyu bibi isingekuwepo
Watu wanajifariji, njia ya mwovu huwa ni giza na imejaa utelezi, alisikika malaika mmoja akisema kutoka mbinguni...Acha inyeshe tuone panapovuja...Usitishwe na kelele za wajinga uyo mzee magufuli anaishi na ataishi
Aise!Lakini ushetani ule wa kuteka watu, kushambulia na kuwatesa, kuwaua watu, na kuwabambakizia watu kesi za uhujumu uchumi, wote wenye kumkosoa, ulikuwa uovu unaozidi maovu yote. Kama muuaji hawezi kuitwa mwote, ni nani anastahili kuitwa mwovu.
Kila Rais alikuwa na mapungufu yake lakini matendo yale maovu ya marehemu, ulikuwa ni ushetami.
Watetezi wake tupo tumejaa teleHata siku moja huwezi kupendwa na watu wote, hii ndio hulka ya wanadamu, inasikitisha sana kuona sasa Magufuli amekosa kabisa watetezi, wale waliokuwa hawampendi na kumchukia, kwa sasa wanajiachia watakavyo kumsema vibaya watakavyo hata mazuri aliyofanya hayaonekani bali ni kumkebehi kumtukana na kumsema vibaya.
Nina Hakika hata angekuwa hai leo, wasingekosekana wa kumsema na kumshtumu vibaya, tofauti ya sasa ambapo huyu mtu hatupo naye kimwili tena ni kwamba hata wale watetezi wake waliokuwa Wanamkubali wamegawanyika wengine wamekaa kimya hawamtetei wala kuwa upande wake, wengine Wanahuzunika na hawaamini kama kweli jembe hayupo na mambo mengi wakitizama hayaendi au yamekwama, lakini hawana sauti ya kupaza labda ni uoga au maslahi wanayokuwa nayo katika ukimya wao, binadamu ni wanafiki sana naamini angekuwepo Magufuli hai, angepata watetezi wengi sana tena watetezi wa hoja zenye nguvu.
Lakini tukubaliane kuwa watanzania wengi wamekata tamaa haswa watanzania wale wa kipato cha kati na cha chini, ukipita kila mkoa utakutana na maneno angekuwepo Magufuli huu mradi ungeisha au hii Barabara ingekuwa imejengwa tayari au hii hospital ingekuwa imefunguliwa tayari au tungekuwa tumepiga maendeleo makubwa sana, kwahiyo tusizibeze hizi sauti zinazolalamika chini chini na hakika hizi sauti zikifika mahali zikaamua ziseme sauti ya juu ili zisikike, ndio utakuwa mwisho wa watawala kutudanganya, uongo una mwisho wake uongo una ukomo wake.
Tusimbeze sana Magufuli bali tuendeleze mazuri yake aliyoacha, mkiendelea kumbeza, mfahamu kuwa watetezi wake wapo tele na siku wakiamua kutetea haki zao na nchi yao mtatafuta mlango wa kutokea.
Na wala hatulipwi hata senti tano...Watetezi wake tupo tumejaa tele
Barikiwa mkuuNa wala hatulipwi hata senti tano...
Watetezi tupo. Sema hatupendi kujionesha. Hata huyu Miss utalii Atasemwa tuu akitoka.Kuna wajinga wajinga wengi huko mtaani ambao aliwahadaa na yale mauongo yake ndio watetezi wake.
Hapa JF kwa Great Thinkers hana watetezi wengi sana sababu wengi wanajua kuchambua pumba na mchele
Jaribu kuheshimu mchango wake, kama unaona huna hoja yakuichangia hoja yake nyamaza!! Hajazungumza kibaya Ni mawazo na hisia zake zimemsukuma kukumbuka hayo Hana kosa!Kazikwe naye ….. nafasi ya lile kaburi ni self contained Bado vyumba vipo.
Mungu si mwanadamu, kuna watu wanalisahau hilo...Barikiwa mkuu
Ndugu yangu, ukiona Mtanzania anayemchukia JPM jua ni mpuuzi tu! JPM atakumbukwa na kueziwa baada ya Samia! Yangu machoJaribu kuheshimu mchango wake, kama unaona huna hoja yakuichangia hoja yake nyamaza!! Hajazungumza kibaya Ni mawazo na hisia zake zimemsukuma kukumbuka hayo Hana kosa!
Kazikwe nae nikauli gani,, wewe huna umpendae na umempoteza na unamkumbuka kwa matendo yake?? Ulishawahi kuwaza kuzikwa nae kwasababu hiyo!!!?
Wakati mwingine hata kama mnatumia ID ya uwongo basi mawazo yenu yafanye yawe yakweli.. hapa nisehem ambayo tunabadilishana mawazo na kupeana habari mbalimbali ila watu mnapageuza kuwa sehemu ya ujinga na upuuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alianza mama samia mwenyewe kumpiga vijembe magufuli kisha kuwateua wale aliyowatumbua na wale waliyomkejeli na kumuita mshamba.Hata siku moja huwezi kupendwa na watu wote, hii ndio hulka ya wanadamu, inasikitisha sana kuona sasa Magufuli amekosa kabisa watetezi, wale waliokuwa hawampendi na kumchukia, kwa sasa wanajiachia watakavyo kumsema vibaya watakavyo hata mazuri aliyofanya hayaonekani bali ni kumkebehi kumtukana na kumsema vibaya.
Nina Hakika hata angekuwa hai leo, wasingekosekana wa kumsema na kumshtumu vibaya, tofauti ya sasa ambapo huyu mtu hatupo naye kimwili tena ni kwamba hata wale watetezi wake waliokuwa Wanamkubali wamegawanyika wengine wamekaa kimya hawamtetei wala kuwa upande wake, wengine Wanahuzunika na hawaamini kama kweli jembe hayupo na mambo mengi wakitizama hayaendi au yamekwama, lakini hawana sauti ya kupaza labda ni uoga au maslahi wanayokuwa nayo katika ukimya wao, binadamu ni wanafiki sana naamini angekuwepo Magufuli hai, angepata watetezi wengi sana tena watetezi wa hoja zenye nguvu.
Lakini tukubaliane kuwa watanzania wengi wamekata tamaa haswa watanzania wale wa kipato cha kati na cha chini, ukipita kila mkoa utakutana na maneno angekuwepo Magufuli huu mradi ungeisha au hii Barabara ingekuwa imejengwa tayari au hii hospital ingekuwa imefunguliwa tayari au tungekuwa tumepiga maendeleo makubwa sana, kwahiyo tusizibeze hizi sauti zinazolalamika chini chini na hakika hizi sauti zikifika mahali zikaamua ziseme sauti ya juu ili zisikike, ndio utakuwa mwisho wa watawala kutudanganya, uongo una mwisho wake uongo una ukomo wake.
Tusimbeze sana Magufuli bali tuendeleze mazuri yake aliyoacha, mkiendelea kumbeza, mfahamu kuwa watetezi wake wapo tele na siku wakiamua kutetea haki zao na nchi yao mtatafuta mlango wa kutokea.
Tena ina sebule kubwa na choo cha marehemuKazikwe naye ….. nafasi ya lile kaburi ni self contained Bado vyumba vipo.
Tuishie hapa.Wanaomchukia Magufuli👇
-Waliotumbuliwa vyeti fake
-Wafanyakazi hewa
-Wafanyabiashara wakwepa kulipa kodi
-Viongozi waliokuwa madarakani wakatumbuliwa
-Wezi waliokuwa wakijinufaisha na uongozi wa awamu zilizopita
-Matajiri waliokuwa wakijinufaisha na nchi bila taratibu
-Mabeberu wapenda dezo za taifa
-Wezi waliotaka JPM nae aungane nao ili waibe wote
AminaAlianza mama samia mwenyewe kumpiga vijembe magufuli kisha kuwateua wale aliyowatumbua na wale waliyomkejeli na kumuita mshamba.
Ni muda tu ukifika muda umma utawaadhibu na kuwarejesha hawa wapinga maendeleo na wasaliti wote kwenye nafasi zao.
Na weye mu-outsmart!Sentensi za kibwege kama yako hiyo inaonesha unavyojidunisha.Mwamba huwa unajikuta mtu smart Sana na kuhisi mawazo yako ni kila kitu!
Nani anambeza Hayati ? kusema utawala uliopita ni kawaida hata yeye alivyokuwa hai alikuwa anawasema watangulizi wakeHata siku moja huwezi kupendwa na watu wote, hii ndio hulka ya wanadamu, inasikitisha sana kuona sasa Magufuli amekosa kabisa watetezi, wale waliokuwa hawampendi na kumchukia, kwa sasa wanajiachia watakavyo kumsema vibaya watakavyo hata mazuri aliyofanya hayaonekani bali ni kumkebehi kumtukana na kumsema vibaya.
Nina Hakika hata angekuwa hai leo, wasingekosekana wa kumsema na kumshtumu vibaya, tofauti ya sasa ambapo huyu mtu hatupo naye kimwili tena ni kwamba hata wale watetezi wake waliokuwa Wanamkubali wamegawanyika wengine wamekaa kimya hawamtetei wala kuwa upande wake, wengine Wanahuzunika na hawaamini kama kweli jembe hayupo na mambo mengi wakitizama hayaendi au yamekwama, lakini hawana sauti ya kupaza labda ni uoga au maslahi wanayokuwa nayo katika ukimya wao, binadamu ni wanafiki sana naamini angekuwepo Magufuli hai, angepata watetezi wengi sana tena watetezi wa hoja zenye nguvu.
Lakini tukubaliane kuwa watanzania wengi wamekata tamaa haswa watanzania wale wa kipato cha kati na cha chini, ukipita kila mkoa utakutana na maneno angekuwepo Magufuli huu mradi ungeisha au hii Barabara ingekuwa imejengwa tayari au hii hospital ingekuwa imefunguliwa tayari au tungekuwa tumepiga maendeleo makubwa sana, kwahiyo tusizibeze hizi sauti zinazolalamika chini chini na hakika hizi sauti zikifika mahali zikaamua ziseme sauti ya juu ili zisikike, ndio utakuwa mwisho wa watawala kutudanganya, uongo una mwisho wake uongo una ukomo wake.
Tusimbeze sana Magufuli bali tuendeleze mazuri yake aliyoacha, mkiendelea kumbeza, mfahamu kuwa watetezi wake wapo tele na siku wakiamua kutetea haki zao na nchi yao mtatafuta mlango wa kutokea.
Katika orodha hii makonda unamweka kwenye kundi gani?Wanaomchukia Magufuli