MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,173
- 13,233
Hii nchi unajua ilikotoka?Utumbo mtupu, hao waliokuwepo kabla yake waliwaheshimu hao wazee? Waliifikisha nchi hii wapi?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Au umeshakula zako michembe hapo umevimbilwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nyanonko na usubiri mnyooshwe si Mmezoea kunyonga kuchinja utawezaje?
Kaulize wenzio Wazee huwa wanaheshimiaje?
Hii nchi aliirudisha nyuma tu kiuchumi ila hakuwa na jipya.
Siku niyingine jifunze kujibu hoja kistaraabu