Magufuli ndie Rais bora Afrika na Duniani

RAIS BORA AFRICA
Leo tukipewa nafasi ya kuchagua kiongozi bora Africa na duniani. Nitakuchagua Rais wangu Mhe. Dr. John Joseph Pombe Magufuli. Sababu za kukuchagua;
1. Mpaka hivi sasa umerejesha thamani ya utumishi wa umma.
2. Umepambana na mafisadi na wabadhirufu kwa vitendo
3. Umetekeleza sera ya viwanda kwa vitendo.
4. Umeboresha miundo mbinu (fly overs zinajengwa, Standard gauge kwa Upande wa Reli, maboresho ya viwanja vya ndege na shirika la ATCL)
5. Umetekeleza ahadi ya Elimu bure kwa vitendo.

Hizi sababu 5 kila moja inazaa faida zaidi ya 20. Hivyo tunayo sababu kubwa ya kukuamini na kukupenda.

Watanzania pamoja na maboresho hayo bado nchi yetu ina changamoto nyingi ambazo ili tukabiliane nazo tunahitaji ushiriki wetu kwa kuiunga mkono serikali yetu. Hata nchi Zenye uchumi mkubwa kama Marekani hazikosi Changamoto na ndo maana zina vyama vya upinzani. Changamoto hizo haziwafanyi waandamane au kuitukana serikali Yao. Changamoto zao ndo zinawaunganisha na kuwafanya kuwa taifa lenye nguvu duniani. Hivyo lazima kama taifa tuisaidie serikali yetu katika utatuzi wa Changamoto zinazotukabili

View attachment 718140
Buda hunaga Mswaki
 
Mbona tuzo anachukuaga kagame
 
Bila shaka una mditio wa mboga kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barua yako ya uteuzi inakuja vuta subira kama alivyo fanya mwenzako Mtatiro
 
Njaa haijawahi kumwacha mtu salama
Njaa zako ndo zinakusumbua ili ujikombe
1. Thamani ipi unaizungumzia nilipo mimi maji, barabara, elimu bado ni kero au utumishi wa umma upi??
2. Ufisadi upi natunawaona mafisadi yana peta
3.Viwanda au vi-wonder
4.hizo flyovers, standard gauge bado hazijakamilika so piga kimya
5.Hii elimu bure ndo kafeli michango daily lasivyo tukubali watoto wetu wapate zero
 
Huyo mleta hoja ni sawa na Mayalla
Akili yako imejaa ujuha na unafki. Lengo lako ni kujikweza na kulamba miguu ya watu wala huu sio uchambuzi.
-Vipi kuporomoka kwa uchumi?
-Vipi mauaji utesaji na utekaji wa watu?
-Vipi Uhuru wa habari?
-Hivyo ulivyovitaja kuna hata moja matunda yake yanaonekana?
-Wewe unapigana na benki ya dunia?
-Wewe unapingana na wachumi wa dunia?

Nimalizie tu kwa kusema kwamba ujinga wako utakuumbua siku moja, sijui utakimbilia wapi.Njaa yako ndio shida yako.
 
Pascally mwenzako Mtatiro hakuwa anajikomba kama wewe bali elimu yake ndiyo iliyo msaidia sasa ameteuliwa ila wewe usitegemee kupata uteuzi hata wa nyumba 10
Naunga mkono hoja na hata Katto hili analijua.

Ni ukweli usiofichika kuwa rais Magufuli is the best that we have, kwa kanuni ya penda chako.

The best mother duniani ni mama yako,
The best father ni baba yako.
The best wife ni mkeo/memo
The best country ni Tanzania,
The best president ni Magufuli.
P.

Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A Man of The People!

Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere!
 
Back
Top Bottom