Magufuli ndie Rais bora Afrika na Duniani

Magufuli ndie Rais bora Afrika na Duniani

Britannica mwambieni jamaa yenu kwa upole kabisa kuwa "MKONO WA CHUMA HAUJAWAHI KUFANIKIWA POPOTE DUNIANI "
Atafanya yote anayodhani yanaifurahisha nchi na wananchi lakini yote yatavurugwa. Aangalie kwa wale waliodhani ni wazalendo na kuongoza kwa mkono wa chuma, woote wameanguka na history inawahukumu. Na walivyovipigania na kuvijenga vimeharibiwa
 
Mkuu Tea Bag, hakuna kanafasi chochote ninacho kanyemelea, bali siku zote mimi ni mkweli daima.

Ni ukweli usiofichika kuwa rais Magufuli is the best that we have, kwa kanuni ya penda chako.

The best mother duniani ni mama yako,
The best father ni baba yako.
The best wife ni mkeo/memo
The best country ni Tanzania,
The best president ni Magufuli.
P.
Best kwenye nn?
 
Naunga mkono hoja na hata Katto hili analijua.

Ni ukweli usiofichika kuwa rais Magufuli is the best that we have, kwa kanuni ya penda chako.

The best mother duniani ni mama yako,
The best father ni baba yako.
The best wife ni mkeo/memo
The best country ni Tanzania,
The best president ni Magufuli.
P.

Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A Man of The People!

Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere!
Aisee
 
RAIS BORA AFRICA
Leo tukipewa nafasi ya kuchagua kiongozi bora Africa na duniani. Nitakuchagua Rais wangu Mhe. Dr. John Joseph Pombe Magufuli. Sababu za kukuchagua;
1. Mpaka hivi sasa umerejesha thamani ya utumishi wa umma.
2. Umepambana na mafisadi na wabadhirufu kwa vitendo
3. Umetekeleza sera ya viwanda kwa vitendo.
4. Umeboresha miundo mbinu (fly overs zinajengwa, Standard gauge kwa Upande wa Reli, maboresho ya viwanja vya ndege na shirika la ATCL)
5. Umetekeleza ahadi ya Elimu bure kwa vitendo.

Hizi sababu 5 kila moja inazaa faida zaidi ya 20. Hivyo tunayo sababu kubwa ya kukuamini na kukupenda.

Watanzania pamoja na maboresho hayo bado nchi yetu ina changamoto nyingi ambazo ili tukabiliane nazo tunahitaji ushiriki wetu kwa kuiunga mkono serikali yetu. Hata nchi Zenye uchumi mkubwa kama Marekani hazikosi Changamoto na ndo maana zina vyama vya upinzani. Changamoto hizo haziwafanyi waandamane au kuitukana serikali Yao. Changamoto zao ndo zinawaunganisha na kuwafanya kuwa taifa lenye nguvu duniani. Hivyo lazima kama taifa tuisaidie serikali yetu katika utatuzi wa Changamoto zinazotukabili

View attachment 718140

We uliwahi kutembea nchi ngapi Africa na dunian hadi uone kuwa maraisi wengine hawamfikii! Siku nzi akiacha upuuzi kama ulivyo wewe atatengeneza asali!!
 
Ni maoni yako mkuu, upo huru kumsifia katika kila kitu na ni muhimu pia umjuze wapo watakaomkosoa katika kila kitu. Tubishane kwa hoja, nchi hii ni yetu sote.

Sisi hoja tunajibu kwa smg kupitia wasiojulikana!!Hatuna nafasi ya kujibu hoja
 
Mayalla kuna kanafasi unakanyemelea?
Hahaaa Mayalla majibu yake na comments zake ni very technical, ukisoma kichwakichwa hautamuelewa. Hatafuti ukuu wa wilaya kama unavyofikilia.
 
Sisi hoja tunajibu kwa smg kupitia wasiojulikana!!Hatuna nafasi ya kujibu hoja
Mkuu, hebu tutoke nje ya mada kidogo..unaweza kunipatia mawasiliano ya huyo binti namuona katika avatar yako??
 
RAIS BORA AFRICA
Leo tukipewa nafasi ya kuchagua kiongozi bora Africa na duniani. Nitakuchagua Rais wangu Mhe. Dr. John Joseph Pombe Magufuli. Sababu za kukuchagua;
1. Mpaka hivi sasa umerejesha thamani ya utumishi wa umma.
2. Umepambana na mafisadi na wabadhirufu kwa vitendo
3. Umetekeleza sera ya viwanda kwa vitendo.
4. Umeboresha miundo mbinu (fly overs zinajengwa, Standard gauge kwa Upande wa Reli, maboresho ya viwanja vya ndege na shirika la ATCL)
5. Umetekeleza ahadi ya Elimu bure kwa vitendo.

Hizi sababu 5 kila moja inazaa faida zaidi ya 20. Hivyo tunayo sababu kubwa ya kukuamini na kukupenda.

Watanzania pamoja na maboresho hayo bado nchi yetu ina changamoto nyingi ambazo ili tukabiliane nazo tunahitaji ushiriki wetu kwa kuiunga mkono serikali yetu. Hata nchi Zenye uchumi mkubwa kama Marekani hazikosi Changamoto na ndo maana zina vyama vya upinzani. Changamoto hizo haziwafanyi waandamane au kuitukana serikali Yao. Changamoto zao ndo zinawaunganisha na kuwafanya kuwa taifa lenye nguvu duniani. Hivyo lazima kama taifa tuisaidie serikali yetu katika utatuzi wa Changamoto zinazotukabili

View attachment 718140
wakati wa bishara ya utumwa wapo ndugu zako walijipeleka wenyewewe utumwani, historia hujirudia!
 
Back
Top Bottom