Magufuli ndie Rais bora Afrika na Duniani

Magufuli ndie Rais bora Afrika na Duniani

RAIS BORA AFRICA
Leo tukipewa nafasi ya kuchagua kiongozi bora Africa na duniani. Nitakuchagua Rais wangu Mhe. Dr. John Joseph Pombe Magufuli. Sababu za kukuchagua;
1. Mpaka hivi sasa umerejesha thamani ya utumishi wa umma.
2. Umepambana na mafisadi na wabadhirufu kwa vitendo
3. Umetekeleza sera ya viwanda kwa vitendo.
4. Umeboresha miundo mbinu (fly overs zinajengwa, Standard gauge kwa Upande wa Reli, maboresho ya viwanja vya ndege na shirika la ATCL)
5. Umetekeleza ahadi ya Elimu bure kwa vitendo.

Hizi sababu 5 kila moja inazaa faida zaidi ya 20. Hivyo tunayo sababu kubwa ya kukuamini na kukupenda.

Watanzania pamoja na maboresho hayo bado nchi yetu ina changamoto nyingi ambazo ili tukabiliane nazo tunahitaji ushiriki wetu kwa kuiunga mkono serikali yetu. Hata nchi Zenye uchumi mkubwa kama Marekani hazikosi Changamoto na ndo maana zina vyama vya upinzani. Changamoto hizo haziwafanyi waandamane au kuitukana serikali Yao. Changamoto zao ndo zinawaunganisha na kuwafanya kuwa taifa lenye nguvu duniani. Hivyo lazima kama taifa tuisaidie serikali yetu katika utatuzi wa Changamoto zinazotukabili

View attachment 718140
Maendeleo ya kwanza kabisa ya mwanadamu ni uhuru wake wa kuishi, kama huyu mtu wako alishasema hawezi kuheshimu haki za binadamu ana tofauti gani na muuaji!

Hayo maendeleo ikiwa watu wanashambuliwa na kuuliwa sababu ya kutofautiana mawazo na huyo mtu wako yana thamani gani kwetu wananchi?

Kumtetea huyu jamaa yenu inahitaji kujitoa akili kweli kweli!
 
Mkuu Tea Bag, hakuna kanafasi chochote ninacho kanyemelea, bali siku zote mimi ni mkweli daima.

Ni ukweli usiofichika kuwa rais Magufuli is the best that we have, kwa kanuni ya penda chako.

The best mother duniani ni mama yako,
The best father ni baba yako.
The best wife ni mkeo/memo
The best country ni Tanzania,
The best president ni Magufuli.
P.
Hahah nimekusoma vyema...
 
KUNA NINI HUKO LUMUMBA, NAONA LEO NI MWENDO WA POST ZA KUMSIFU MALAIKA MKUU WA MALAIKA WOTE.
 
RAIS BORA AFRICA
Leo tukipewa nafasi ya kuchagua kiongozi bora Africa na duniani. Nitakuchagua Rais wangu Mhe. Dr. John Joseph Pombe Magufuli. Sababu za kukuchagua;
1. Mpaka hivi sasa umerejesha thamani ya utumishi wa umma.
2. Umepambana na mafisadi na wabadhirufu kwa vitendo
3. Umetekeleza sera ya viwanda kwa vitendo.
4. Umeboresha miundo mbinu (fly overs zinajengwa, Standard gauge kwa Upande wa Reli, maboresho ya viwanja vya ndege na shirika la ATCL)
5. Umetekeleza ahadi ya Elimu bure kwa vitendo.

Hizi sababu 5 kila moja inazaa faida zaidi ya 20. Hivyo tunayo sababu kubwa ya kukuamini na kukupenda.

Watanzania pamoja na maboresho hayo bado nchi yetu ina changamoto nyingi ambazo ili tukabiliane nazo tunahitaji ushiriki wetu kwa kuiunga mkono serikali yetu. Hata nchi Zenye uchumi mkubwa kama Marekani hazikosi Changamoto na ndo maana zina vyama vya upinzani. Changamoto hizo haziwafanyi waandamane au kuitukana serikali Yao. Changamoto zao ndo zinawaunganisha na kuwafanya kuwa taifa lenye nguvu duniani. Hivyo lazima kama taifa tuisaidie serikali yetu katika utatuzi wa Changamoto zinazotukabili

View attachment 718140
Endelea ipo siku atakuona na atskutupia tonge,maana unalisaka tonge kwa juhudi sana.Akili iliyochanganywa na utindio wa ubongo
 
beki hasifiwi.ni majukumu yake kufanya kila lililo jema kwa nchi yake kwani yuko hapo kwa ajili gani.
 
Naunga mkono hoja na hata Katto hili analijua.

Ni ukweli usiofichika kuwa rais Magufuli is the best that we have, kwa kanuni ya penda chako.

The best mother duniani ni mama yako,
The best father ni baba yako.
The best wife ni mkeo/memo
The best country ni Tanzania,
The best president ni Magufuli.
P.

Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A Man of The People!

Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere!

Magufuli anafanya kazi na anaweza japo ana mapungufu yake
 
Watu anasema magufuli kakanyaga demokrasia, sioni kwanini kupotosha baadhi ya mambo,

Wanakikundi wanaoendelea kuchafua Tanzania hawatafanikiwa,

ACCACIA na magabachori wengine wameichafua tanzania vya kutosha lakin naona kama vile wakiendelea kuchagua Magufuli ndo anasigina kabisaa hatoi mguu kwenye kidole cha mwisho,

Nani yuko nyuma ya mpango mkakati wa kuichafua Tanzania yetu?

Uongozi wa Magufuli una ahueni kuliko wa Nyerere na Mkapa
Mkuu endelea
1. Punguza wafanyakazi hewa mkuu
2. Tutaftie wakuu wa mikoa kariba ya makonda mnyeti, Gambo na Mongella ni wachapa kazi
3. Teua mabalozi wanaosimamia ukweli kama dr slaa
4. Hakuna mwanafunzi mwenye mimba atakayerudi shule
5. Pesa zote zirudi hazina tu hakiki kwanza
6. Tumia kale kakifungu kadogo kale zuia maandamano, na mikutano ya siasa,
7. Kile kifungu kikubwa kiwasapeleke watu kisongo

Basi kanyaga hapo hapo
 
Leo mmeamrishwa kumsifia kiongozi wa malaika na mwanae bashite....
 
Wewe ndo mjinga coz hujui thamani ya ulichonacho. Wasomi ndo wanajua thamani ya magufuli, kama umewahi kutoka nje ya nchi basi utagundua huyu ndo rais anayetufaa, ila kama hujavuka boda my friend mtamlaumu sana anko magu. Hii ndo life style ya nchi zote zilizoendelea.

Hao wasomi wanaomsifia ni wa nchi gani? nadhani watakuwa wa Rwanda sampuli ya Lipumba, rais gani anayependa sifa tu, akikosolewa anaua watu.
 
Back
Top Bottom