Magufuli ndie Rais bora Afrika na Duniani

Magufuli ndie Rais bora Afrika na Duniani

Nyongeza kwa watumishi imemshinda kabisa inatia aibu
 
Mkuu Tea Bag, hakuna kanafasi chochote ninacho kanyemelea, bali siku zote mimi ni mkweli daima.

Ni ukweli usiofichika kuwa rais Magufuli is the best that we have, kwa kanuni ya penda chako.

The best mother duniani ni mama yako,
The best father ni baba yako.
The best wife ni mkeo/memo
The best country ni Tanzania,
The best president ni Magufuli.
P.
Ameumba mbuga ya wanyama Burigi bado kidogo amkute MUNGU
 
Naunga mkono hoja na hata Katto hili analijua.

Ni ukweli usiofichika kuwa rais Magufuli is the best that we have, kwa kanuni ya penda chako.

The best mother duniani ni mama yako,
The best father ni baba yako.
The best wife ni mkeo/memo
The best country ni Tanzania,
The best president ni Magufuli.
P.

Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A Man of The People!

Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere!
Umekumbuka
 
wako wakina putin, xi, trump..narendra... ndo level za dunia hizo.. jiko la mchina usiliweke kwenye level za majiko ya gesi...ngoja nisiseme sana.
hata hivyo hongera kwa kuonesha mahaba yako.
 
Watumishi wamekaa miaka mnne Hakuna ongezeko la mshahara walabkupanda vyeo ambao sio hisani ya Rais bali iko kisheria,, Umetumwa?
 
Hata mi nakubali ndiye Raisi bora Africa na duniani, ona haya aliyoyafanya kwa wanainchi wetu wa kule kijijini.




Mleta mada na Magu wako wote mnastahili kushtakiwa kwa kuchafua hali ya hewa ya nchi.
 
Back
Top Bottom