Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,035
- 144,388
HahahaaaUtaambiwa Walisimama Katikati Ni Pazuri
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Wakubali kuwa walikosea!! Na waadhibiwe wote ili iwe fundisho hata Kwa hawa akina NDIO wa sasa, wanaokwenda kuzomea tu BungeniKujikwaa sio kuanguka, kama walikosea kwahiyo waendelee kukosea
Mpwa unajua nimegundua JF hii slogan tunatumia ya HOME OF GREAT THINKERS sio sahihi hata kidogo. Humu lipo kundi la majitu hopeless kabisa.Wakati ni mwamuzi mwaminifu saaaana aiseee! Wanafiki wakubwa Hao, wangewasikiliza akina Mbowe Leo tungekua Mbali
Halafu leo wanapiga makofi na kujifanya hawajui lolote... Ningekua Mbunge wangenifukuza aiseeeMpwa unajua nimegundua JF hii slogan tunatumia ya HOME OF GREAT THINKERS sio sahihi hata kidogo. Humu lipo kundi la majitu hopeless kabisa.
Unakumbuka haya mambo yalijadiliwa humu na hayo majitu kama mazwazwa yalipinga tena kwa matusi makubwa sana. Yenyewe lolote linaloletwa na ccm kwao ni la kuunga mkono tuu, ona sasa yatokeayo!
Leo hii hata kwenye manunuzi ya ndege na pasi za kusafiria mnapinga watu kuhoji alafu kesho mje mseme kujikwaa sio kuanguka.Kujikwaa sio kuanguka, kama walikosea kwahiyo waendelee kukosea
Hiyo ni "miroboti" iliyosetiwa kupiga makofi kwa kila jambo.Mpwa unajua nimegundua JF hii slogan tunatumia ya HOME OF GREAT THINKERS sio sahihi hata kidogo. Humu lipo kundi la majitu hopeless kabisa.
Unakumbuka haya mambo yalijadiliwa humu na hayo majitu kama mazwazwa yalipinga tena kwa matusi makubwa sana. Yenyewe lolote linaloletwa na ccm kwao ni la kuunga mkono tuu, ona sasa yatokeayo!
TusubiriSubirini na kupuuza swala kujenga stiegler's Gorge bila kuzingatia EIA litakavyokuja kuwaumbua.