Magufuli na spika Ndugai walisimama upande gani wakati wapinzani wakipinga miswada hii kuwasilishwa kwa hati ya dharua?

Miaka kumi ijayo zitakua zinaundwa kamati kuchunguza madudu yanayofanywa na CCM wakati huu kama vile upotevu wa 1.5T, uwanja wa ndege chato, manunuzi ya ndege n.k, it's a never ending vicious circle of curruption. I blame nyerere he created this
 
Wakati ni mwamuzi mwaminifu saaaana aiseee! Wanafiki wakubwa Hao, wangewasikiliza akina Mbowe Leo tungekua Mbali
Mpwa unajua nimegundua JF hii slogan tunatumia ya HOME OF GREAT THINKERS sio sahihi hata kidogo. Humu lipo kundi la majitu hopeless kabisa.
Unakumbuka haya mambo yalijadiliwa humu na hayo majitu kama mazwazwa yalipinga tena kwa matusi makubwa sana. Yenyewe lolote linaloletwa na ccm kwao ni la kuunga mkono tuu, ona sasa yatokeayo!
 
Halafu leo wanapiga makofi na kujifanya hawajui lolote... Ningekua Mbunge wangenifukuza aiseee
 
Kujikwaa sio kuanguka, kama walikosea kwahiyo waendelee kukosea
Leo hii hata kwenye manunuzi ya ndege na pasi za kusafiria mnapinga watu kuhoji alafu kesho mje mseme kujikwaa sio kuanguka.

Basi hata wafungwa walio magerezeni nao wote waachiwe maana kujikwaa sio kuanguka.

Subirini na kupuuza swala kujenga stiegler's Gorge bila kuzingatia EIA litakavyokuja kuwaumbua.
 
Mpwa unajua nimegundua JF hii slogan tunatumia ya HOME OF GREAT THINKERS sio sahihi hata kidogo. Humu lipo kundi la majitu hopeless kabisa.
Unakumbuka haya mambo yalijadiliwa humu na hayo majitu kama mazwazwa yalipinga tena kwa matusi makubwa sana. Yenyewe lolote linaloletwa na ccm kwao ni la kuunga mkono tuu, ona sasa yatokeayo!
Hiyo ni "miroboti" iliyosetiwa kupiga makofi kwa kila jambo.
 
Back
Top Bottom