Mmawia, Daudi Mchambuzi , Erythrocyte & Co. mmakaribishwa ktk ante party ya kusherehekea ushindi wa kishindo wa jpm 2020.Ndio ukweli huo, mtu apende ama asipende Ila ndo hivyo. Tofauti na wagombea wengine, JPM ataendelea kuwa Rais hadi 2025.
Sababu za kumpa ushindi ni nyingi wala hazihesabiki, akianguka sana ni amepata robo tatu(75%) ya kura zote. Kwa hiyo ni uamuzi wa wapiga kura kuweka kura zao kwenye kapu la ushindi ama kuzitoa kafara.
Kuhusu wapinzani, kwanza watambue hamasa yao mitandaoni hailandani na uhalisia wa mitaani. Pili wasikate tamaa maana uchaguzi ni haki yao. Tatu, wawe tayari kukubali na kusaini karatasi za matokeo.
Kwa wale wanaopingana na huu uzi niwasihi wazitunze comments zao hadi mwezi November.
View attachment 1538043
Kama mnaamini Pombe atashinda kwanini mataga mnatuma wahuni wavamie shuhuli za vyama vya upinzani?Mmawia, Daudi Mchambuzi , Erythrocyte & Co. mmakaribishwa ktk ante party ya kusherehekea ushindi wa kishindo wa jpm 2020.
Huwa natoa LIKE mara chache sana kadri navyooma inafaa kamata LIKE hiyo jamaa angu 👍Bora nikampigie kura Hashimu Rungwe Spunda ambaye anatambua ni nini hasa mwanadamu anacho kihitaji zaidi katika maisha yake! CHAKULA! Ila siyo huyo anayewaza kununua tu ndege na kujenga flyovers akiamini ndiyo maendeleo ya kweli.
Tumchague ili iweje? Tuendelee kuishi kama mashetani halafu yeye mwenyewe, familia yake, watu wake wa karibu, marafiki zake na vibaraka wake ukiwemo wewe mtoa mada, ili tu muendelee peke yenu kufaidi mema ya nchi hii kwa kupitia njia ya kizamani na ya kinafiki ya kumlamba miguu yake!!
Big NO [emoji777]
Hao wanaovamia ni matukio yanatengenezwa na chadema ili kutafuta kiki kuwa wanaonewa ktk jukwaa la kimataifa...sinema limebugi...Kama mnaamini Pombe atashinda kwanini mataga mnatuma wahuni wavamie shuhuli za vyama vya upinzani?
Ni kwa nini mnapiga fine maradio na tv wanaorusha habari za Lissu?Hao wanaovamia ni matukio yanatengenezwa na chadema ili kutafuta kiki kuwa wanaonewa ktk jukwaa la kimataifa...sinema limebugi...
Hofu yenu ndio ugonjwa wenu. Mnapita karibu na kituo cha polisi ukimuona polisi unahisi anakuandama wewe.Ni kwa nini mnapiga fine maradio na tv wanaorusha habari za Lissu?
Kwa nini mnatuma mapolisi kuvizia form za wagombea wa upinzani?
Ni nini hicho kinachowaogopesha sana hadi mnatamani jina la Lissu lienguliwe??
This round mmejichanga mmeingia cha kiume tunawapa dozi.Hofu yenu ndio ugonjwa wenu. Mnapita karibu na kituo cha polisi ukimuona polisi unahisi anakuandama wewe.
Huu wimbo upo toka 2015..This round mmejichanga mmeingia cha kiume tunawapa dozi.
Mwaka huu mlizani mtapata mteremko mmekutana na balaa la lisu mmeanza kujikojolea 🤣🤣Huu wimbo upo toka 2015..
Lissu sio threat at all. Hamna anachoongea mpaka sasa kuwa atafanya nini zaidi ya personal attacks..Mwaka huu mlizani mtapata mteremko mmekutana na balaa la lisu mmeanza kujikojolea 🤣🤣
Kama Lissu sio threat ni kwanini mataga mnavamia mikutano yake mkiwa mmepanic namna hii?Lissu sio threat at all. Hamna anachoongea mpaka sasa kuwa atafanya nini zaidi ya personal attacks..
Hamna kitu pale!
Nimekwambia ni provocation ya chadema...unapata ukitakacho..Kama Lissu sio threat ni kwanini mataga mnavamia mikutano yake mkiwa mmepanic namna hii?
Next time na wewe njoo tukivuje kiuno hicho.Nimekwambia ni provocation ya chadema...unapata ukitakacho..
Sawa...Next time na wewe njoo tukivuje kiuno hicho.
Tumia angalau 10% ya akili yako, hicho chakula kinatoka mbinguni, so ufanye kazi uweze kununua hicho chakula au ukizalisheBora nikampigie kura Hashimu Rungwe Spunda ambaye anatambua ni nini hasa mwanadamu anacho kihitaji zaidi katika maisha yake! CHAKULA! Ila siyo huyo anayewaza kununua tu ndege na kujenga flyovers akiamini ndiyo maendeleo ya kweli.
Tumchague ili iweje? Tuendelee kuishi kama mashetani halafu yeye mwenyewe, familia yake, watu wake wa karibu, marafiki zake na vibaraka wake ukiwemo wewe mtoa mada, ili tu muendelee peke yenu kufaidi mema ya nchi hii kwa kupitia njia ya kizamani na ya kinafiki ya kumlamba miguu yake!!
Big NO [emoji777]
Kitu pekee cha kumfanya JPM aonekane Rais wa ajabu ni iwapo atakosa usingizi kwa hofu na stress za huu uchaguzi. Eti ashindwe uchaguzi wa term ya pili? Hilo halijawahi kutokea kwa yeyote aliyemtangulia kwenye urais.Mmawia, Daudi Mchambuzi , Erythrocyte & Co. mmakaribishwa ktk ante party ya kusherehekea ushindi wa kishindo wa jpm 2020.
Duh..Meko ni lazima akae pembeni na madaraja yake.
Watanzania wanahitaji ustawi katika maisha yao ya kila siku sio madaraja pekee ambayo hayamfanyi mtu ashibe.