Ni haki yako kumpigia kura umtakaye, kwani 2015 ulimpigia nani kura?Bora nikampigie kura Hashimu Rungwe Spunda ambaye anatambua ni hasa mwanadamu anacho kihitaji. Ila siyo huyo dikteta wenu uchwara...[emoji777]
Kwa aliye timamu kumkichwa haiingii akilini kuamini eti Magufuli atakuwa one term President Tena katika nyakati ambapo wapinzani wanatembea kwa kuchechemea...
Mkuu kumradhi kama ndivyo nilivyoeleweka.Najua Wewe ni mwana CCM Mwenzangu ila neno lako la 'Dhihaka' la Wapinzani 'Wanachechemea' ukimlenga Tundu Lissu sijalipenda. Tubu kwa Mola!
HaaaahaaaaaNdio ukweli huo, mtu apende ama asipende Ila ndo hivyo. Tofauti na wagombea wengine, JPM ataendelea kuwa Rais hadi 2025.
Sababu za kumpa ushindi ni nyingi wala hazihesabiki, akianguka sana ni amepata robo tatu(75%) ya kura zote. Kwa hiyo ni uamuzi wa wapiga kura kuweka kura zao kwenye kapu la ushindi ama kuzitoa kafara.
Kuhusu wapinzani, kwanza watambue hamasa yao mitandaoni hailandani na uhalisia wa mitaani. Pili wasikate tamaa maana uchaguzi ni haki yao. Tatu, wawe tayari kukubali na kusaini karatasi za matokeo.
Kwa wale wanaopingana na huu uzi niwasihi wazitunze comments zao hadi mwezi November.
View attachment 1538043
Akamalizie alipo NkurunzizaMbona anachoka ghafla hivyo? Ataimaliza mitano kweli akipewa?
We unaonaje ? Tafasili uonavyoUnacheka au unapiga mihayo?😵
Yamekuwa hayo tena...mtu apende asipende! Kumbe hakuna tena cha uchaguzi wala nini. Sawa. Laiti mngekuwa mnasoma historia msingetoa kauli hizi za hatari. Kumbe heri hata Polepole aliyekiri kwamba uchaguzi ukiwa huru na wa haki, CCM isahau ushindi.Ndio ukweli huo, mtu apende ama asipende Ila ndo hivyo. Tofauti na wagombea wengine, JPM ataendelea kuwa Rais hadi 2025.
Ndo hivyo Mkuu, maana halisi ya uchaguzi ni kupenda na kutokupenda kwa watu. Mwaka 2015 zaidi ya watu milioni sita hawakupenda Dr Magufuli awe Rais, lakini haikumzuia Magufuli kuwa Rais. Haikuwa chuki bali mapenzi ya watu kwenye uwanja wa demokrasia.Yamekuwa hayo tena...mtu apende asipende! Kumbe hakuna tena cha uchaguzi wala nini. Sawa. Laiti mngekuwa mnasoma historia msingetoa kauli hizi za hatari. Kumbe heri hata Polepole aliyekiri kwamba uchaguzi ukiwa huru na wa haki, CCM isahau ushindi.
Napata shida kidogo hapa CHARMILTON, naomba unisaidie. Ina maana hata akijitoa mtamlazimisha? Aliwahi kulalamika kuwa mwaka 2015 mlimsukumizia, je safari hii mtatumia mbinu gani? Hivi mnayo habari kwamba Mungu naye yupo na kuna mapenzi yake?
Mathalani kwa kuwa ni tupende tusipende, je tusiopenda mtatufanyaje? Je tuhame nchi au tayari dawa yetu iko jikoni ikichemka? Naomba sana utudokezee ndugu yetu kama sisi wengine tuanze kufungasha virago! Tupende tusipende, kumbe ndio maana! Ole wetu!
Huyo anadai yeye ni msema ukweli kwa hiyo ni mpenzi wa Mungu ndo maana Kanisani habanduki ili asipendwe zaidi akachukuliwa kabla hata ya siku ya Uchaguzi. Those whom the gods love die young, so be it!JPM is here to stay, Mitano tena uhakika