Magufuli, Lowassa, Rostam, Apson: Pengine ni Mikutano tu, pengine ni zaidi ya mikutano

Masikitiko kusema kuwa kuna mchezo mchafu Jiwe atachezewa akija kushtuka ameshaliwa na kashaumia. Muda ndio msema kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawamchezei mchezo wowote bali wote kwa umoja wao wanacheza mchezo mchafu against taifa letu. Tokea rais amekuwa karibu na hawa majamaa kwanza ameacha kutoka hadharani kuzungumza mambo ya msingi ya kitaifa kama ilivyozoeleka awali na ameacha kuhimiza sera yake ya viwanda na masuala ya ufisadi na uwizi ameacha kupigana kimyakimya. Nimeanza kupata mashaka kwa rais wangu huyu. Rais wetu kuwa karibu na Rostam Aziz na lowasa ni fedheha sana. Hawa ni watu ambao walitakiwa lupango kitambo sana.
 
Kweli Tulishasema huyu Jiwe ni Sarakasi tu, eti anawapenda Masikini! Mmh, maajabu, atawafurahisha tu Safari hii. Team Mafisadi on the right traki.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hakuna aliyewahi kufauru kuendesha nchi bila kuwa karbu na matajiri! nampongeza kwa kukili alikosea kuwabeza matajiri sasa ameanza kuwapigia magoti.hakuna mwenye pesa aliyekosa kuwa fisadi hususani kwa nchi zetu hizi maskini
 
"When you are fighting vampires make sure you don't become one of them"...

Sasa kuna mtu alianzisha vita ya kupigana na vampires na kwa bahati mbaya sana na yeye mwenyewe keshageuzwa kuwa vampire. Ni suala la muda tu, dalili zote zitaonekana.
 
Back
Top Bottom