TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,807
Tayari kaanza. ...Nasubiri Mghwira naye aanze vioja.
lugha ya staha ni bora kwa kiongozi wako zaidi ya hivi ulivyoandika kati ya wewe na wao nani mhuni na mshenzi
ww umeyaona ya upande wako he ujinga wanaofanyiwa upande as pili ni sawa au?ni sawa? Mtu mzima mwenye uelewa akikudharau kuna faida gani kumheshim?unafikiri kuwaweka ndani kunasidia? au ndo kuwatengeneza watu kuwa na ngozi ngumu hata kusema liwalo na liwe?popo ww.Kutumia lugha nzuri hamuwezi???? Kwanini mnatukana viongozi wetu kama hamuwataki???? Lugha iliotumiwa na mleta mada kuwa RCs na DCs ni wahuni na washenzi haikubaliki....mods hawa watu wanatuharibia jukwaa letu na forum yetu kwa ujumla....
Mzee Magu Ana nia njema ya kukomesha wezi na wabadhilifu lakini kwa kuwa anshindwa kusimamia haki ya watu wake nina imani iko siku ataangukia pua , na nyie timu Magu unaoshabikia uoza huu eleweni mnaingamiza Tanzania
lugha ya staha ni bora kwa kiongozi wako zaidi ya hivi ulivyoandika kati ya wewe na wao nani mhuni na mshenzi
Matendo yao MaDC ni ya kihuni, elewa hivo !Kutumia lugha nzuri hamuwezi???? Kwanini mnatukana viongozi wetu kama hamuwataki???? Lugha iliotumiwa na mleta mada kuwa RCs na DCs ni wahuni na washenzi haikubaliki....mods hawa watu wanatuharibia jukwaa letu na forum yetu kwa ujumla....
Hata ya Kibiti ni dalili tosha. Zile kauli kuwa Polisi lazima aogopwe na RAIA hajajua zinatumika vibaya na kujenga chuki.tuache utani rais wetu mengi yansmshinda hasa kuenzi umoja na mshikamano wa taifa letu.hali inazidi kuwa mbaya....
Nasubiri Mghwira naye aanze vioja.
Achana nao sisi tunaendelea na Kilimo kwanza cha mihogo kule pwani kibiti siku watakapodhitukia sisi tunavuna.Mimi siwaelewi na Naaza Kuwadharau sana, Watu ambao Kila akitokea Mkuu wa Wilaya au Mkoa Kufanya Jambo la Kishenzi dhidi ya Wapinzani au Wananchi moja kwa moja, Basi watu hawa Wanasema Kuwa Rais hahusiki, hajawatuma.
Hawa Wakuu wa Wilaya, na Wakuu wa Mikoa wanateuliwa na Rais, Na Rais Mwenye akili Timamu hawezi Kunyamazia Wateule wake wanapofanya Mambo ambayo ni Uvunjifu wa Sheria. Kuna Matukio Mengi ya Kukera, ya Kihuni na Kihalifu yamefanywa na Wakuu wa Wilaya na wa Mikoa! Kama Kupora Rambi Rambi, Kuvuruga Misiba, Kuingilia Kihamba cha asili cha Mtu na Kuharibu Mazao tena bila hata amri ha Mahakama! Unamwingilia Mtu kwenye shamba la Asili! Ni kama Kumwingilia Magufuli Shambani kwake Chato! Kumkamata Mbunge wa Ubungo, Kuvamia Clouds!
Rais Magufuli Kama hawatumi hawa Wahuni, washenzi, na Wahalifu, Yeye au Mtetezi wake yeyote hapa anieleze ni lini alishawahi Kukemea tabia hizi au kumwajibisha angalau mmoja wa Watu wake hawa wahalifu, maana siwezi kuwaita wahuni viongozi!
Nani Kawaloga Watanzania Mpaka wanaheshimu watu Wanaobeba Mbeleko uhuni wa aina hii?