Magufuli kwa heri, hukustahili kuwa Rais

Magufuli aliku rais wa ajabu haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa Taifa la Tanzania, Magufuli alikua rais asieheshimu taratibu za Nchi akaifanya Nchi kuwa geto na wafuasi wake kina Sabaya na wengine wengi, Hakika kuondoka kwa magufuli watanzania wanaupata Uhuru wamara ya pili baada ya ule wa miaka sitini.
 
Akikiyako imefika mwisho yani huoni chakufanya zaidi ya kumlaumu marehem.

Hapo una lilia kazi pengine huna hatacheti.

Otherwise wewe ama unao wategeme walikuwa wapigadili uchwara sasa mlikatiwa vimirija ndio mana mnalia lia hovyo.

Nyie ndio mnajifanya ooh magu kabana pesa kumbe mnaendekesa umaskini wa kujitakia kwa uvivu, magu aliwaambia asiefanya kazi na asile sasa wewe baki kulialia tu muda unakwena unazidi kuzeeka bila kujijua pigakazi lipakodi utatoboa.

Usitegemee kama kuna rais atakuletea chai mezani, utakufa uku unashabikia tu wenzako wanapiga kazi maisha yanasong.
Hela inaonekanaje mtaani wakati Magufuli kachukua hela zote mtaani kaenda chato kujenga? Angetoa ajira hela zingekuwepo mtaani sababu, Mwalimu akipata ajira ataenda kwa muuza vifaa vya ndani atanunua vitu kupitia huo mshahara wake, Sasa magufuli anataka watu wawe na pesa wakati hakuna ajira aliyoitoa huu ni udwanzi.
 
Wakuu inatosha, tumsamehe tu, binadamu hatukosi makosa isipokuwa tu makosa yanazidiana.
Yule alikuwa anabeba hatima ya Taifa hapaswi kusamehewa , Mbona Hitler mpaka leo hii hamjasamehe !!
 
Umesahau kusema aliwasamehe akina Babu Seya pia..

Na kufanya uzinduzi wa hotel Verde ya Zanzibar pia ilikuwa ni harakati yake ya kufanya matajiri waishi kama mashetani,

Yani kwenye kipindi chake wasanii mateja waliongezeka.. na mateja kwa ujumla walitamalaki

Au sio mkuu...??
Unafukuza shule wanafunzi waliopata mimba halafu unasamehe wabakaji!!?
 
Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri.

Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli.

Ameua ndoto za vijana kwa kuwanyima ajira akiwaambia wajiajiri huku watoto zake na watu wake wa karibu akiwapa ajira, mtoto wake Ruth Magufuli alimpa UDAS Morogoro Mjini mpaka muda huu ninavoongea bado ana cheo hicho alikuwa na ulinzi zaidi ya RC na gari zuri zaidi ya bosi wake Mkuu wa Wilaya na mbaya zaidi na mume wake naye akampa UDAS Wilaya ya Mvomero, Mtoto wake mwingine Jesca Akampachika REA ambako yuko mpaka sasa.

Baada ya Magufuli kufa, Ruth ameondolewa ulinzi.

Cha kushangaza, Walala hoi waliambiwa wakajiajiri, Alikuwa na chuki zisizohimilika na hakusita kuzionesha waziwazi.

Hakupenda kuona watu ni matajiri, kwa akili yake alitaka matajiri waishi kama shetani.

Hebu ngoja nipige bia then nirudi
Mkuu wewe ndiye uliyestahili binadamu hatuna wema katika awamu zote kila mtu ukimuuliza atasema hivyo kimsingi alifanya kwa nafasi yake usisahau yeye nu binadamu. Tu
 
Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri.

Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli.

Ameua ndoto za vijana kwa kuwanyima ajira akiwaambia wajiajiri huku watoto zake na watu wake wa karibu akiwapa ajira, mtoto wake Ruth Magufuli alimpa UDAS Morogoro Mjini mpaka muda huu ninavoongea bado ana cheo hicho alikuwa na ulinzi zaidi ya RC na gari zuri zaidi ya bosi wake Mkuu wa Wilaya na mbaya zaidi na mume wake naye akampa UDAS Wilaya ya Mvomero, Mtoto wake mwingine Jesca Akampachika REA ambako yuko mpaka sasa.

Baada ya Magufuli kufa, Ruth ameondolewa ulinzi.

Cha kushangaza, Walala hoi waliambiwa wakajiajiri, Alikuwa na chuki zisizohimilika na hakusita kuzionesha waziwazi.

Hakupenda kuona watu ni matajiri, kwa akili yake alitaka matajiri waishi kama shetani.

Hebu ngoja nipige bia then nirudi
Wewe wanao ungewapa nini kama ungekua rais??

Damu nzito kuliko maji
 
Nakumbuka kauli ya mzee Kingunge kwamba "yule mwingine hafai kuwa rais anafaa kuwa mnyapara wa barabara.."

Mzee alimkazia Hadi mauti ilipo mkuta hakuunga mkono juhudi
Hao ndio wafuasi wa Nyerere, wana maono na wana msimamo!
 
Jamaa hakustahili kuongoza hata nyumba 10 alikuwa na shida kichwani. watu waliomzunguka walitukosea sana kuachia jamaa ashike nafasi kubwa hivo.

watu wa tabia km za mwendazake wanaitwa psychopaths hii no ugonjwa ambao mtu anaefurahia wengine wakiumia

20210405_145305.jpg
 
Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri.

Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli.

Ameua ndoto za vijana kwa kuwanyima ajira akiwaambia wajiajiri huku watoto zake na watu wake wa karibu akiwapa ajira, mtoto wake Ruth Magufuli alimpa UDAS Morogoro Mjini mpaka muda huu ninavoongea bado ana cheo hicho alikuwa na ulinzi zaidi ya RC na gari zuri zaidi ya bosi wake Mkuu wa Wilaya na mbaya zaidi na mume wake naye akampa UDAS Wilaya ya Mvomero, Mtoto wake mwingine Jesca Akampachika REA ambako yuko mpaka sasa.

Baada ya Magufuli kufa, Ruth ameondolewa ulinzi.

Cha kushangaza, Walala hoi waliambiwa wakajiajiri, Alikuwa na chuki zisizohimilika na hakusita kuzionesha waziwazi.

Hakupenda kuona watu ni matajiri, kwa akili yake alitaka matajiri waishi kama shetani.

Hebu ngoja nipige bia then nirudi
Jibu lako hilo
 
Magufuli aliku rais wa ajabu haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa Taifa la Tanzania, Magufuli alikua rais asieheshimu taratibu za Nchi akaifanya Nchi kuwa geto na wafuasi wake kina Sabaya na wengine wengi, Hakika kuondoka kwa magufuli watanzania wanaupata Uhuru wamara ya pili baada ya ule wa miaka sitini.
Dah niliwaza tutaishije na huyu Baba mpaka 2025kisha aongeze tena kumi.

Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
Mi ningekua raisi ningekusanya ID za watu humu ndano nawaweka sehemu moja nachoma moto woote yaan kuna mijitu hsina shukran hata tatizo la ajira limeanza 2014 kikwete akiwa madarakan baada ya BRN sasa alipoondoka kamuachia mwenzie mzigo ambaye nae akawa na elimu bure inammlaizia pesa bado waajilriwe hapo hapo kwaio nyie mkiwa maraisi wanenu mnawapeleka wakachimbe viazi au kumamae zenu
We ngosha umeumia sana
 
Back
Top Bottom