Magufuli kwa heri, hukustahili kuwa Rais

Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri.

Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli.

Ameua ndoto za vijana kwa kuwanyima ajira akiwaambia wajiajiri huku watoto zake na watu wake wa karibu akiwapa ajira, mtoto wake Ruth Magufuli alimpa UDAS Morogoro Mjini mpaka muda huu ninavoongea bado ana cheo hicho alikuwa na ulinzi zaidi ya RC na gari zuri zaidi ya bosi wake Mkuu wa Wilaya na mbaya zaidi na mume wake naye akampa UDAS Wilaya ya Mvomero, Mtoto wake mwingine Jesca Akampachika REA ambako yuko mpaka sasa..

Baada ya Magufuli kufa, Ruth ameondolewa ulinzi.

Cha kushangaza, Walala hoi waliambiwa wakajiajiri, Alikuwa na chuki zisizohimilika na hakusita kuzionesha waziwazi.

Hakupenda kuona watu ni matajiri, kwa akili yake alitaka matajiri waishi kama shetani....

Hebu ngoja nipige bia then nirudi 😎
Hafai hata kuwa kiongozi wa nyumba kumi huyu marehemu.
Alijaa chuki, roho mbaya, majivuno, wizi, ukatili, na kila aina ya evils was within him!
Hakika Tanzania iliongozwa na zaidi ya dikteta, achomwe kwa amani huko jahanamu alipo
 
Mi ningekua raisi ningekusanya ID za watu humu ndano nawaweka sehemu moja nachoma moto woote yaan kuna mijitu hsina shukran hata tatizo la ajira limeanza 2014 kikwete akiwa madarakan baada ya BRN sasa alipoondoka kamuachia mwenzie mzigo ambaye nae akawa na elimu bure inammlaizia pesa bado waajilriwe hapo hapo kwaio nyie mkiwa maraisi wanenu mnawapeleka wakachimbe viazi au kumamae zenu
Acha upuuzi, wote tunajua jinsi watawala wetu walivyo na mapesa ya kutosha, ilitakiwa Marehemu mh Rais Magufuli awape wanae mitaji wakajiajiri ili wawe mifano kwa vijana wengine, sio wanachokihubiri majukwaani na. Kile wanachokifanya vitu viwili tofauti, hizo kazi za uRas wangepewa watoto wa masikini. Huu upumbavu upo nchi za kiafrika tu. Niliwahi kumuona Dotto James katibu mkuu viwanda wa sasa akiwahimiza vijana wajiajiri lakini nina uhakika hata yeye ukimtoa kwenye nafasi yake ukamleta kitaa lazime achemke, waafrika tuache ubinafsi.
 
Kunawatu akili zao zimeshikwa na watu wengine yani mange kimambi akisema ivi nae anasema ivo akisema kigogo ivi nae anasema ivi yani watu kama hao ni wengi sana wanaenda na upepo ..this is Tz kuna kauli mzee hayati Kenyatta alimwambia nyerere anaongoza .......itafuteni
 
Adolf Hitler kuua wa israel alikua sahihi sana mida mwingine ukiwa raisi ongoza ambao wanajifanya wajuaji kamata piga kiberiti
Ukishaanza kuua watu tu unakosa kibali macho pa MUNGU na viumbe hai wengine wote .

Kama unadhani kuua watu ni jambo jema nenda ukaue halafu subiria kitakokukuta .
 
Inaniuma mno kuona Mwalimu alikuwa akimaliza chuo moja kwa moja kazini hivi leo kawakatalia watato wa hao anawaita wanyonge kupata hata hizo ajira za kimasikini kabisa.

Kawafukuza wanyonge waliokuwa kazini miaka na miaka wakifanya kazi kwa weledi na kujituma mno tena kazi ngumu ngumu kisa wana vyeti feki. Mbkna hata hujuajiri walio na vyeti sasa? Mbaya zaidi kawanyima hata jasho lao anagalau wakaanzie maisha waendako wengine wakufa kwa mawazo na presha na ufukara.

Kagoma kwapandishia mishara hao hao wanyonge anaowaita na kuwapandishia mishahara pamoja na posho pamoja na madarja yao kwa mda wote akiwa Raisi.

Kawanyima haki ya kufanya mikutano wana siasa wenzake kibabe na nje ya sheria na katiba ya nchi

Kawafilisi watu kwa kuwapa kesi za uhujumu uchumi, na wengine wanaozea segera mpaka leo kina wakati yeye tuliyoambiwa na CAG ni mabovu zaidi pia.

Kwa unyama huu lazime ufe tena kifo kibaya Halafu bado kuna kenge zina sema eti shujaa na raisi wa mfano? Kweli?
 
Huyo hapo ndo anapanda ndege kurudi alikokuwa,mliomsema mtakoma,
 
Back
Top Bottom