MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Yeye na wenzake mafisadi watafilisiwa. Magufuli yupo siliace na kazi yake.
Hapo ndio wanamuongezea lowassa wafuasi.
swissme
Lowassa kashaifilisi CCM.... Saizi wana mpango wa kumleta Chamelion wa Uganda ili akapige show Mwanza
Naona hii post mmejazana mashetani wa lumumba
Msifanye masihara na kumfirisi lowassa na mnaweza mkute nyinyi ccm ndio mtafirisika
Hapo ndio wanamuongezea lowassa wafuasi.
swissme
We popo kweli hapo ulimaanisha nini??Lumumba mnatabu nyie madalali!Yeye na wenzake mafisadi watafilisiwa. Magufuli yupo siliace na kazi yake.
Kiujumla uchaguzi wa mwaka huu ccm wanahangaika sana. yaani muda wote wanahangaika kupangua watendaji wa tume ya uchaguzi. yaani ni aibu sana kwa chama kikongwe kama ccm kuhangaishwa na upinzani. nimeamini ccm imefika ukingoni.
CCM out
Tatizo huelewi kuwa Mbowe ashaweka reverse kwenye gari la UKAWA halafu wewe mawazo yako yanakufikirisha kuwa bado unaenda mbele. Wenye IQ kubwa washashuka.
Watu hawajui. Nimekuwa Nikisema humu kuwa wao wanashabikia tu wakati hawajui kinachoendelea nyuma ya picha. Ni kwamba Mbowe ameishapause kuhusu swala la kuingia Ikulu na mipango yake ni kukijenga chama na kati ya mikakati yake ni pamoja na kufungua vituo vya redio na television.
Mashabiki wao hata hawafuatilii taarifa, wanakaaa tu kupiga kelele wakati kinachoendelea ni kukamilisha tu zoezi la kampeni ili mambo yaishe.
Kwa hela ipi? Hivi ameishauza Godown la Pugu road? Angekuwa na pesa, asingeweka mali ya dola milioni 10 sokoni kwa dola milioni 5. Mlitegemea angekuwa na uhitaji wa Dollar milioni 5? Muwe mnakaa kimya