Cephas Saphiel
Member
- May 25, 2009
- 32
- 16
Elimu ya mbowe unaijua wwe?
Mtu kama Mulongo Magesa CV ikaguliwe ya kwanza.
Jamani mnampa pressure Paul Makonda
Kulinda chamaKwani hao jamaa wana kazi gani
Makonda ana shida gani ? Yeye ni university graduate hana shida.
hahaha utauwa watu kwa presha wewe
:lock1:
Mtu kama Mulongo Magesa CV ikaguliwe ya kwanza.
Jamani mnampa pressure Paul Makonda
alimchapa Kofi,akanyanyuliwa akaonekana shujaa,aliyechapwa Kofi masikini alikaa kimya TU!
Walipomuhitaji alikwenda,
Tunajifunza nini?
Elimu syo Kigezo wakati mwingine issue ni uwezo! Unaweza kuwa na elimu na ukawa boyaa tuElimu ya mbowe unaijua wwe?
Mtu kama Mulongo Magesa CV ikaguliwe ya kwanza.
Jamani mnampa pressure Paul Makonda
Sifa za ukuu wa wilaya au mkoa ni nini. Carriculum vitae? Must be jocking.
Mh Rais nasikia JPM kaagiza CV zote za RC na DC ili awachuje wasiokuwa n sifa ya kuwa maRC or DC
"Nileteeni mezani kwangu CV za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wote" JPM 😄😄😄
Na watatemwa wengiiiiiiii
MZEE ANAKAGUA MWENYEWE HAKAGULIWI..HATAKI WAPAMBE
Kama ameamua hivi atajenga serikali madhubuti.