KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Nasikia Mh Rais Magufuli kaagiza CV zote za RC na DC ili awachuje wasiokuwa n sifa ya kuwa maRC or DC.
"Nileteeni mezani kwangu CV za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wote" JPM.
Na watatemwa wengii.. MZEE ANAKAGUA MWENYEWE HAKAGULIWI.. HATAKI WAPAMBE!
Kama ameamua hivi atajenga serikali madhubuti.