Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

Hivi kuna UKAWA anayepoteza muda wake kumfikiria tena tena Lowassa, soon Lowasa anakuwa Mrema namba 2, hakika aliingia cha kike
 
sasa wakathubutu kufoji! atusaidie na maofisini jaman mweeee watu hawaangaliii cv wanaangalia we ni mtoto wa nani. baba yako no nani kamreteeeee

naunga mkono hoja, naamini hata watoto wa masikini waliona Cv nzuri za kihalali watapata kazi kihalali..
 
Kwanini watu wengi hufikiri CV inaelezea elimu ya mtu tu?Kuna mambo mengi tu unaweza kuyapata kutoka kwenye CV ya mtu na kuammua kuwa anatosha au hatoshi.
Mkuu hiyo ni kweli kwa kiasi fulani lakini mwisho wa siku muhusika anapaswa kufanyiwa interview in person, una base mahojiano kutokana na alicho andika kwenye CV zake,hapo mtu mbabaishaji hapenyi,mambo ya mtu kuwa na colourful vyeti hiyo ni secondary mara zote wajili wanacho tafuta ni je kazi anaiweza.
 
Jamaa alikuwa anateua hadi dk za mwisho
Nilikuwa na kawaida ya kumuhunga mkono, lakini hili la kuteua watu hadi dakika za mwisho wa utawala wake yalinishangaza sana,uteuzi mwingine uligusa mashirika/vitengo ambavyo ni mission critical kwa maendeleo ya Taifa letu, Dk.Magufuli anapaswa abatilishe uteuzi huo kama anataka Uongozi wake ufanye kazi kwa ufanisi hasiendekeze urafiki,ulipaji fadhila na undugu.
 
Sijakuelewa mkuu maana hivyo ni vitendea kazi. Ufafanuzi tafadhali

Mkuu zile gari huwa zinatumika kwa miaka Fulani...then wadau wazibadilisha number na ishu zote za registration then wanajimilikisha..
 
Unachosema ni kweli. Lakini zikishatimiza kilomita unataka ziendelee kubaki serikalini kwa kazi gani wakati wanakuwa wamezi-write off? Nadhani kuwe na uwazi wa kuzidispose ili kila mtu awe na equal chance ya kuyanunua magari hayo kwa minada ya wazi.

Kwa mtazamo wa serikali, kuendelea kuwa na hayo magari ni sawa na kuendelea kukaa na uchafu ndani badala ya kupeleka dampo



Mkuu zile gari huwa zinatumika kwa miaka Fulani...then wadau wazibadilisha number na ishu zote za registration then wanajimilikisha..
 
Naona kaamua kung'oa kabisa mfumo na makapi ya mkwere.
 
Unachosema ni kweli. Lakini zikishatimiza kilomita unataka ziendelee kubaki serikalini kwa kazi gani wakati wanakuwa wamezi-write off? Nadhani kuwe na uwazi wa kuzidispose ili kila mtu awe na equal chance ya kuyanunua magari hayo kwa minada ya wazi.

Kwa mtazamo wa serikali, kuendelea kuwa na hayo magari ni sawa na kuendelea kukaa na uchafu ndani badala ya kupeleka dampo

Watu wanacheza game chafu mkuu, hakuna uwazi wala! Bad enough hizo amount wanazotoa ni ndogo mno
 
kwa kitendo cha kuomba cv tu maguful ana marks 5 mpaka sasa za kwangu! kama mwana ukawa mpaka uchaguz ujao ukifika akifikisha marks 60 nampa kura yangu aendelee hata kama niko chadema! ntachagua chadema ubunge na udiwan.
 
Mkuu kama ulikuwa akilin mwangu.

Mulongo anapambana na maiti ya mawazo as if marehem alikuwa ISI ..... WAKUU WA AINA HII NDO WAKUFUKUZA KAZI BILA KUJALI cv wala nini.

Anachafuwa kila mahala.

Arusha kaacha mambo hovyo kabisa

Sasa mwanza ipo moton....

Yanini kukumbatia mtu kama magesa mulongo?

mulongo ni janga la kitafia, arusha alikua kshajipaint target on his back nadhan jk aliliona hilo akamuhamisha yeye kila anapoenda lazima aman ktk jamii itokomee anadhan hizi ni zama za kuwasubjugate watu kwa nguvu! mwanza utageuka kua mji wa fujo tu kama ilivyokua arusha i bet kwa mda ataokua mwanza hali itakua mbaya sana na watu wataenda nae tu sahan moja!!!
 
afadhali maana wengine waliteuliwa kwa kuangalia shepu!!!
 
Safari hii wakuu wa wilaya lazima wawe na uzoefu wa kusimamia na kufatilia miradi ....muda wa siasa hakuna ....hawa wawekwe chini ya wizara mpya ya mipango ili kusimamia vyema halmashauri na taasisi za umma kutekeleza kikamilifu mipango yote ya maendeleo ....si ulinzi na usalama na vikao vya CCM tu ....
 
Jamaa (Mulongo) ana Masters kwa taarifa yako mkuu........

Umemtetea...kwani cv ni elimu ya darasani tu..!!?? Mbona kwenye cv me kuna sehemu niliandika single or married
 
.. Ntu unaweza ukawa na masters na ukawa boya tu
 
Last edited by a moderator:
Mzee Anza na uchafu wa kinondon tuondole iyo takataka. Kinondon hakuna DC kuna vuvuzela
 
Back
Top Bottom