Khakha
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 2,981
- 1,013
hahaha utauwa watu kwa presha wewe
:lock1:
Hahahaaaaa, Asumpta Mshama anahusika hapa!
hahaha utauwa watu kwa presha wewe
:lock1:
Mtu kama Mulongo Magesa CV ikaguliwe ya kwanza.
Jamani mnampa pressure Paul Makonda
Mh Rais nasikia JPM kaagiza CV zote za RC na DC ili awachuje wasiokuwa n sifa ya kuwa maRC or DC
"Nileteeni mezani kwangu CV za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wote" JPM ������
Na watatemwa wengiiiiiiii
MZEE ANAKAGUA MWENYEWE HAKAGULIWI..HATAKI WAPAMBE
Kama ameamua hivi atajenga serikali madhubuti.
afadhali maana wengine waliteuliwa kwa kuangalia shepu!!!
Jamaa (Mulongo) ana Masters kwa taarifa yako mkuu........
Na ndio maana ma-RC wakawa na wataalamu washauri wa kila sekta ambayo inapatikana kwenye halmashauri kutokana nafasi hiyo kuwa ya kisiasa lakini bado hoja yako ni nzuri yaani wanatakiwa kuwa na elimu ya nzuri ya kupambanua mambo hata kama wataalamu washauri wapoRC na DC ni watu wanaotakiwa kuwasimamia wataalam ambao wengi ni wasomi sana hivyo kuna umuhimu na wao kuwa na elimu ya kutosha haiwezekani DC awe Darasa na Saba au Form 4 amsimamie Mkurugenzi mwenye masters hapo ataibiwa na kudanganywa sana
Kipindi hiki tutasikia mengi....Mleta mada hebu tusaidie chanzo cha Habari hii Ili nasisi tujilidhishe kabla yakuimba pambio humu
Jamaa (Mulongo) ana Masters kwa taarifa yako mkuu........
Mtu kama Mulongo Magesa CV ikaguliwe ya kwanza.
Jamani mnampa pressure Paul Makonda
Hivi sasa inakuaje Mbowe anawaongozo wengine wote wenye madigrii?RC na DC ni watu wanaotakiwa kuwasimamia wataalam ambao wengi ni wasomi sana hivyo kuna umuhimu na wao kuwa na elimu ya kutosha haiwezekani DC awe Darasa na Saba au Form 4 amsimamie Mkurugenzi mwenye masters hapo ataibiwa na kudanganywa sana