Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

Sifa za ukuu wa wilaya au mkoa ni nini. Carriculum vitae? Must be jocking.
 
Mh Rais nasikia JPM kaagiza CV zote za RC na DC ili awachuje wasiokuwa n sifa ya kuwa maRC or DC
"Nileteeni mezani kwangu CV za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wote" JPM 😄😄😄

Na watatemwa wengiiiiiiii
MZEE ANAKAGUA MWENYEWE HAKAGULIWI..HATAKI WAPAMBE
Kama ameamua hivi atajenga serikali madhubuti.

Kuna wale JK aliwateua dakika za lala salama sijui kama watapona aisee.
 
Akifanya hivyo ataumiza wengi sana.hasa mfumo wa rais mstaafu kikwete.
 
Mtu kama Mulongo Magesa CV ikaguliwe ya kwanza.
Jamani mnampa pressure Paul Makonda

Mkuu kama ulikuwa akilin mwangu.

Mulongo anapambana na maiti ya mawazo as if marehem alikuwa ISI ..... WAKUU WA AINA HII NDO WAKUFUKUZA KAZI BILA KUJALI cv wala nini.

Anachafuwa kila mahala.

Arusha kaacha mambo hovyo kabisa

Sasa mwanza ipo moton....

Yanini kukumbatia mtu kama magesa mulongo?
 
Last edited by a moderator:
Mh Rais nasikia JPM kaagiza CV zote za RC na DC ili awachuje wasiokuwa n sifa ya kuwa maRC or DC
"Nileteeni mezani kwangu CV za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wote" JPM 😄😄😄

Na watatemwa wengiiiiiiii
MZEE ANAKAGUA MWENYEWE HAKAGULIWI..HATAKI WAPAMBE
Kama ameamua hivi atajenga serikali madhubuti.

Kila mahali ulipo na kila wakati umwombee Mungu amlinde rais wetu. Hii ni vita.
 
RC na DC ni watu wanaotakiwa kuwasimamia wataalam ambao wengi ni wasomi sana hivyo kuna umuhimu na wao kuwa na elimu ya kutosha haiwezekani DC awe Darasa na Saba au Form 4 amsimamie Mkurugenzi mwenye masters hapo ataibiwa na kudanganywa sana

Hivi Lukuvi PHD yake alipatia wapi?
 
Kwa mbali naanza kuona ukweli wa kwa nini Magufuli alikuwa haipigii kampeni ccm baada yake alikuwa anasema serikali ya Magufuli na hapa ni kazi tu!!!!!!!!!!

Makonda aliyemchapa kofi waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba, CV yake iwe ya kwanza kuangaliwa na Rais.
 
Ilitakiwa kufutilia mbali positions hizi lakin kwa maslahi ya ccm haiwezekan.

Hata hivyo bora basi wapewe walau wenyeuwezo nazo maana itasaidia kiasi flan.

Mkwere alikuwa anagawa tuu daaaa.
Kwa kweli mwalimu aliadopt vyeo hivyo kutoka kwa watawala wetu waingereza na kazi zao kubwa ilikuwa kuimarisha ulinzi na usalama kwenye maeneo yao na ndo maana ulikuwa unaona wengi wao walikuwa ni maluteni na makanali wa jeshi sasa now days ni wanasiasa watupu wamejaa kwenye nyazifa hizo ambao hawajui hata taratibu za ulinzi na usalama zikoje hata mgambo hawajapitia , any way hii ndo tamzania.
 
alimchapa Kofi,akanyanyuliwa akaonekana shujaa,aliyechapwa Kofi masikini alikaa kimya TU!
Walipomuhitaji alikwenda,
Tunajifunza nini?
 
RC na DC ni watu wanaotakiwa kuwasimamia wataalam ambao wengi ni wasomi sana hivyo kuna umuhimu na wao kuwa na elimu ya kutosha haiwezekani DC awe Darasa na Saba au Form 4 amsimamie Mkurugenzi mwenye masters hapo ataibiwa na kudanganywa sana
Nakwambia mambo mengine ukiyafikiria uwezi kushangaa kwa nini Taifa letu lipo nyuma.Just imagine a Radio announcer anapewa ukuu wa Mkoa/Wilaya!

Si hilo tu,kuna baadhi ya watu wamepewa nyadhifa kwa kughuzi vyeti, wanajulikani lakini hawachukuliwa hatua yoyote - wengine wana ma PhD ya mangamushi tu hata vyuo wanavyo dai wamesoma havitambuliki/havipo kabisa! Dk.Mwakyembe aliwahi kuishauri Serikali ifatie kwa karibu ili ibaini utapeli wa watu hawa na kuwafungulia mashtaka lakini kwa bahati mbaya Serikali ilimpuuzia, Dk.Magufuli na hilo alivalie njuga ili Taifa letu liondokane na walaghai wa vyeti vya kuchonga.
 
Uzuri aliwambia hii ni serikali ya John Joseph Pombe Magufuli na siyo serikali ya CCM!
 
Back
Top Bottom