Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!

Amesema leo ukitaka kumtawala mtu mnyime elimu, ukimnyima elimu unaweza kuwa Rais wa Milee na ukawatala millele.

Sasa msomi kama Pasco unavyokuja na bandiko la kupendekeza Raisi ikimpendeza atawale maisha napata ukakasi.

Hapa ndio utajua tatizo la Tanzania ni wasomi wetu na sio vinginevyo.

Toka alivyotoka Chato naona kama Magufuli anaongea kitaifa zaidi, japo hulka haiwezi kuisha kirahisi.

Maana kuna muda amesikika akisema "nipendwe mimi kwani Mwanamke" japo aliongea kwa kisukuma.
Tatizo la pascal ni kulazimisha teuzi kama kina Katambi na Muro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskali give president a credit when is due however the presidency must be maintained at all the time.
Not all new comer president in State House know A,B,C,of presidency but they utilise the top knotch president advisers,unless your born and raised in state house like president Uhuru Kenyatta.
 
Ni kweli wasemavyvo,ila kukusikia kwamba ananajitapa kua alileta barabara angali aliwa waziri?? Ni yeye kweli? Au ni raisi(mamlaka) ??
Yeye anampa heshima Nyerere tu hao wengine watatu anashindwa tu kuwachamba kwa majina.....ila sidhani kama anawahesabia kama wamefanya makubwa kwa nchi hii.

Maana hata kudumisha amani ni kazi kubwa sana.
 
Don't be ridiculous, with regard to leadership consistency is paramount to be sure of where he stands, up to this moment he has not demonstrated consistency to most important issues.
What do you mean by important issues. They might be important to you but not important to others. The president cannot make everybody happy no matter what.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, kuna watu humu wana allergy Magufuli akipongezwa, hivyo utawasikia kuwa huku ni kuusaka UDC mara njaa!. Naomba kusisitiza kwenye mazuri tupongeze.

As days go by, this man is getting, better and better, he is changing for the better!.

Leo nimemsikiliza rais Magufuli akihutubia kutokea Ukerewe, kiukweli kabisa, nimekuwa very impressed!, haswa alipozungumzia maendeleo hayana vyama, akampongeza mbunge wa Ukerewe ambaye ni wa Chadema, na akatoa fursa kwa wana CCM wanaotaka kwenda upinzani, hakutolea mtu, akasema nikiuliza wapinzani wanaotaka kujiunga CCM, wengi watakuja, lakini siulizi kwa sababu huu sio mkutano wa CCM ni mkutano wa serikali!. This is good!.

Big up kwa rais wetu Magufuli kuanza kutenganisha shughuli za kiserikali na shughuli za chama.

Sisi jf japo tunalaumiwa na kulaaniwa kwa ukosoaji kwa rais Magufuli na Serikali, lakini kiukweli kabisa, wanaomkosoa rais Magufuli ndio wanaomsaidia changing for the better, kuliko wanaomsifia!.

Naamimi lile tukio la kupokea wanachama pale Sheikh Amri Abed, wakati wa kamisheni maofisa wapya wa jeshi, ni sisi JF pekee ndio tulikipinga, na leo kimezaa matunda.
Nimenote kupungua kwa vikao vya CCM kwenye ikulu yetu, sasa vikao vya CCM, vinafanyikia CCM Lumumba.

Huwezi kujua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had, na sisi Watanzania katika umoja wetu, tukamlilia aendelee na kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza katiba ibadilishwe, kipengele cha ukomo kiendelee!.

Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up!.

Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!.
Paskali.
The election is just around the corner,one must be humble down to the knee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kuna baadhi ya mambo yanakwenda vyema, ila kama Mkuu wa Nchi awe anahutubia kwa upole na upendo, lakini likija suala la kushughulikia uzembe, wizi na ufisadi awe mkali na kutumia wembe uleule, na uwe kwa wote. Mfano kuna Clip moja inaonyesha Rais akiahidi kulipa deni la Wafanyakazi la Tsh 3.7Bilioni. Hapohapo akachomeka, mtazitaapika! Hii ilikuwa lugha kali kiasi. Angeweza tu kuwaasa kuwa anategemea watafanya kazi kwa weledi na uaminifu na yeyote atakaye kwenda kinyume taratibu za kinidhamu na kisheria zitawawajibisha. Huyu ndiye rais wetu na sisi ni wananchi wake, tuchukuliane kwa upendo na upole.
Mi sijawahi kuona mdaiwa akimpiga mkwala mdeni wake...

Badala ya kumtaka radhi kwa usumbufu alioupata kwa kuchelewa kumlipa deni, we unapiga mkwala...

Huyu jamaa ni wa ajabu kabisa!
 
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, kuna watu humu wana allergy Magufuli akipongezwa, hivyo utawasikia kuwa huku ni kuusaka UDC mara njaa!. Naomba kusisitiza kwenye mazuri tupongeze.

As days go by, this man is getting, better and better, he is changing for the better!.

Leo nimemsikiliza rais Magufuli akihutubia kutokea Ukerewe, kiukweli kabisa, nimekuwa very impressed!, haswa alipozungumzia maendeleo hayana vyama, akampongeza mbunge wa Ukerewe ambaye ni wa Chadema, na akatoa fursa kwa wana CCM wanaotaka kwenda upinzani, hakutolea mtu, akasema nikiuliza wapinzani wanaotaka kujiunga CCM, wengi watakuja, lakini siulizi kwa sababu huu sio mkutano wa CCM ni mkutano wa serikali!. This is good!.

Big up kwa rais wetu Magufuli kuanza kutenganisha shughuli za kiserikali na shughuli za chama.

Sisi jf japo tunalaumiwa na kulaaniwa kwa ukosoaji kwa rais Magufuli na Serikali, lakini kiukweli kabisa, wanaomkosoa rais Magufuli ndio wanaomsaidia changing for the better, kuliko wanaomsifia!.

Naamimi lile tukio la kupokea wanachama pale Sheikh Amri Abed, wakati wa kamisheni maofisa wapya wa jeshi, ni sisi JF pekee ndio tulikipinga, na leo kimezaa matunda.
Nimenote kupungua kwa vikao vya CCM kwenye ikulu yetu, sasa vikao vya CCM, vinafanyikia CCM Lumumba.

Huwezi kujua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had, na sisi Watanzania katika umoja wetu, tukamlilia aendelee na kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza katiba ibadilishwe, kipengele cha ukomo
Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up!.

Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!.
Paskal
 
Kinachonifurahisha JF post za JPM zikirushwa wamoja wa wanaokula bata kwa kumsema wafalavyo huku wanajijua inabidi as ni aibu kubadili ID zao now zimshangilie.. watano wameshafika kwa uzi huu kumshangilia Pascal kwa post yake.. yaani wale mavyuma wa kupenda kuonyesha wanapinga hata #2 mwenzao akawahi..

Hapa kazi tu

Ina burudani popote ya kufurahisha na kujijenga.. 🤣🤣🤣 or mlitaka niwataje niwape kiki 😁
 
Amesema leo ukitaka kumtawala mtu mnyime elimu, ukimnyima elimu unaweza kuwa Rais wa Milee na ukawatala millele.

Sasa msomi kama Pasco unavyokuja na bandiko la kupendekeza Raisi ikimpendeza atawale maisha napata ukakasi.

Hapa ndio utajua tatizo la Tanzania ni wasomi wetu na sio vinginevyo.

Toka alivyotoka Chato naona kama Magufuli anaongea kitaifa zaidi, japo hulka haiwezi kuisha kirahisi.

Maana kuna muda amesikika akisema "nipendwe mimi kwani Mwanamke" japo aliongea kwa kisukuma.
Uko sahihi mkuu.wasomi ni tatizo kubwa.na hivi wakishaingiza SIASA ni kama wamerogwa vile
 
Ndugu mayalla; mimi sipingi hata kidogo swala la kutoa sifa pale inapobidi ila ktk hii makala yako nashindwa kuelewa ni kipi cha ajabu amabacho magufuli amekisema mpaka wewe kummwagia misifa kibaoooo! Aliyoyasema magufuli ni lugha ya kawaida kabisa kwa watu walio wastaarabu ila naona hilo limekushangaza kidogo! Nani asiyeelewa kuwa maendeleo hayana vyama? Hilo la kusema kuwa jpm anaweza kuwa rais bora kutokea Tanzania ni mapema mno kutoa hukumu ya namna hiyo! Mapema mno! Labda kama na wewe unataka lamba ile asali tamuuu!
Mimi binafsi nafikiri magufuli siyo mtu mbaya hata kidogo; kama rais au hata kama mtu wa kawaida. Tumejaribu mifumo minne ya utawala na yote imetupeleka msamba. Ni bora tujaribu mambo kiutofauti na kwa hili namuunga mkono magufuli 100%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa amekanyaga katiba na sheria.. (mikutano ya siasa, Uhuru wa mahaka na Bunge kuliweka kiganjani mwake kwa mabavu)
Uhuru wa kuongea kuhusu nchi yako hakuna (waandishi wa habari )
Ahadi za uongo (5ml kila kijiji + viwanda)
Watu wasiojulikana kutesa na kuua (azory, roma, ben saanane na lisu n.k)
Maisha mtaani taabu tupu (uchumi
Demokrasia hata ya sanduku la kura imepotea kabisa (uchaguzi mdogo)

Yaani Tumbo likitaka kumkubali.. MOYO unakataa kabisa.
 
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, kuna watu humu wana allergy Magufuli akipongezwa, hivyo utawasikia kuwa huku ni kuusaka UDC mara njaa!. Naomba kusisitiza kwenye mazuri tupongeze.

As days go by, this man is getting, better and better, he is changing for the better!.

Leo nimemsikiliza rais Magufuli akihutubia kutokea Ukerewe, kiukweli kabisa, nimekuwa very impressed!, haswa alipozungumzia maendeleo hayana vyama, akampongeza mbunge wa Ukerewe ambaye ni wa Chadema, na akatoa fursa kwa wana CCM wanaotaka kwenda upinzani, hakutolea mtu, akasema nikiuliza wapinzani wanaotaka kujiunga CCM, wengi watakuja, lakini siulizi kwa sababu huu sio mkutano wa CCM ni mkutano wa serikali!. This is good!.

Big up kwa rais wetu Magufuli kuanza kutenganisha shughuli za kiserikali na shughuli za chama.

Sisi jf japo tunalaumiwa na kulaaniwa kwa ukosoaji kwa rais Magufuli na Serikali, lakini kiukweli kabisa, wanaomkosoa rais Magufuli ndio wanaomsaidia changing for the better, kuliko wanaomsifia!.

Naamimi lile tukio la kupokea wanachama pale Sheikh Amri Abed, wakati wa kamisheni maofisa wapya wa jeshi, ni sisi JF pekee ndio tulikipinga, na leo kimezaa matunda.
Nimenote kupungua kwa vikao vya CCM kwenye ikulu yetu, sasa vikao vya CCM, vinafanyikia CCM Lumumba.

Huwezi kujua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had, na sisi Watanzania katika umoja wetu, tukamlilia aendelee na kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza katiba ibadilishwe, kipengele cha ukomo kiendelee!.

Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up!.

Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!.
Paskali.[/QUOTE

Mnaompongeza huyu jamaa hamjamuelewa vizuri, ni mtu asiyetabirika hata kidogo, leo kasema hivi subiri kesho atakapoanza kuporomosha matusi hata ya nguoni. Nyoka hawezi kuwa mweupe hata ukimsugua vipi.
 
Back
Top Bottom