Magufuli herooo!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Serikali imeshinda kesi dhidi ya wavuvi haramu,hivyo meli imetaifishwa.
 
fine wanatulipa bei gani? imetugharimu bei gani hiyo kesi? wale samaki tuliwatunza kwa bei gani kabla ya kusambazwa bure? tumeingiza faida au hasara kwa ushindi huo?
 
Back
Top Bottom