Magufuli hayupo lakini vyama vya Upinzani vinazidi kusahaulika, sasa hawana wa kumsingizia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Nafuatilia kwa karibu ziara ya Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo akikagua miradi mbalimbali huko Shinyanga

Sijaona benders.ya Chadema.wala ACT wazalendo.kwemye kijiji chochote hii maana yake Upinzani unazidi kudorora kila uchwao

Kumbe siyo kweli Magufuli alikuwa anawabana wapinzani.ila Upinzani wa Tanzania ni lege lege na dhaifu mno.

Mungu ni mwema wakati wote
 
Vimesahaulikaje?. Maana juzi Viongozi wa Chadema walitaka kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa mpira.
Wale ni wazurulaji sio viongozi wa Chadema makini.
Hata FIFA haitaki Siasa kwenye Mpira. View attachment 2244688
JamiiForums738524935.jpg
 
Nafuatilia kwa karibu ziara ya Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo akikagua miradi mbalimbali huko Shinyanga

Sijaona benders.ya Chadema.wala ACT wazalendo.kwemye kijiji chochote hii maana yake Upinzani unazidi kudorora kila uchwao

Kumbe siyo kweli Magufuli alikuwa anawabana wapinzani.ila Upinzani wa Tanzania ni lege lege na dhaifu mno.

Mungu ni mwema wakati wote
Kilichobadilika ni nini? Wameruhusiwa mikutano ya hadhara? Ni rahisi sana kubomoa kuliko kujenga. Uharibifu uliosababishwa na awamu ya tano unakaribiana kwa kiasi na mauaji ya kimbari. Ndo maana mnalalamika akisimangwa.Nyie ndo huwa sababu, nimeamini. Ukute hata wewe humpendi ila unaogopa kumtukana wewe moja kwa moja unajidai kuanzisha mada za kuudhi ili Magu atukanwe.
Kama unampenda kweli, uwe mkweli usijidai zuzu kwamba hujui aliharibu kiasi gani ukuaji wa demokrasia. Wape break familia yake kwa kupunguza unafiki wako.
 
Nafuatilia kwa karibu ziara ya Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo akikagua miradi mbalimbali huko Shinyanga

Sijaona benders.ya Chadema.wala ACT wazalendo.kwemye kijiji chochote hii maana yake Upinzani unazidi kudorora kila uchwao

Kumbe siyo kweli Magufuli alikuwa anawabana wapinzani.ila Upinzani wa Tanzania ni lege lege na dhaifu mno.

Mungu ni mwema wakati wote
Siku hizi Lisu hapati tena safari za kwenda Marekani na kuzunguka nchi za Ulaya kumlaani Magufuli. Mtaji umekufa !!
 
Nafuatilia kwa karibu ziara ya Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo akikagua miradi mbalimbali huko Shinyanga

Sijaona benders.ya Chadema.wala ACT wazalendo.kwemye kijiji chochote hii maana yake Upinzani unazidi kudorora kila uchwao

Kumbe siyo kweli Magufuli alikuwa anawabana wapinzani.ila Upinzani wa Tanzania ni lege lege na dhaifu mno.

Mungu ni mwema wakati wote
Hivi huyo Magufuli ni baba yako mbona kila siku unamtetea wakati inajulikana wazi jinsi alivyoboronga na kufanya maovu mengi kwa wananchi wake? Angalia usije ukashiriki dhambi yake.
 
Nafuatilia kwa karibu ziara ya Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo akikagua miradi mbalimbali huko Shinyanga

Sijaona benders.ya Chadema.wala ACT wazalendo.kwemye kijiji chochote hii maana yake Upinzani unazidi kudorora kila uchwao

Kumbe siyo kweli Magufuli alikuwa anawabana wapinzani.ila Upinzani wa Tanzania ni lege lege na dhaifu mno.

Mungu ni mwema wakati wote
hakuna mtu mwenye akili timamu atashabikia matendo maovu ya CCM
 
Back
Top Bottom