Naomba basi nikutoe out this Weekend kama hautojali nipo Toronto.Nyimbo nzuri na anajuwa kuimba.
Nyimbo nzuri na anajuwa kuimba. Video mixing inapendeza.
Nimeipenda hiyo nyimbo na video.
Sahihisho
Nimeupenda huo wimbo na "video"
Nyimbo nzuri na anajuwa kuimba. Video mixing inapendeza.
Nimeipenda hiyo nyimbo na video.
Wapinzani siku hizi ni wadogo kama mbegu ya haradaniSitii langu...
"Hiyo nyimbo" ?Nyimbo nzuri na anajuwa kuimba. Video mixing inapendeza.
Nimeipenda hiyo nyimbo na video.
Hivi hayo yote hutendeka kuwakoga "wakinzani"?Sikuwa na khabari!๐๐๐๐๐Wapinzani siku hizi ni wadogo kama mbegu ya haradani