Magufuli: Harmonize Kafunga Kazi

Magufuli: Harmonize Kafunga Kazi

Fursa hiyo hata mimi nikiwa raisi shetani nafuu huyu aliepo nitaimbiwa mazuri tu hahahaha find opportunity in the cave of conflict between prise team vs opponent team
 
Achague moja kua TOT(aimbe nyimbo kwajili ya ccm yamagufuli ).lasivyo atakuja kujilaumu tukiamu kutonunua au kusikiliza kaziZake.
Msinunuwe.

Lini ulinunuwa kazi yake?

Sijapata kuona majuha kama ninyi. Hamjihesabu?
 
Ampe hata unaibu waziri basi sio kumuachapo shonza
 
Wimbo mzuri..video nzuri ila alichokivaa sasa
 
paka mate niteleze kama nyoka pangoni bado ni vionjo vya pwani
Nafahamu watu kama wewe ni tunda la mti (wazazi) wako.

Mathayo 7:
16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?
17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.
18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.
 
Sitii langu...

Wimbo safi sana huu nimeona hata jana Kinana aliusifia kule twitter na Mzee Makamba akasema huu ni wimbo bora kutokea ndani ya miaka 10 iliyopita.

Nasubiri nisikie January na Nape watasema wanauonaje.
 
Nafahamu watu kama wewe ni tunda la mti (wazazi) wako.

Mathayo 7:
16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?
17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.
18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.
yes kabisa wazee inaonesha walikuwa wanapenda sana kutelezana pangoni
 
Back
Top Bottom