Magufuli: Harmonize Kafunga Kazi

Magufuli: Harmonize Kafunga Kazi

Haya sasa, machadema yaanzishe kampeni ya kumsusia huyo msanii tuone kama yataweza.
 
JK mbona hakuimbiwa na ndiye aliyefanya yote haya? Huyu anazindua tu vya wenyewe
Wimbo mbovu mavazi ndio ya ovyoooo
Haivutiii
Uchafu tu
 
Baniani mbaya Kiatu chake Dawa........ ; Mtumikie Kafiri upate Ujira wako
 
Kawimbo katamuuu ila kanatia hasira.
 
Nimeipenda sanaaaaaaaaaaaa
Lyrics na video.. hadi raha
Misundo ndio uwiiiiii mtu huwezi choka kudansi.
 
Nikiongea mazuri yanayofanywa na serikali, navamiwa na upinzani.

Nikikosoa makosa ya serikali navamiwa na chama tawala.

Nikikaa kimya navamiwa na wananchi wote wakereketwa Sasa si mninyongeeeee tuuu !!!
 
Back
Top Bottom