mwenemalila
Member
- Sep 3, 2024
- 18
- 27
Basata kufungia wimbo wa HARMONIZE wa "kudos" wamekosea sana hii tupo 2026 sio 70s au 80s, maisha yanabadilika lazima twende na wakati, katika video ya wimbo huo Kwa maisha ya Sasa sijaona kosa lolote video Kali wimbo mkali, kushusha video na kumfungia msanii ni kurudisha nyuma jitihada za wasanii na kudidimiza ukuaji wa muziki wa Tanzania
Soma BASATA yamfungia Harmonize kufanya Muziki, Nandy atozwa Faini
Soma BASATA yamfungia Harmonize kufanya Muziki, Nandy atozwa Faini