Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Pata balimi mkuu,,nakuja kulipa..
Badala ya Balimi napiga Sparletta 2. Ila usisahau kuja kulipa maana hali ni ngumu
Na kwanini uwe na woga kama unafanya kazi zako ipasavyo na unafuata sheria???
Na kwanini uwe na woga kama unafanya kazi zako ipasavyo na unafuata sheria???
Ehee ufipa kwa porojo
Hivi ukisema nina hofu ya mungu inamaana wewe humtii mungu
Hata Mimi nawashangaaa magu bana kiboko Alisema atanunua korosho zote ameshanunua wanajeshi wanasomba halafu wanaenda bangua kwa mdomo uzuri wa kiongozi ni mfano kama alivoonesha halafu hata zikikaaa miaka 5 tutauza tuuu na zikikaaaa sana huwa zinakuwa dhahabu kama si makinikia .cccm oyeeeeeeeeeeNa kwanini uwe na woga kama unafanya kazi zako ipasavyo na unafuata sheria???
Naweka BIG NO kwenye hili suala wanalosema watu kuwa Magufuli ameleta nidhamu makazini.
Watumishi wa umma(baadhi) wamekuwa na woga kuhofia kuwajibishwa, hasa kwenye Halmashauri maana huko kila mtu hujigeuza Mungu mtu. Sheria wakati mwingine hazifuatwi bali harsh tu.
Hakuna nidhamu kwa mtu asiyepandishwa daraja, asiyeongezwa mshahara, asiyebadilishiwa cheo au kitengo baada ya kujisomesha kwa gharama zake n.k . Kinachofanyika ni kuigiza tu kuwa yu mwema na mchapakazi kwa kitambo kidogo.
Mwenye ushahidi kuwa sasa amekuwa na nidhamu zaidi katika kipindi hiki cha Magufuli zaidi ya kipindi cha Kikwete aje atueleze.
Nakubaliana na wewe mwingine anaogopa kabisa kufanya maamuz ya msingi kama ku-sign document flan kwasababu huenda akawajibishwa bila kuangalia taaluma yake inasema nini kuhusu juu ya jambo hilo...