= ninavyowasikia
= natamani
He has at least seven publications to his name.
Hmm...huyo lazima atakuwa aliandikiwa na mtu hizo '7 publications' kwani keshathibitisha kuwa kichwani ni mtupu.
Dr yowel kaguta mseven
Present continuous tense ndio hiyo nliyotumia hapo.
Ukitumia natamani pekee sentensi inakuwa na maana tofauti. Labda utangulize neno 'huwa'
He is also the first idiot president ever who knows nothing about other countries who doesn't understand the language you are writing
Hmm...huyo lazima atakuwa aliandikiwa na mtu hizo '7 publications' kwani keshathibitisha kuwa kichwani ni mtupu.
Hmm...huyo lazima atakuwa aliandikiwa na mtu hizo '7 publications' kwani keshathibitisha kuwa kichwani ni mtupu.
Hivi Rais mteule alisoma vyuo vilivyoko nchi gani?Its is certainly not a must!!! The language any president that campaigns, is that of their native country and definatly not english!!!! Which means english is NOT a prerequisite to making it to presidatial office.. Nor sikuwah kusikia any rule or law that says a president should speak english.. English maybe one of the worlds premier language lakini sio only one.. Infact thats why kuna translators by profession so ur out of point!!!!!!
Hivi Rais mteule alisoma vyuo vilivyoko nchi gani?
Nauliza kwa sababu , elimu ya juu Tz inasomeshwa kwa lugha ipi?
Je mkulu alisoma China, Cuba, Yugoslavia au DDR ambako lugha mama ya bbc haitumiki kama lugha ya kufundishia katika elimu ya juu?
Mimi nashauri mkulu apatiwe crush course/intensive course ya hiyo lugha. Wasomi wetu waliopitia vyuo vikuu hapa Tz ni lazima walitumia madesa yaliyoandikwa kwa kamlugha na kufanya discussions kwa lugha hiyo hiyo.
Au unataka hiyo kazi ya kuwa mkalimani wa mkulu?
namsubiria siku "anatema yai" nithibitishe au kumpoka udokta wake,
msiwe na hofu wana ccm urais wake namuachia libuva oooh sorry lumbuva. (typing error))
Ingawaje yeye amewezeshwa na Tume, mimi nitakuwa mzalendo siku akifanya hapakazi tu na kuhakikisha Tanzania inapata Tume huru ya uchaguzi na Katiba ya wananchi.Kuwa mzalendo, kwani anakuja kuongoza waingereza au waswahli?
Ulofa huo
Hata mimi namshangaa, licha ya kumkashifu Dk.Magufuli - revisit flow ya kingereza chake mwenyewe, kinaonekana ni cha kuhunga hunga tu!!Jitathmini kwanza kabla povu halijakutoka.