Magufuli duniani Leo

Tena baada ya kumaliza muda wake kikatiba aje mwingine wa mfano wake.

Nafikiri miaka 20 baada ya 2015 Tanzania itaendelea sana kiuchumi sababu ya udikteta wa Magufuli na misimamo yake dhidi ya rasilimali za taifa.
Kwasababu Magufuli mwenyewe keshasema muda wake ukifika, haongezi hata sekunde, ili kuilinda hii kazi nzuri ya Magufuli asije kuingia mtu ambae sio, tumeanza kutafuta watu ambao ni kama Magufuli, miongoni mwao ni huyu dogo.

P.
 
Magufuli amefifia machoni kwa wazungu baada ya kuwakamata wezi wa dhahabu na makinikia pale bandarini. ndio walipoanza kumchukia na kutumika kwa vibaraka wa ndani (Mbowe, Zito, Tundu Lissu n.k.) kumchafua zaidi ili mataifa yamuone hafai.
Sio ilo tu..ata kupandisha watu mishahara,kutoa ajira,kupaisha Uchumi. na kuendeleza Demokrasia ..yote yamemfanya wazungu wamchukie
 
Umerogwa Wewe
 
Huwa napenda unavyo react hata kwa wanaokukashfu
 
Kasi ipi yenye manufaa kwa umma?
Mfundisheni au wafundisheni watoto wenu kushiriki michezo kama mpira wa miguu n.k ili wajifunze kuchangamana na wenzao na jinsi ya kufanya maamuzi ata kama umeudhika.Nina uhakika Magufuli akuwai kushiriki vitu kama michezo ndiyo maana his judgement and decision making are always poor.
 
kwanza naomba kukiri ushallow kwenye reasoning
I am withdrawing this (above) statement anyway.
Sasa kwenye hoja!
1. Nambie ni nchi gani imepata (tiger) kwa udikiteita na evidence, siyo revelations
2. Ni nchi gani imepata maendeleo kwa kuua watu wake, kuwapoteza, kuwababikia kesi, kuwateka etc
3. Ni maendeleo gani mpaka sasa yako tagible ameyafanya! au ni kelele.
Note: Naomba nche zenye maendeleo usiniletee upuuzi wa akina Kagame and the like!
Nataka maendeleo ya western world, hayo ndiyo maendeleo, maendeleo ya watu na vitu!

Tiger counties

Hong Kong


Singapore


South Korea


Taiwan
 
Ni baada tu ya kumteua mtu mmoja tu ndiyo akazorota,kumbuka alikaa bila wasaidizi kwa muda mrefu,hapo ategue tu kitendawilinya aliyempotosha baaaasssss.
 
Hahaaaa Pascal Mayalla naona mahaba yamerudi kwa kasi ya kimbunga!! Kuna ka teuzi umekanusa nini? Kila la heri mkuu! Naamini utaendelea kuwa nasi hapa jukwaani hata hapo utakapo Pakwa mafuta! Usije kuwa kama Juliana Shonza aliyetukacha soon baada ya kula uteuzi
 
Amechemka kwenye 'angle' ya demokrasia na utawala bora. Angefaulu hapo,believe me Tanzania na Africa ingemuimba Magufuri forever
Ni hapa JF peke yake anaonekana hafai lakini kwingine nyota yake i palepale. Nigeria wanataka awe kiongozi wao Ghana wanataka Rais wao ajifunze kitu kutoka kwa Tanzania. Rejea thread ya Nyani Ngabu ukiona maandishi ya humu JF utadhani huko mitaani pia anachukiwa wskati ukweli ni kinyume chake.

Ingia youtube channel ya Dr Mumbi ukaso.e comments za waafrika wanavo comment kuhusu Jiwe ndiyo ujue hili ni Jiwe japo hatulipendi sisi wenyewe. Ni hulka ya watanzania kubeza viongozi wetu hata Nyerére ilikua hivyo mpaka alipofariki lakini nje ya nchi aliheshimiwa.

ACHANA NA VICOMMENTS UCHWARA HAPA JF JAMAA BADO ANA NAFASI MPAKA VISIWANI CARRIBIAN
 
Mtu ambaye ni verified user, lazima aandika kama Pascal otherwise one risks tragedies!
 
Leta ushahidi!
 
Tena baada ya kumaliza muda wake kikatiba aje mwingine wa mfano wake.

Nafikiri miaka 20 baada ya 2015 Tanzania itaendelea sana kiuchumi sababu ya udikteta wa Magufuli na misimamo yake dhidi ya rasilimali za taifa.
mbona kafeli kw korosho?
 
Mimi ndio nilikuwa siambilik jinsi nilivyokuwa namkubali. Sasa hivi pia siambiliki jinsi alivyonitoka. Amalize tu amkabidhi Membe kijiti.
 
JPM ni mzuri shida yake kubwa kiburi na dharau
 
Mwanzoni na Mimi nilikuwa naye,in fact bado ana nafasi ya kuwa role model hasa kama ataruhusu Uhuru wa kujieleza na democracy kwa ujuma. Kiongozi lazima awe na ngozi ngumu,lazima akubali kukisolewa. Pale sasa ndiyo tutampa big up.
 
Ukiskiliza maneno ya mtandaoni unaweza kudhan watu wanamchukia Magufuli ila kumbe wananchi wanamkubali balaa.
Bahati mbaya wapiga kura wengi hawana muda wala account jamiiforums ila wanamkubali JPM.
Muwe na wakati mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…