Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,411
Oh kumbe hukupitia seminar elekezi.Kwa hiyo wewe hoja yako ni nini kwenye huu uzi? Halafu Msafiri ndio nani? Ni shule kwenye kitu gani?
Oh kumbe hukupitia seminar elekezi.Kwa hiyo wewe hoja yako ni nini kwenye huu uzi? Halafu Msafiri ndio nani? Ni shule kwenye kitu gani?
.
Maneno "dikteta uchwara" maana yake ni "dikteta duni." Kama Magufuli ni dikteta duni mbona usikae kimya? Lingekuwepo tatuzi kama yeye ni "dikteta kiboko." Naona kama kanuni za lugha ya propaganda huzielewi. Pole kwa kufanya "copy and paste" ya maneno ya kina Tundu Lissu bila kuyatafakari
Si unaona! amesubuiri uzi umesonga mbele , hoja alizotakiwa kujibu zimepita! Alikuwa amejibanza, ndiyo hulka ya makadaMkuu ngoja tuendelee kuvuta subira,naamini hajatokomea atarudi tu.
Hapana, sio hivyo wapinzani walisema hawata zungumzia suala hilo sababu walishapeleka kesi mahakamani, punguza mapenzi simamia ukweli..
Ni haki kwa chama cha siasa kuzunguka nchi kikieneza habari za uwongo kwamba Rais Magufuli hakushinda kihalali? Jitazame tena.
wewe unashindana na "mmawia".Usimwamshe aliyelala.
.
As per constitution and statutory framework that we have now, the head of state has legitimate powers to override this right--and all otger rights in fact.
I appreciate your response, will contact you.
Now I understand your concern. Since my thread was mainly focused on a somewhat different subject, I dont prefer to extend this discussion here. I briefly raised this matter as I was rebutting some nonsensical post from one visitor--Erythrocite. And it worked. You can trace me for this purpose. My phone is 0758341483.
.Ni muongo wewe.Unajaribu kuchukua uongo na kuuvisha maneno mengi ili uhadae watu.
Alichosema Mh.Rais kipo wazi na hakuna aliyekanusha.
Walichosema polisi awali nacho kipo wazi.Walisema mikutano ya siasa ni mwiko na wakaenda mbali kwa kuanza kupambana na mikusanyiko yoyote ya wanasiasa iwe ya ndani au ya nje.
Ni vema ukakaa kimya ijulikane wazi hatuna tena utawala wa sheria Tanzania.Watu wafanye kazi tu.Waache siasa mpaka 2020.
.Kwa kifungu gani cha sheria kinachompa raisi mamlaka hayo?
.Mkuu Nguruvi3 nimekaa hapa nakunywa gahawa nikisubili nione majibu ya hii nondo,namna atakavyojikanyaga.
.Mkuu ngoja tuendelee kuvuta subira,naamini hajatokomea atarudi tu.
Basi sawa.Nakutakia mkutano mwema July 23..
Nina mawazo tofauti na hayo. Siungi mkono uamuzi wa wabunge wa UKAWA kuacha kazi yao ya kibunge Dodoma na kwenda Kahama kufanya mikutano ya "Operesheni Okoa Demokrasia." Siungi mkono kitendo cha CHASO kuwafanya wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa political bigots badala ya kuwaacha wafanye kazi kama political anaylists. Siungi mkono mambo mengine kama hayo.
.Kuna uhusiano mnene sana , wanasiasa wa Tanzania na hasa viongozi ndio wafadhili na walipa kodi za pango za wachumia tumbo na vijana wenye tamaa , hasa wale wasio na kazi yoyote .
.Shekeli at works
.Another Political Shenanigans at its best!
.There was no reason to write alot of words as if u'r writting a research proposal. Nafikiri kila kitu kipo clear, anything affliated with political matters should be banned till 2020 that's what we most us grasp. What you r trying to do is take the train out of the railways and put it on the decorated roads i assure u it will never move and if does it will crash and break out. Your theories and quotes haviwezi kutufanya tuelewe unavyotaka ww. Umeandika maneno mengi hata hivyo hoja ya msingi niliyoiona ni moja tu mbaya zaidi pia na hoja hiyo hiyo umetudanganya kitu kinachofanya uzue mjadala hapa na tumeamini haumini unachokiamini.