Magufuli chaguo la Mungu hayupo anayeweza kumwandama yeye na Serikali yake akabaki salama! Marekani wanajua thamani yake ndio maana hawamgusi

Ukiambiwa weka ushahidi sasa
1. Juu ya uuaji: rejea kauli yake kwenye mkutano wenu ccm " ..hao walikuwa wanaimba tuna Imani na fulani mimi robo au nusu yao ningewapoteza...."
2. Ufisadi: alihonga nyumba za serikali kwa kimada wake, alinunua kivuko kibovu, anatumia pesa bila kibali cha bunge wala kufuata Sheria za manunuzi.
3. Uongo: alidai hadharani kuwa alikuta sukari ikiuzwa shillingi 5,000 kwa kilo wakati anaingia madarakani.

Unahitaji ushahidi zaidi?
 
Alijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea

Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa

Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu likamilike

Kwa hiyo hayo Mabeberu yanajisumbua tu misaada wanayoiiita misaada ni mbinu tu za kutafuta masoko ya bidhaa zao

Misaada wanayosema wanatupa ina faida kwao kuliko kwetu

Madini yetu na rasilimali zetu ndizo mkombozi wetu kuliko haya mashoga yanayohimiza tuoane wanaume kwa wanaume
Acha kumjumuisha Mungu kwenye vitu vya ajabu
 
Kama chaguo la Mungu ni hili jee la shetani ni lipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu achaguliwe law WIZI WA KURA wewe umwite chaguo la mungu? Juha kweli wewe. Chaguo la mungu anaua na kuteka watu? Chaguo la mungu anakataza watu kuongea?
YULE NI NYAPARA TU KAMA WALE WA JELA
Kamwambie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea

Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa

Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu likamilike

Kwa hiyo hayo Mabeberu yanajisumbua tu misaada wanayoiiita misaada ni mbinu tu za kutafuta masoko ya bidhaa zao

Misaada wanayosema wanatupa ina faida kwao kuliko kwetu

Madini yetu na rasilimali zetu ndizo mkombozi wetu kuliko haya mashoga yanayohimiza tuoane wanaume kwa wanaume
Habari mpendwa...., unavuotuaminisha juu ya Chaguo la mungu .......,ukumbuke kuwa si Tawala zote zinazonyanyasa ama kufurahisha jamii zao hutoka kwa Mungu...,nyingine hutoka kwa mungu. hivuo huenda hata hii yako yatoka kwa mungu.
Miongoni mwa Sifa za Utawala utokao kwa Mungu ni:-
1/ kuwa na hofu mbele za Mungu, Yaani kutanguliza uungwana katika utendaji wako ikiwa ni pamoja na kujali na kuthamini watu bila kujali itikadi zao.
2/ Kusimamia Ukweli bila kujali msumeno wa UKWELI unakukata upande wako ama kwa Jirani yako.
3/ Kusimamia Haki bila kujali itikadi za kidini,kisiasa ,Ukanda ,Ukabila ...nk.
Kwa haya Machache tu sioni hata Moja kamalimefuatwa zaidi ya kupinduapindua mambo na sheria, kubambika bambika na Uzushi haya Ni mambo ya miungu na si Mungu.
HITIMISHO ;- Watu wa MUNGU hawa bambikii watu kesi, hawazushii watu jambo wala kupindua pindua sheria kwa maslahi yao.
 
Alijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea

Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa

Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu likamilike

Kwa hiyo hayo Mabeberu yanajisumbua tu misaada wanayoiiita misaada ni mbinu tu za kutafuta masoko ya bidhaa zao

Misaada wanayosema wanatupa ina faida kwao kuliko kwetu

Madini yetu na rasilimali zetu ndizo mkombozi wetu kuliko haya mashoga yanayohimiza tuoane wanaume kwa wanaume
Vya Mungu umtukuza Mungu uyafanya ya Kimungu
 
Toka lini chaguo la lubuva na jecha likawa chaguo la Mungu
 
Trump kachanganyikiwa, wa elitrea walioenda marekani ni 31 tu watz 290 eti unawazuia? Mara oooo Kama anaenda kutalii au matibabu ruksa, yaani niache kwenda kwa Prof janabi niende USA na busha?

USA anaenda diamond na Lina na Lissu wengine tukafanye Nini?
 
Acha huo ujinga wewe. Mungu yupi huyo?
Kumbuka tu huyo mzee Meko kwa sasa yuko busy kuwalamba miguu hao mabeberu ili wampe mkopo.
Tumewavalia miwani ya Mbao na Masikioni tumeweka pamba kuwasikiliza walioshindwa kutekeleza yao. Kwanza kitendo cha Rais wetu kumfananisha na Trumpet sasawa na kutafuta trumpet aonekane naye yumo wakati alikataliwa siku nyingi.
Mwaka 2020 mnaonekana hakuna ajenda ya kujadili maana kwa Mzee wetu aliyepita mlikuwa na ajenda moja wapo ni kujikomba kwa Mabeberu ili watupatie Net, Kondom, na Maneno mengine kedekede. Kwa JPM amewaonesha kuwa anaweza kufanya evolution ya kiuchumi kwa kutumia rasilimali watu na Fedha kutoka ndani na kwenye utekelezaji wake hajawahi kusema nifanye hili kwa kuwategemea Wafanyabiashara wa njia ya misaada. Hivi unakuwa na akili kweli unakopeshwa benki harafu badae aseme sikukopeshi wakati Unarasilimali za kutosha si lazima utumie kitu kiuchumi scale of preference. Mmarekani mwenyewe anakopa ili akopeshe Wengine lakini nenda China utaona walivyofanikiwa kwa kutimia sera ya Maendeleo kwa wote kwa kutumia rasilimali za ndani.
Nakala: Godbless Lema, Zitto Kabwe, John Mnyika, John Heche wakiwa Kigoma msimu wa katiba mpya ilikuwa ajenda yao ya kumfedheheshea Rais aliyepita.
Yale waliyokuwa wanayapinga Mungu si athumani ndiyo hayo wanamlazimisha Raisi eti ayafanye.
Vilevile hawa Watu walivyo kuwa Popo walikuwa wanamwomba Mungu awape Raisi Mwenye uwezo wa kusimamia rasilimali za nchi badala yake wao wamekuwa sehemu ya kuhujumu rasilimali za nchi kwa kutumiwa na mabeberu, Walillalamika wanataka Raisi mkali kidogo kuliko wa sasa Mungu akasema mkali hamuwezi nawapatia mwenye uwezo wa Kutenda zaidi kuliko kuongea na mwenye hofu ya Mungu( Ndiyo maana tunaona Air Tanzania, SGR , N.k) .
Angalieni Wenyewe Zitto Kabwe yupo Marekani eti kushawishi Watanzania wasipate Mikopo, Shenzy type wakati wao wanatuomba watupe mikopo kama wateja Wengine wanaofuatwa na Benki za Kifedha.
 
huyu mungu wenu kimeo tu, kawapangia nini hicho kizuri huku afrika siku zinavyozidi kwenda mnazidi kurudi nyuma badala ya kwenda mbele? mnakimbiilia dini kwenye kila kitu wakati wengi wenu wavivu na vilaza. Endeleeni kumsubiri tu huku wengine wanaishi kwa starehe.
 
Haimaniishi kuchaguliwa na Mungu ati ndio maisha yatakuwa kuteleza tu. Hata Ayubu kipenzi cha Mungu na tena mwenye kitabu katika Biblia, alipitia kwenye magumu, sembuse Magufuli.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom