Magufuli bila madaraka yukoje?

Sijawahi kubadilika kuhusu fisadi yoyote nchi hii na wala sina sababu ya kufanya hivyo ila wewe wanaokufahamu na mabandiko yako wanakushangaa sana.

Umesahau ulimuita Lowassa fisadi?
 
Kwanini nilikane; mbona ukweli wake ndio unatoke sasa hivi? au umesoma kichwa cha habari tu?
Haha, my learned brother....Muda ndio hakimu wa yote....

Ila udhaifu mkuu Wa mwafrika hata asome vipi ubongo wake hauwezi tofautiana na wa kuku hasa ktk kuvutwa na matukio ya upepo....

Nipo kipembeni naangalia muda!
 
Umesahau ulimuita Lowassa fisadi?
Kwani sasa hivi anamwitaje? Nyie ndo wale ubongo wa kuku wa sili nguruwe ila mchuzi wake nakunywa!

Sauli alipogeuka na kuhubiri injili mlimwamini au mlimkataa?

Binafsi sikuwahi mkubali Lowassa isipokua nilifurahi Mungu kumweleleza siku moja akaja upande wa waliosulubiwa ambao yeye alishiriki kutusulubu!

Kwetu Sumaye na Lowassa walioshiriki kututesa na kutuumiza baadae wakaja wenyewe ndio somo Kuu kuliko nyie wenye hulka za kihayawani kuona aheri mrudi Misri kwakua mmoja wa Mafarao kajiunga kwenye safari yenu ya kanani!!

Akili za mtu mweusi ni ngumu mno kuzitenga na zinaa, chuki,husda na wivu!!
 
nichangie au niache ?
 
Hakika mleta mada ulitabiri kama pweza!
 
Reactions: BAK

Nguruvi3 njoo utupe mrejesho wa haya maelezo yako kwa sasa.
 

Hilo la kutumia madaraka vibaya, wakati huo alikuwa waziri, toa maoni yako leo.
 
Watu mwaona mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…