Magufuli bado hajanishawishi

Magufuli bado hajanishawishi

Anatekeleza ilani ya ukawa,ccm hawakuwa na ilani kama hii.Mfano safari za nje za kila mara kufutwa ccm walikuwa nayo kwenye ilani yao?
 
Sawa we baki na msimamo wako huo huo wa kutokushawishiwa na anachofanya mh rais maana huo ugumu wa shingo yako hauiathiri nchi hata chembe,ila huyo aliyeko kichwani mwako si kiongozi mkuu wa nchi yetu,endelea kupinga tuuu ila mimi kila niamkapo asbh kumshukuru mungu kwa kunilinda usiku kucha na kuniamsha salama husali pia sala maalumu kwa ajili ya Mh rais wetu mungu amlinde na mabaya yote yaliyopo chini ya jua ili aiongoze vyema nchi yetu,ampe hekima na busara ktk Kuongoza watanzania na kuwaletea maendeleo ya haraka.
 
Nikiri kwamba kaanza vizuri sana lakini bado hajanishawishi, watanzania tunahitaji maisha bora na yenye uhakika, tunataka uchumi wa nchi ukae vizuri, tunataka vifaa vya ujenzi vishuke bei, tunataka pembejeo za kilimo zishuke bei, tunataka vyakula vishuke bei, tunataka mafuta yashuke bei ili kushusha gharama za usafiri, tunataka umeme wa uhakika na wa kiwango cha chini, tunataka maji ya uhakika, tunataka elimu ya uhakika ikiwemo kuboresha maslahi ya walimu, tunataka madawati na majengo kwa uhakika, tunataka huduma bora za afya nchi nzima, hapo nitaanza kukuunga mkono.

Mkuu umeuwaa..! mimi naungana na wewe kuna mambo magufuli alitakiwa siku 1 tu baada ya kushika madaraka afanye kwa haraka sana ili apate hizo sifa.

Siku ile eti amesema hela za viburudisho ambazo zimechangwa eti zinunuliwe vitanda pale muhimbili tu wakati Tz kuna mahospital yameenea kama madanguro watu hawana huduma yeyote. kuna watu Tz hawajuwi ata iyo hospitali ya muhimbili ipo nchi gani.

Alafu hizi hela nyengine ambazo zimeokolea kwa nini serikali haikuagiza vyakula au kununu chakula kama mchele na vitu vyengine wakauz kwenye mashirika yao kwa bei nafuu ili wafanya biashara wengine walazimike kuuza vyakula vyao bei ya chini ili Mtanzania wa kawaida aanze kufaidika tena hata yule mtu wa chini kabisa.

Juzi nimeskia atapunguza wafanyakazi katika taasisi za umma ili awe na watendaji kidogo hapa mimi sina neno ila je ametengeneza kwanza hizo ajira huko nje? ili hao wafanyakazi wakiachishwa hapo waende kufanya kazi nyengine huko nje? manake hii ni sawa na kusema kipindupindu kinauwa watu wajikinge na kuweka usafi haliyakuwa serikali miundo mbinu na takataka na maji machafu serikali haikuimarisha kabla katika miji yote. Nchi nzima ni uchafu mtupu. South Africa walijenga kwanza nchi yao, miji yao na kuboresha miundo mbinu watu wake automatically walilazimika kufanya usafi.

Leo nimesoma pesa zilizookolewa kwenye sherehe za uhuru zijengwe barabara pale morocco na hadi mwenge ni sawa lakini ivi Watanzania kwani wanakula barabara? Tatizo sugu la Tz ni chakula watu wanakufa njaa watu karib 90% wanahangaika na mlo 1 wa chakula tunataka bidhaa za chakula kwa haraka sana ndio zishuke ili tumpe credit magufuli hili liwe jambo la kwanza.

Alafu ivi kuna shida gani siku 1 asitamke pale kivukoni watu wavuuke bure. Hii hoja kwamba ameokoa hizo fedha na zimo ndani ya mfuko wa serikali hazimshawishi mtanzania yeyote yule madam hakuna faida kwa mtanzania mmoja mmoja. itakuwa ni fedha zinaandikwa katika magazeti na mitandao ya kijamii tu.
 
Vyakura = Vyakula
masrai = maslahi
elim =elimu
walim = walimu
Vinginevyo mawazo yako ni mzuri na ya msingi pia, Hapa unawakilisha matarajio ya Watanzania walio wengi, Lakini kumbuka kuwa huu sio mwanzo mbaya! muheshimiwa ameanza vizuri, tumpe support na tumuombee.

Nyi ndo wale asante bwana, wewe baada ya kujenga hoja unashikili ku-support tu huna mchango wowote, watanzania wanakufa kwa njaa vyakula ni ghali mno na hapa ndio kuna matarajio ya watanzania 95% au unataka kuniambia wewe ukihisi njaa utaenda kula vumbi linalotifuliwa pale morocco kuelekea mwenge barabara inayojengwa??
 
mapambio ya utapeli wa kisiasa just to seek legitimacy hakuna kitu hapo mpaka leo siku ya 25 shilingi ziidi ya dola inazidi kuanguka bei ya sukari palepale umeme nchi nzima unakatika masaa mengi kuliko kawaida unategmea show za kwenye tv magazeti na radio usanii wa ccm na raisi wao kama kawa ukijua usanii wao na maigizo uliza hivi miaka hii ni vitanda vya banco vinavyopswa kupelekwa hospitali badala ya hospital beds ambazo unaweza kumuniua mgonjwa kumgeuza kushoto au kulia na kumsafisha bila kutumia nguvu kubwa matokeo yake vitanda vya banko MRI na CT scan hazifanyi Muhimbili mpaka leo pamoja na mikwala mbuzi, kufungia maduka ya dawa halali bia utaratibu,kuagiza mabasi ya mwendo kasi kuanza kazi na hayafanyi kazi yeyote,barabara aliyokuwa anasimamia magufuli kukataliwa na world bank ni usanii ule ule na wananchi wamepanda yellow cab wanaimba tuu ha ha
 
Nikiri kwamba kaanza vizuri sana lakini bado hajanishawishi, watanzania tunahitaji maisha bora na yenye uhakika, tunataka uchumi wa nchi ukae vizuri, tunataka vifaa vya ujenzi vishuke bei, tunataka pembejeo za kilimo zishuke bei, tunataka vyakula vishuke bei, tunataka mafuta yashuke bei ili kushusha gharama za usafiri, tunataka umeme wa uhakika na wa kiwango cha chini, tunataka maji ya uhakika, tunataka elimu ya uhakika ikiwemo kuboresha maslahi ya walimu, tunataka madawati na majengo kwa uhakika, tunataka huduma bora za afya nchi nzima, hapo nitaanza kukuunga mkono.
Kwahiyo unataka haya yote afanye kwa siku hizi 26 alizokaa ikulu? Mjue nyie ukawa mmelaaniwa kazi yenu ni kugombania maiti basi.
 
Nikiri kwamba kaanza vizuri sana lakini bado hajanishawishi, watanzania tunahitaji maisha bora na yenye uhakika, tunataka uchumi wa nchi ukae vizuri, tunataka vifaa vya ujenzi vishuke bei, tunataka pembejeo za kilimo zishuke bei, tunataka vyakula vishuke bei, tunataka mafuta yashuke bei ili kushusha gharama za usafiri, tunataka umeme wa uhakika na wa kiwango cha chini, tunataka maji ya uhakika, tunataka elimu ya uhakika ikiwemo kuboresha maslahi ya walimu, tunataka madawati na majengo kwa uhakika, tunataka huduma bora za afya nchi nzima, hapo nitaanza kukuunga mkono.

Kwa siku 40?????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nyi ndo wale asante bwana, wewe baada ya kujenga hoja unashikili ku-support tu huna mchango wowote, watanzania wanakufa kwa njaa vyakula ni ghali mno na hapa ndio kuna matarajio ya watanzania 95% au unataka kuniambia wewe ukihisi njaa utaenda kula vumbi linalotifuliwa pale morocco kuelekea mwenge barabara inayojengwa??

Pole sana na njaa,
Watanzania wangapi wamekufa na njaa kijijini kwenu? vp Pesa za msaada wa TASAF Hazijawafikia? Mwanaume pambana acha kulia njaa.
Anyway back to the Topic: Mkuu mambo hayawezi kubadilika overnight! We angalia tulikotoka , unategemea kweli siku 30 za kukaa ofisini mambo yatabadilika yote kwa ghafla? Katika maisha kama huwezi kuona na kukubali jitihada za mtu mwingine basi una shida kuubwa sana. Watanzania tuache kulalamika tufanye KAZI Tusitegemee Rais atakuja kubadilisha kila kitu, yeye anaonyesha njia wengine wanafuata, angalia wajibu wako ni nini katika kusupport juhudi alizoanzisha JPM Acha kulalamika.
 
Mkuu umeuwaa..! mimi naungana na wewe kuna mambo magufuli alitakiwa siku 1 tu baada ya kushika madaraka afanye kwa haraka sana ili apate hizo sifa.

Siku ile eti amesema hela za viburudisho ambazo zimechangwa eti zinunuliwe vitanda pale muhimbili tu wakati Tz kuna mahospital yameenea kama madanguro watu hawana huduma yeyote. kuna watu Tz hawajuwi ata iyo hospitali ya muhimbili ipo nchi gani.

Alafu hizi hela nyengine ambazo zimeokolea kwa nini serikali haikuagiza vyakula au kununu chakula kama mchele na vitu vyengine wakauz kwenye mashirika yao kwa bei nafuu ili wafanya biashara wengine walazimike kuuza vyakula vyao bei ya chini ili Mtanzania wa kawaida aanze kufaidika tena hata yule mtu wa chini kabisa.

Juzi nimeskia atapunguza wafanyakazi katika taasisi za umma ili awe na watendaji kidogo hapa mimi sina neno ila je ametengeneza kwanza hizo ajira huko nje? ili hao wafanyakazi wakiachishwa hapo waende kufanya kazi nyengine huko nje? manake hii ni sawa na kusema kipindupindu kinauwa watu wajikinge na kuweka usafi haliyakuwa serikali miundo mbinu na takataka na maji machafu serikali haikuimarisha kabla katika miji yote. Nchi nzima ni uchafu mtupu. South Africa walijenga kwanza nchi yao, miji yao na kuboresha miundo mbinu watu wake automatically walilazimika kufanya usafi.

Leo nimesoma pesa zilizookolewa kwenye sherehe za uhuru zijengwe barabara pale morocco na hadi mwenge ni sawa lakini ivi Watanzania kwani wanakula barabara? Tatizo sugu la Tz ni chakula watu wanakufa njaa watu karib 90% wanahangaika na mlo 1 wa chakula tunataka bidhaa za chakula kwa haraka sana ndio zishuke ili tumpe credit magufuli hili liwe jambo la kwanza.

Alafu ivi kuna shida gani siku 1 asitamke pale kivukoni watu wavuuke bure. Hii hoja kwamba ameokoa hizo fedha na zimo ndani ya mfuko wa serikali hazimshawishi mtanzania yeyote yule madam hakuna faida kwa mtanzania mmoja mmoja. itakuwa ni fedha zinaandikwa katika magazeti na mitandao ya kijamii tu.

nimekusoma mkuu wewe ni Genius!!point zako zimeenda chuo kikuu..tunataka bei za vyakula vishuke na sio barabara na vitanda.usanii mtupu huu wa kutafta sifa kwenye media.Mind games hizi zinachezwa
 
Unataka uishi Kama ndege chakula bure kulima hutaki endelea kusuburi.
 
Ungekuwa ww ndiye Rais ungeweza kufanya hayo yote Ndani ya mwezi mmoja tu?
Nalog off
 
Nikiri kwamba kaanza vizuri sana lakini bado hajanishawishi, watanzania tunahitaji maisha bora na yenye uhakika, tunataka uchumi wa nchi ukae vizuri, tunataka vifaa vya ujenzi vishuke bei, tunataka pembejeo za kilimo zishuke bei, tunataka vyakula vishuke bei, tunataka mafuta yashuke bei ili kushusha gharama za usafiri, tunataka umeme wa uhakika na wa kiwango cha chini, tunataka maji ya uhakika, tunataka elimu ya uhakika ikiwemo kuboresha maslahi ya walimu, tunataka madawati na majengo kwa uhakika, tunataka huduma bora za afya nchi nzima, hapo nitaanza kukuunga mkono.

unategemea haya yote kwa siku 27?
safari inaanza kwa hatua moja nzuri kuelekea kunapostahili.
 
Back
Top Bottom