Magufuli bado hajanishawishi

Magufuli bado hajanishawishi

Unasubiri kushawishiwa; Kaa pembeni, si tunasonga mbele!!
 
Hata mwezi bado unataka vitu hivyo vyote vishuke bei kweli watanzania baadhi tumelogwa
 
wewe unadhani hivyo vyakula vinashukaje bei?? ni pamoja na kuimarisha miundombinu ya barabara, kupambana na ufisadi na rushwa unaofanywa na 'notorious CARTELS syndicate' waliopo hapa tanzania. ni pamoja na uondoaji vikwazo vya biashara, traffick jam na ukiritimba katika sekta za umma. ni pamoja na mikakati ya kubana matumizi yasiokua ya kimaendeleo ( non development or reccurent expenditure) ambayo imesababisha bei ya vitu kupanda( skyrocketed of the product prices due to demand pull inflation). kwa hio kama bado hujaliona hilo considered yourself as myopic.
 
Nikiri kwamba kaanza vizuri sana lakini bado hajanishawishi, watanzania tunahitaji maisha bora na yenye uhakika, tunataka uchumi wa nchi ukae vizuri, tunataka vifaa vya ujenzi vishuke bei, tunataka pembejeo za kilimo zishuke bei, tunataka vyakula vishuke bei, tunataka mafuta yashuke bei ili kushusha gharama za usafiri, tunataka umeme wa uhakika na wa kiwango cha chini, tunataka maji ya uhakika, tunataka elimu ya uhakika ikiwemo kuboresha maslahi ya walimu, tunataka madawati na majengo kwa uhakika, tunataka huduma bora za afya nchi nzima, hapo nitaanza kukuunga mkono.

Hivi kule ICJ mlijibiwa nini.......??
 
hashawishi watu mkuu alikuwa anashawishi watu wakati anaomba kura. Hapa anafanya anachoona ni sahihi yeye bila kujali unashawishika au unakwazika
 
Kuanza kaanza vizuri na kuna vitu ambavyo tutaona matunda yake baadaye. Vilevile watu wategemee uchakavu mifukoni kwa vile mzunguko wa pesa utapungua pia.

Tatizo ninaloliona ni ku-maintain hii speed!!
 
Mimi kwa dhati kabisa amenishawishi kwa sababu anatekeleza hoja zote za UKAWA.
Bado namcheki ila akitupa katiba ya wananchi mimi na familia yangu kwa ujumla wake tunahamia CCM.
 
Nikiri kwamba kaanza vizuri sana lakini bado hajanishawishi, watanzania tunahitaji maisha bora na yenye uhakika, tunataka uchumi wa nchi ukae vizuri, tunataka vifaa vya ujenzi vishuke bei, tunataka pembejeo za kilimo zishuke bei, tunataka vyakula vishuke bei, tunataka mafuta yashuke bei ili kushusha gharama za usafiri, tunataka umeme wa uhakika na wa kiwango cha chini, tunataka maji ya uhakika, tunataka elimu ya uhakika ikiwemo kuboresha maslahi ya walimu, tunataka madawati na majengo kwa uhakika, tunataka huduma bora za afya nchi nzima, hapo nitaanza kukuunga mkono.

Mimi pia bado hajanishawishi! Bado nasubiri tuu
Akipunguza PAYEE ndio hapo nitaanza kuona yes na bado umeme mimi bado kabisa
 
WanaJF,

Kwaa muda wa siku kama 24 sasa tangu rais atembelee wizara ya fedha na baadae Mhimbili. Na shughuli hii ya bandari watanzania wengi wamepofuka macho na hawataki kabisa uhoji chochote kuhusu rais au maamuzi yake kana kwamba mheshimiwa rais amekuwa Mungu.

Leo hii kwenye uzi wa mtu fulani nimetoa maoni yangu kuwa Matumizi ya fedha za umma bila kufuata sheria ya manunuzi ni upendeleo kwa kampuni husika na uvunjifu washeria. Watu wameniwakia mbaya.

Sasa nimeanzisha uzi huu ili tuwekane sawa na mnaotapika tapikeni.

Barabara hii ya Mwenge - Morocco, mimi najua ilishafanyiwa usanifu na upembuzi yakinifu muda mrefu. Na mwaka jana wajapan kupitia shirika lao la JICA walionyesha interest ya kughalimia ujenzi huu na hivyo wakatoa hela, kuhuisha (update the ESIA and RAP) na tulitegemea mwaka huu ujenzi uanze. Je mpango huo wa ufadhili wa JICA ulikuwa wa update ya study tu? Na kama ilikuwa na ujenzi pia mpango huo umefutwaje?

Suala la pili, huyu mkandarasi anayejenga amepataje kazi? Tuelekezane vizuri.

Sheria ya manunuzi ya umma inasemaje kuhusu manunuzi ya kiwango hiki cha pesa 4 billion.
 
Manake kuna majina yanavuma mbaya kwa utajiri wengine ni wakurugenzi
 
Wengine wamepandishwa vyeo karibuni tuuu lakini ni hatariiiiiiiiiiiii, wana majumba hayaelezeki
 
Kwani humjui mh.magufuri?kazi zake ni za kutotumia akiri na anataka kufanya jambo kwa asila sana mwisho wa kazi unakuta kila kitu ni kibovu.si unaona swala la barabara.


swissme
 
mkuu..ndio maana fisiemu itatutawala milele sababu inajua sana kucheza na akili za wadaanganyika.Mind games hizi watu washajaa tayari inasikitisha sana mie nakwambia ipo siku tutachekwa sana.
 
Back
Top Bottom