Magufuli azomewa tena. Ni Bunju, Boko, Tegeta na Mbezi

Stori za Wapumbavu na Malofa bwana zinafurahisha kweli. Halafu wanajitekenya na kucheka wenyewe kwa video zao za ku-edit.

Msikilizeni kibabu cheni kishabadili kauli kutoka "Sina msamiati wa kushindwa" kuwa "Nikishindwa naenda kuchunga ng'ombe"

Hiyo ndiyo nguvu ya Magufuli.
 
Nguvu ya umma yazidi kujiidhirisha hapa Jijini Dar es Salaam. Baada ya mgombea wa CCM, Magufuli kuzomewa tena na mamia ya wananchi.

Magufuli kazomewa maeneo ya Bunju, Boko, Tegeta na Mbezi. Huku wananchi hao wakiimba Lowassa, Lowassa, Lowassa...

Mytake: Tukutane Jumapili

Acha uongo nilikuwepo, taarifa ya ITV imerusha mikutano yote hiyo huko kuzomea hakupo. Kuwa mkweli acha ushabiki mbuzi. Hivi umesoma shule gani wewe?
 
Hapa kazi tu mnataka kazi ya kuliwa mzigo haya kaeni mkao wa kura maana nyie wote mbaokufa na ccm yenu ni wale mnaogeuza ccm Kuwa ndio biashara yenu Bila ccm mtaolewa hapa mjini

Namimi nasema HAPA RUNGU TU TUTAWASUUZA MZIGO MPAKA MPATE mimba
 
Acha uongo nilikuwepo, taarifa ya ITV imerusha mikutano yote hiyo huko kuzomea hakupo. Kuwa mkweli acha ushabiki mbuzi. Hivi umesoma shule gani wewe?

We kweli mwehu kabisa. Ulitegemea Buhohela aonyeshe kuwa Magufuli kazomewa?
 
Nguvu ya umma yazidi kujiidhirisha hapa Jijini Dar es Salaam. Baada ya mgombea wa CCM, Magufuli kuzomewa tena na mamia ya wananchi.

Magufuli kazomewa maeneo ya Bunju, Boko, Tegeta na Mbezi. Huku wananchi hao wakiimba Lowassa, Lowassa, Lowassa...

Mytake: Tukutane Jumapili

Porojo @ work
 
Hivi wewe gamba hujui kuwa serikali yako inategemea ushuru wa hivyo viloba katika bajeti yake...

Ukawa wanafanya siasa za kitoto kuwapa watu viroba anapopita magufuli azomewe.kumzomea magufuli hakusaidii kupunguza kura zake
 
Acha uongo nilikuwepo, taarifa ya ITV imerusha mikutano yote hiyo huko kuzomea hakupo. Kuwa mkweli acha ushabiki mbuzi. Hivi umesoma shule gani wewe?

Nikuulize, kwenye taarifa ya jana walionesha alivyozomewa pale Ubungo?
 
acheni uongo hao waliozomea ni mateja,wavut bangi na waliopewa viroba ili wazomee. siasa za kitoto izo lakn bado anafiunika magufuli kila sehem.Mpaka monduli na hai kwa mbowe lakn mzee EL alivofika CHATO bettry low. na uko buju unakosema hajazomewa watu tulikuwepo wa kmwaga mpaka kwenye mapaa ya nyumbaa tumekaa kwa tulvokuwa wengi
 
Idadi kubwa ya wanaozomea ni watu wa vivu, wategemezi, wasio na uwezo wa kujituma,wasio na uwezo wa kupambanua mambo, wasiojua historia ya nchi hii na hata wakielezwa hawataki kuelewa (wabishi/wapumbavu), walevi wa bangi, unga, viroba nk.
WANAJIDANGANYA HAPA KAZI TU.

" Na hao, wabishi, wapumbavu, walevi wa bangi, unga, viroba n.k....ndio watakaoonesha ubishi wao, ulevi wao, upumbavu wao, bangi zao, unga wao, viroba vyao n.k yao J2 kwenye visanduku vya kura na kuzilinda",.... Halafu kumbuka hii " Never underestimate the power of stupid people in large groups"
 
Acha uongo nilikuwepo, taarifa ya ITV imerusha mikutano yote hiyo huko kuzomea hakupo. Kuwa mkweli acha ushabiki mbuzi. Hivi umesoma shule gani wewe?

Achana naye huyu atakuwa kasoma shule mojawapo ya Kata iliyoanzishwa chini ya utawala wa CCM.
 
Kama hujanywa viroba wala kuvuta bangi, ni wazi kwamba akili yako ina matatizo tena makubwa sana, nn maana ya kuzomea? hayo ni mambo ya uke wenza na kwenye taarabu, na pia nahisi hauna familia na kama una familia basi ni zile familia ambazo hata kijijini zinadhalaulika kwa kutokuwa na maadili mema.Ndo maana ccm itaendelea kutawala nchi hii kwa sababu hawana ujinga huo wa kuzomezomea, hata wasimamizi wa kimataifa naamini wanashangaa sana, hizi ni tabia za chadema. cuf na nccr hawana ujinga huo, ubabe, matusi, kelele ndo maadili yenu ambayo mmefundishwa na chama chenu, chama kinakuwa kama chama cha mateja.
Sawa, Inawezekana yanaukweli ndani yake hayo uyasemayo!! Ila nafurahi Angalau na Mimi akili yangu na Maadili yangu yako sawa na wabunge wako wanaozomeaga bungeni. Nyambafu Kabisa!!! Kulia alie tetere akili bundi uchuro!!!
 
Magufuli angekaa tu chini apange mikakati ipi ataingia nayo kumwomba lowasa msamaha ili arudishwe kwenye serikali ya UKAWA November 2015
 
Back
Top Bottom