nyengo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 454
- 184
Ni mfululizo wa ziara ya aibu ya magufuli jijini dar. Baada ya kukosa watu kigamboni na temeke na kuzomewa ubungo na pia leo mbezi kukosa watu. Aibu nyingine ameipata tegeta leo baada ya kuzomewa na wananchi sana.. Magufuli ameweka rekodi ya kuzomewa sana jijini dar na mbeya na sehem nyingi Tanzania. Tegeta wamevurugwa
Mimi nawalaumu "washauri" wa Magufuli!! Kwa nini hakuweza kuambatana na wasanii?? Mbona katika mikutano yote inayowashirikisha wasanii kunakuwa na "sunami" Hii ni mbinu mbaya ya baadhi ya makada wa CCM..Ndio maana Magufuli aliwahi kusema mchana wako CCM usiku wako UKAWA..