Magufuli azidi kuporomoka umaarufu wazidi kushuka kwa miaka 2 mfulizo toka 96% 2016 hadi 55% 2018

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1562566255375.jpg
 
Hata wewe mbona umeshuka umaarufu kwa mkeo? Na mkeo mbona kashuka umaarufu kwako? Zamani ulikuwa unampigia simu masaa ishirini na nne, ila siku hizi hata kubeep ni kazi. Zamani mkeo alikuwa anakupa mzigo 24/7 siku hizi anakupa mzigo kwa ratiba!

SOMO:
Kitu kinapokuwa kipya umaarufu wake huwa wa juu. Unapokizoea kinaanza kuwa cha kawaida. Na ndivyo ilivyo. Hata ukinunua gari huwa unatamani ulale ndani ya gari. One year down the lane hata kuliosha unaanza kuona uvivu kwa kuwa umeshalizoea.
 
kwa hisabu hii ya lumumba hivo umaarufu wa JIWE wa kulazimisha nao umeshuka vibaya mnooooooo!!!
MSAADA HUU KWA HII SHULE NI KWA HISANI YA SIRIKALE YA TANGANYIKA:D:D:D:D
 
Source ya hizi data za kushuka ni nini? Kuna utafiti umefanyika au ni Ansbert ndio kaamua kwamba umaarufu umeshuka kwa 41%?
Huyo kavunja sheria. Sheria ya takwimu, ni takwimu zinazo tolewa na serikali ndio sahihi, na utafiti wowote lazima uidhinishwe na serikali.
 
Hahahah huwezi kuwa serious broo,yan data utoe kwa Anserbt utuleteee huku seriously???tunaomba source ya taarifa
 
Ha ha haaaaaa
Mkimbizi huyo kashapewa ukimbizi au bado?

Mnatamani iwe hivyo.. jipeni moyo huku ukweli mnaufahamu..

🤡
 
Back
Top Bottom