Magufuli atashindwa kama Nyerere

Magufuli atashindwa kama Nyerere

Umeamua kumfungulia uzi kila siku

Kweli umeguswa pabaya na hapa kazi tu

Pole yako

Weye mshabiki wake ila unaumia pesa za wananchi hamzipati tena.

Endelea kuwa shabiki wake
Mkuu kumbe unalikumbuka hili gamba???
Kila siku na thread zake nasema huyu alikuwa jipu sasa katumbuliwa,
Aliamini ikipita sisiem wataendelea kupiga kama walivyozoea,

Sasa naweza kusema sio mwanasisiem huyu tu anaemchukia JPM
Wapo wengi sana na wengine siku hizi humu hata hawachangii wananuna tu kila kukicha
 
NYERERE ALIFELI VIBAYA SANA ECONOMICALLY INGAWA ALIFANIKIWA SOCIALLY.
MAREKANI NA WESTERN HUAMINI UKITAKA KUMTAWALA MTU MKONTROL ECONOMICALLY.

sasa Nyerere alidai hataki wawekezaji kwa rasilimali zetu mpaka tupate uwezo wetu wenyewe. tungekaa kusikiliza mawazo hayo tungekaa miaka 1000 labda ndio technology tunngekua tumeipt pamoja na fedha.

hivyo 1992 iliamuliwa kuruhusu uwekezaji katka madini, gesi,elimu,afya,umeme,usafirishaji,viwanda,mawasiliano nk sasa iv kila MTU anasimu,TV vitu vidogo unavovisense where ur. je kusingekuwa na uwekezaji what do u think?.
magufuli nae anataka kumzuia manji asiwekeze cocobeach eti watu wa mazenze wataogelea wapi? uwekezaji huo ulikua haubadilishi matumizi ya public Bali kuboresha ;mazingira na yawe ya kuvutia. issue sio kuzuia uwekexaji Bali mkataba na sheria nzuri zs uwekezaji. Leo mek sadik nae kaogopa anamuomba manji aache uwekezaji pale cocobeach.

hizi Sera za nyerere si zilijifia kitambo kuzifufua na kujisumbua tu.

argue,don't shout!

Kama hiyo ndiyo sababu ya ku "fail" Nyerere ni wapi Magufuli kakataa uwekezaji / wawekezaji?
 
​Akishindwa na wewe utaathirika pia, kama haumo miongoni mwa virusi vya majipu yanayotumbuliwa!
 
Kama hiyo ndiyo sababu ya ku "fail" Nyerere ni wapi Magufuli kakataa uwekezaji / wawekezaji?

Akufuzaye hakuambii toka FaizaFoxy ulisoma kiswahili mama?you seem to be not so good at applying swahili proverbs, idioms and sayings to the real world,wise up mama!
 
Last edited by a moderator:
Ninachoweza kusema ni kwamba kuiongoza TZ ni kazi kubwa sana. Ni nchi ambayo imekuwa ikihujumiwa kiuchumia muda wote tangu uhuru hadi leo, miaka 54 baadaye. Kwa hivyo si rahisi kuijenga kwa kipindi kifupi. Magufuli anajaribu kuweka msingi mpya - ikiwa hatahujumiwa na matajiri na CCM wenzake, na kama wananchi tutamsaidia, kila mmoja alipo kwa nafasi yake - atafanikiwa, tutafanikiwa.
Mungu Ibariki Tanzania
 
Nimefurahi sana kuzuia pale cocobeach, maana ni kweli watoto wa Manzese tulishaanzwa kusogezwa kuleeeeee,
Sasa hv kulianza kua na Cocobeach A na B,

Waangaliwe na wauzaji wa chakula pale, bei zao hazieleweki, chakula kimoja lkn kila mtu analipia bei yake,

Sisi wa manzese inabidi tuje na wali wetu kwenye mfuko,

Ahsante sana Rais wangu,
#Uzalendo kwanza#
 
NYERERE ALIFELI VIBAYA SANA ECONOMICALLY INGAWA ALIFANIKIWA SOCIALLY.
MAREKANI NA WESTERN HUAMINI UKITAKA KUMTAWALA MTU MKONTROL ECONOMICALLY.

Sasa Nyerere alidai hataki wawekezaji kwa rasilimali zetu mpaka tupate uwezo wetu wenyewe. Tungekaa kusikiliza mawazo hayo tungekaa miaka 1000 labda ndio technology tungekuwa tumeipata pamoja na fedha.

Hivyo 1992 iliamliwa kuruhusu uwekezaji katika madini, gesi,elimu,afya,umeme,usafirishaji,viwanda,mawasiliano nk sasa hivi kila MTU ana simu,TV vitu vidogo unavovisense mahali ulipo. Je, kusingekuwa na uwekezaji what do u think?

Magufuli nae anataka kumzuia Manji asiwekeze Coco Beach eti watu wa Mazenze wataogelea wapi? Uwekezaji huo ulikuwa haubadilishi matumizi ya public Bali kuboresha mazingira na yawe ya kuvutia.

Issue sio kuzuia uwekezaji bali mkataba na sheria nzuri za uwekezaji. Leo Meck Sadick nae kaogopa anamuomba Manji aache uwekezaji pale Coco Beach.

Hizi Sera za Nyerere si zilijifia kitambo kuzifufua na kujisumbua tu.

Argue,don't shout!

nakumbuka hapa majuzi tu iliripotiwa katika hizi sikukuu kubwa (Nadhani ni Eid) waswahili walikua wanazuiwa kuingia quality centre, ila wengine walikua wanaruhusiwa...
 
Pessimists na doomsayers kama wewe nao Waterloo; usichambe kabla hujamaliza kupupu! Bado ni mapema sana kupitisha verdict kama hiyo! The dynamics have changed immensely since 1967 when Mwalimu launched his ujamaa experiment na ukiangalia kwa kina global trends; Social democracy (ujamaa; caring for the majority who are poor) is on the rise whereas capitalism (Ubepari; each for oneself and God for us all) is on the wane!

NYERERE ALIFELI VIBAYA SANA ECONOMICALLY INGAWA ALIFANIKIWA SOCIALLY.
MAREKANI NA WESTERN HUAMINI UKITAKA KUMTAWALA MTU MKONTROL ECONOMICALLY.

sasa Nyerere alidai hataki wawekezaji kwa rasilimali zetu mpaka tupate uwezo wetu wenyewe. tungekaa kusikiliza mawazo hayo tungekaa miaka 1000 labda ndio technology tunngekua tumeipt pamoja na fedha.

hivyo 1992 iliamuliwa kuruhusu uwekezaji katka madini, gesi,elimu,afya,umeme,usafirishaji,viwanda,mawasiliano nk sasa iv kila MTU anasimu,TV vitu vidogo unavovisense where ur. je kusingekuwa na uwekezaji what do u think?.
magufuli nae anataka kumzuia manji asiwekeze cocobeach eti watu wa mazenze wataogelea wapi? uwekezaji huo ulikua haubadilishi matumizi ya public Bali kuboresha ;mazingira na yawe ya kuvutia. issue sio kuzuia uwekexaji Bali mkataba na sheria nzuri zs uwekezaji. Leo mek sadik nae kaogopa anamuomba manji aache uwekezaji pale cocobeach.

hizi Sera za nyerere si zilijifia kitambo kuzifufua na kujisumbua tu.

argue,don't shout!
 
NYERERE ALIFELI VIBAYA SANA ECONOMICALLY INGAWA ALIFANIKIWA SOCIALLY.
MAREKANI NA WESTERN HUAMINI UKITAKA KUMTAWALA MTU MKONTROL ECONOMICALLY.

Sasa Nyerere alidai hataki wawekezaji kwa rasilimali zetu mpaka tupate uwezo wetu wenyewe. Tungekaa kusikiliza mawazo hayo tungekaa miaka 1000 labda ndio technology tungekuwa tumeipata pamoja na fedha.

Hivyo 1992 iliamliwa kuruhusu uwekezaji katika madini, gesi,elimu,afya,umeme,usafirishaji,viwanda,mawasiliano nk sasa hivi kila MTU ana simu,TV vitu vidogo unavovisense mahali ulipo. Je, kusingekuwa na uwekezaji what do u think?

Magufuli nae anataka kumzuia Manji asiwekeze Coco Beach eti watu wa Mazenze wataogelea wapi? Uwekezaji huo ulikuwa haubadilishi matumizi ya public Bali kuboresha mazingira na yawe ya kuvutia.

Issue sio kuzuia uwekezaji bali mkataba na sheria nzuri za uwekezaji. Leo Meck Sadick nae kaogopa anamuomba Manji aache uwekezaji pale Coco Beach.

Hizi Sera za Nyerere si zilijifia kitambo kuzifufua na kujisumbua tu.

Argue,don't shout!

Magufuli hajazuia uwekezaji bali kazuia kuwekeza katika eneo ambalo ni kwa matumizi ya public.Coco beach ni eneo ambalo kila mwananchi mwenye kipato na asiye na kipato anaweza kwenda kujipumzisha bila kulipa chochote..Kumruhusu manji awekeze pale ni sawa na kuwanyima nafasi wale ambao hawatoweza kulipia kuingia katika eneo hilo.Siyo kila mtu anuwezo wa kwenda katika beach ya kulipia na hilo ata wewe mtoa mada unalijua,Kuna maeneo mengi ambayo watu wanaweza kwenda kuwekeza sio lazima iwe coco beach..Anachoonyesha manji ni ubinafsi,dharau na kuwakandamiza wananchi wa hali duni...Magufuli anachofanya ni sahihi kabisa
 
Manji anawekeza Koko beach kwa maslahi ya nani?
Yake binafsi na wanae au kwa maslai ya wavuja jasho?
 
AssadSyria ameisoma namba tayari, FaizaFoxy ameisoma namba, mwanadiwani sijui yuko wapi, Simiyu yetu, kilombero yetu wamepotea, Lizaboni na UtaifaKwanza wanachungulia tu humu. Naona kabakia Hamy D peke yake naye kwa vile anatongoza kupata UWAZIRI wa michezo

WANAISOMA NAMBAAAAA EEEEHHHH MAGUFULI MBELE KWA MBELE
 
kwaio uwekezaji wa manji cocobeach ni wa hovyo?

Kitu cha kwanza cha hovyo kabisa ni akili zako.

Manji kuwekeza si kosa, sheria zilifuatwa? Mbona kwenye matangazo tunasikia halmashauri ya wilaya ya kukonda kushirikiana na bank blah blah blah inadu blah blah blah na sasa leo tena nasikia Manji?

Kwani ufukwe upo Coco Beach tu?

Serikali makini haitaacha uwekezaji utakaowaacha wananchi wakishindwa kuwa wanufaikaji. Wakishaweka hizo bembea zao, tutaogelea bure kama tunavyofanya sasa?

Ungekuwa mtoto wangu ningeenda nawe kwa muuza pumba nikakubadilishane na debe la pumba nilishe bata zangu.
 
Hv magufuli anaona sisi wa manzese Tunafurah kuoga ile beach (beach kimba) katika ile hali ? Manji ni muwekezaje swala ni kumueleza aweke mradi ambao utakuwa relevant na uwezo wa watu tunaopatumia pale (of which as an investor najua anampango unao endana na demand ya watu husika ) Tatzo la Magufuli anaona washika dau kwenye serikali yake ni the hoi polloi tu wafanyakaz wa umma na wawekezaj anawapa mgongo Tutaishia kumsifu ila vilio vya ajira uchumi mbovu na huduma za jamii zitabaki palepale kama alivyozikuta
 
Mkuu kumbe unalikumbuka hili gamba???
Kila siku na thread zake nasema huyu alikuwa jipu sasa katumbuliwa,
Aliamini ikipita sisiem wataendelea kupiga kama walivyozoea,

Sasa naweza kusema sio mwanasisiem huyu tu anaemchukia JPM
Wapo wengi sana na wengine siku hizi humu hata hawachangii wananuna tu kila kukicha

Magamba wengi ni hewala mzee kwa wafanyabiashara wa kiasia. Sasa jamaa anang'oa mirija wanahaha
 
Akufuzaye hakuambii toka FaizaFoxy ulisoma kiswahili mama?you seem to be not so good at applying swahili proverbs, idioms and sayings to the real world,wise up mama!

Magufuli juzi kasema atawapa wawekezaji 100% support na anaewachalewesha hana kazi.

Unaelewa maana yake nini hiyo?

Nasikia Kimaro kafa kwa kihoro, kwa hilo jina si atakuwa mchagga huyo?
 
NYERERE ALIFELI VIBAYA SANA ECONOMICALLY INGAWA ALIFANIKIWA SOCIALLY.
MAREKANI NA WESTERN HUAMINI UKITAKA KUMTAWALA MTU MKONTROL ECONOMICALLY.

Sasa Nyerere alidai hataki wawekezaji kwa rasilimali zetu mpaka tupate uwezo wetu wenyewe. Tungekaa kusikiliza mawazo hayo tungekaa miaka 1000 labda ndio technology tungekuwa tumeipata pamoja na fedha.

Hivyo 1992 iliamliwa kuruhusu uwekezaji katika madini, gesi,elimu,afya,umeme,usafirishaji,viwanda,mawasiliano nk sasa hivi kila MTU ana simu,TV vitu vidogo unavovisense mahali ulipo. Je, kusingekuwa na uwekezaji what do u think?

Magufuli nae anataka kumzuia Manji asiwekeze Coco Beach eti watu wa Mazenze wataogelea wapi? Uwekezaji huo ulikuwa haubadilishi matumizi ya public Bali kuboresha mazingira na yawe ya kuvutia.

Issue sio kuzuia uwekezaji bali mkataba na sheria nzuri za uwekezaji. Leo Meck Sadick nae kaogopa anamuomba Manji aache uwekezaji pale Coco Beach.

Hizi Sera za Nyerere si zilijifia kitambo kuzifufua na kujisumbua tu.

Argue,don't shout!

Unadhan akiwekeza pale pataingilika kirahisi kama sasa?... Habari ya kuingia tu elfu 20000 ndo itaanza na watu wa manzese hatuna uwezo huo
 
Back
Top Bottom