tofautisha kati ya mwekezaji na mbabaishaji/dalali mtu anasaini mkataba kuwekeza kwa conditions fulani na timeframe fulani. yeye haheshimu conditions halafu mkataba unavunjwa bila kudaiwa demages zozote mahakamani. halafu yeye anashitaki kwa kuvunjwa mkataba anapewa demages shs 500 million. mtu ni dalali/speculator anashikilia eneo na kufanya hila kuchuna ngozi wananchi kwa kushirikiana na watendaji wala rushwa halafu anapewa hadhi ya muwekezaji. na sio kila kitu kinafaa kuendelezwa na watu binafsi vinginevyo tunaweza kujikuta nchi tunauzia wageni.NYERERE ALIFELI VIBAYA SANA ECONOMICALLY INGAWA ALIFANIKIWA SOCIALLY.
MAREKANI NA WESTERN HUAMINI UKITAKA KUMTAWALA MTU MKONTROL ECONOMICALLY.
sasa Nyerere alidai hataki wawekezaji kwa rasilimali zetu mpaka tupate uwezo wetu wenyewe. tungekaa kusikiliza mawazo hayo tungekaa miaka 1000 labda ndio technology tunngekua tumeipt pamoja na fedha.
hivyo 1992 iliamuliwa kuruhusu uwekezaji katka madini, gesi,elimu,afya,umeme,usafirishaji,viwanda,mawasiliano nk sasa iv kila MTU anasimu,TV vitu vidogo unavovisense where ur. je kusingekuwa na uwekezaji what do u think?.
magufuli nae anataka kumzuia manji asiwekeze cocobeach eti watu wa mazenze wataogelea wapi? uwekezaji huo ulikua haubadilishi matumizi ya public Bali kuboresha ;mazingira na yawe ya kuvutia. issue sio kuzuia uwekexaji Bali mkataba na sheria nzuri zs uwekezaji. Leo mek sadik nae kaogopa anamuomba manji aache uwekezaji pale cocobeach.
hizi Sera za nyerere si zilijifia kitambo kuzifufua na kujisumbua tu.
argue,don't shout!
Uwekezaji wa ovyo ndio hautakiwi. Magufuli angekuwa hapendi wawekezaji asinge waita wafanya biashara kuongea nao vizur kama alivyo fanya majuzi.
Hatutaki vitu vya ovyo
Labda Mimi cjaelewa naninaomba kueleweshwa. Naona clip ya uendelezaje wa ufukwe wa oyster bay kuanzia mnara wa kuongoza meli mpaka sea cliff hotel nawanasema mradi huo unafanywa kwa kushirikiana na Halmashauri pamoja na TIB bank. Sijamskia Manji akitajwa au Co yake. Je yeye anasimamia wap?
kweli huyu magufuli atafeli kama anataka kuuwa shule za private.. Tunaanza kurudi kwenye ujamaa na ujima
NYERERE ALIFELI VIBAYA SANA ECONOMICALLY INGAWA ALIFANIKIWA SOCIALLY.
MAREKANI NA WESTERN HUAMINI UKITAKA KUMTAWALA MTU MKONTROL ECONOMICALLY.
sasa Nyerere alidai hataki wawekezaji kwa rasilimali zetu mpaka tupate uwezo wetu wenyewe. tungekaa kusikiliza mawazo hayo tungekaa miaka 1000 labda ndio technology tunngekua tumeipt pamoja na fedha.
hivyo 1992 iliamuliwa kuruhusu uwekezaji katka madini, gesi,elimu,afya,umeme,usafirishaji,viwanda,mawasiliano nk sasa iv kila MTU anasimu,TV vitu vidogo unavovisense where ur. je kusingekuwa na uwekezaji what do u think?.
magufuli nae anataka kumzuia manji asiwekeze cocobeach eti watu wa mazenze wataogelea wapi? uwekezaji huo ulikua haubadilishi matumizi ya public Bali kuboresha ;mazingira na yawe ya kuvutia. issue sio kuzuia uwekexaji Bali mkataba na sheria nzuri zs uwekezaji. Leo mek sadik nae kaogopa anamuomba manji aache uwekezaji pale cocobeach.
hizi Sera za nyerere si zilijifia kitambo kuzifufua na kujisumbua tu.
argue,don't shout!
kwaio uwekezaji wa manji cocobeach ni wa hovyo?
kwaio uwekezaji wa manji cocobeach ni wa hovyo?
Umeamua kumfungulia uzi kila siku
Kweli umeguswa pabaya na hapa kazi tu
Pole yako
Weye mshabiki wake ila unaumia pesa za wananchi hamzipati tena.
Endelea kuwa shabiki wake
Uwekezaji wa ovyo ndio hautakiwi. Magufuli angekuwa hapendi wawekezaji asinge waita wafanya biashara kuongea nao vizur kama alivyo fanya majuzi.
Hatutaki vitu vya ovyo
kwaio uwekezaji wa manji cocobeach ni wa hovyo?
Uwekezaji uliopita ni mojawapo ya kero zilizowafanya wananchi watake mabadiliko. Hivi hamkujua kama mtaguswa hadi moyoni? Sasa Uwekezaji unafanyiwa review hapo ni introduction tu chapters bado wewe umeshaanza kuweweseka. Tulia subiri table of contents imwagwe walau usome executive summary ndiyo ulete upya uzi wako. Kwa heri.
acha kujicontadict, kwanini azuie uwekezaji cocobeach?
Jamaa anamchukia magufuli kinoma.
Anatamani kila siku jamaa afeli.
Ili aanze tena promo za mamvi.
acha kujicontadict, kwanini azuie uwekezaji cocobeach?