Magufuli atashindwa kama Nyerere

Magufuli atashindwa kama Nyerere

kwaio uwekezaji wa manji cocobeach ni wa hovyo?
Ni wa hovyo sana maana ukiangalia anachotaka kufanya mwisho hilo eneo itabidi watu walipe ndio waruhusiwe kuogelea hiyo itawazuia watu wa
hali ya chini washindwe kwenda cocobeach
 
Walewale wezi na wakwepaji kodi wakubwa wanaomba Magufuli ashindwe, Magufuli ana support ya wananchi safari hii mtaisoma Namba Manji ameambiwa beach zipo nyingi aende eneo lingine lakini cocobeach aiache kama alivyo shida iko wapi? Mmezoea kupora maeneo ya public tuachieni raisi wetu
Nilichojifunza hii nchi unaweza kua na sapoti ya wanachi nado ukahujumiwa.
 
Acha kupotosha uma,ujamaa wa Tanzania wa nyerere ulikuwa umekwenda mbali coz viwanda vilikuwa vingi kuliko sasa,kilimo mazao yalikuwa yanspatikana kwa wingi kuliko sasa na elimu ilikuwa safi.Hatuwezi kuruhusu MTU kuwekeza Eneo la wazi.Afate sheria acha kujipofosha macho na akili kiss Tamaa zako.Magufuli Sie tunamwelewa sana tu
Nyerere alijenga nchi na kusomesha kila alieenda shule kwa kodi ya sigara na pombe.Sijui kama tutarudi huko.
 
Labda Mimi cjaelewa naninaomba kueleweshwa. Naona clip ya uendelezaje wa ufukwe wa oyster bay kuanzia mnara wa kuongoza meli mpaka sea cliff hotel nawanasema mradi huo unafanywa kwa kushirikiana na Halmashauri pamoja na TIB bank. Sijamskia Manji akitajwa au Co yake. Je yeye anasimamia wap?
 
NYERERE ALIFELI VIBAYA SANA ECONOMICALLY INGAWA ALIFANIKIWA SOCIALLY.
MAREKANI NA WESTERN HUAMINI UKITAKA KUMTAWALA MTU MKONTROL ECONOMICALLY.

sasa Nyerere alidai hataki wawekezaji kwa rasilimali zetu mpaka tupate uwezo wetu wenyewe. tungekaa kusikiliza mawazo hayo tungekaa miaka 1000 labda ndio technology tunngekua tumeipt pamoja na fedha.

hivyo 1992 iliamuliwa kuruhusu uwekezaji katka madini, gesi,elimu,afya,umeme,usafirishaji,viwanda,mawasiliano nk sasa iv kila MTU anasimu,TV vitu vidogo unavovisense where ur. je kusingekuwa na uwekezaji what do u think?.
magufuli nae anataka kumzuia manji asiwekeze cocobeach eti watu wa mazenze wataogelea wapi? uwekezaji huo ulikua haubadilishi matumizi ya public Bali kuboresha ;mazingira na yawe ya kuvutia. issue sio kuzuia uwekexaji Bali mkataba na sheria nzuri zs uwekezaji. Leo mek sadik nae kaogopa anamuomba manji aache uwekezaji pale cocobeach.

hizi Sera za nyerere si zilijifia kitambo kuzifufua na kujisumbua tu.

argue,don't shout!

Who is Manji to you?.....Pumba kabisa...........
 
Kama ujamaa wa Nyerere ungefanikiwa tungekuwa taifa pekee Afrika la watu weusi tu linalojitegemea na lililoendelea.Ule ulikuwa ujamaa uliobeba nia njema kwa Tanzania.Sasa hivi hakuna hata hatua moja inayopigwa kuurudia zaidi ya kuingia mikataba inayotufanya watumwa kila siku.
 
Bora ukawa mwasilika Wa ukimwi kuliko Magufulifordia. Pole Sana, lkn hamna namna lazima uisome namba na utumbuliwe jipu.
 
NYERERE ALIFELI VIBAYA SANA ECONOMICALLY INGAWA ALIFANIKIWA SOCIALLY.
MAREKANI NA WESTERN HUAMINI UKITAKA KUMTAWALA MTU MKONTROL ECONOMICALLY.

sasa Nyerere alidai hataki wawekezaji kwa rasilimali zetu mpaka tupate uwezo wetu wenyewe. tungekaa kusikiliza mawazo hayo tungekaa miaka 1000 labda ndio technology tunngekua tumeipt pamoja na fedha.

hivyo 1992 iliamuliwa kuruhusu uwekezaji katka madini, gesi,elimu,afya,umeme,usafirishaji,viwanda,mawasiliano nk sasa iv kila MTU anasimu,TV vitu vidogo unavovisense where ur. je kusingekuwa na uwekezaji what do u think?.
magufuli nae anataka kumzuia manji asiwekeze cocobeach eti watu wa mazenze wataogelea wapi? uwekezaji huo ulikua haubadilishi matumizi ya public Bali kuboresha ;mazingira na yawe ya kuvutia. issue sio kuzuia uwekexaji Bali mkataba na sheria nzuri zs uwekezaji. Leo mek sadik nae kaogopa anamuomba manji aache uwekezaji pale cocobeach.

hizi Sera za nyerere si zilijifia kitambo kuzifufua na kujisumbua tu.

argue,don't shout!

Wewe ndo umeferi mkuu
 
Mleta bandiko unakela sijui Kama unajitambua?ole wenu Magufuri azulike.nyie ndio majipu yenyewe.
 
Kwani hao wengine waliomtangulia ni nani alofanikiwa? Sisi tunaiona Dhamiri na Nia yake njema. Akifeli itakuwa si jambo geni kwani hata wenzake walifeli pia.
 
Huo ni upuuzi. Argument yako yote ime simama kwenye assumption kwamba sisi WaTZ ni wajinga kiasi cha kutoweza kugundua mbinu za kurahisisha shuhuli zetu..
 
Mikataba iliyokuwa inaingiwa na wawekezaji na serikali mingi ilikuwa shaghala bagala. Madudu matupu

Sijafuatilia hyo ya koko beach

Lakini unaweza kuta ndo yale yale. Beach itakuwa ya watu wachache tu. Wengine wengi wakaogelee kwenye mabafu yao. Sasa hta kuogelea utatakiwa uwe tajiri

Rais magufuli hawezi kutokupenda vitu vizuri kwa watu wake

Angeshinda yule bebari nahisi angedai apate share kwenye project ya Manji Cocobeach..mradi usonge mbele [kama hunapesa ya kiingilio na kuogelea hakuna kukanyaga manjis cocobeach]. Mungu alitunusuru lkn
 
NYERERE ALIFELI VIBAYA SANA ECONOMICALLY INGAWA ALIFANIKIWA SOCIALLY.
MAREKANI NA WESTERN HUAMINI UKITAKA KUMTAWALA MTU MKONTROL ECONOMICALLY.

sasa Nyerere alidai hataki wawekezaji kwa rasilimali zetu mpaka tupate uwezo wetu wenyewe. tungekaa kusikiliza mawazo hayo tungekaa miaka 1000 labda ndio technology tunngekua tumeipt pamoja na fedha.

hivyo 1992 iliamuliwa kuruhusu uwekezaji katka madini, gesi,elimu,afya,umeme,usafirishaji,viwanda,mawasiliano nk sasa iv kila MTU anasimu,TV vitu vidogo unavovisense where ur. je kusingekuwa na uwekezaji what do u think?.
magufuli nae anataka kumzuia manji asiwekeze cocobeach eti watu wa mazenze wataogelea wapi? uwekezaji huo ulikua haubadilishi matumizi ya public Bali kuboresha ;mazingira na yawe ya kuvutia. issue sio kuzuia uwekexaji Bali mkataba na sheria nzuri zs uwekezaji. Leo mek sadik nae kaogopa anamuomba manji aache uwekezaji pale cocobeach.

hizi Sera za nyerere si zilijifia kitambo kuzifufua na kujisumbua tu.

argue,don't shout!

hata wewe umeanza kuisoma no. kweli mwalimu magufuli Kiboko
wewe umekuwa mtetezi mzuri wa CCM , haya mambo tunayapigia kelele siku nyingi nyie mmekuwa vipofu kwa ushabiki.

nini? sera na itikadi ya chama chenu??? yawezekana Mwalimu magufuli anaongozwa na sera na itikadi ya chama chake, kama sera nimbovu, pia itikadi yenu si muafaka kwa nyakati hizi ndo maana kuna vyama vungine ambavyo vina itikadi na sera mbadala.

kama CCM mnajidai mnafuata sera za kiujamaa mi sioni tatizo kumyanyagaya fisadi ufukwe kwa kuwa ufukwe ni mali ya umma haumilikiwi na mtu binafsi

kinachowatesa ccm ni upopo wenu mara mchana mnakuja na sura ya ujamaa alafu usiku makuja kama mabepari,

hebu kaeni mkubaliane kama chama mtuambie mnatekeleza sera zenu kwa mlengo upi?? baada ya hapo swala la Manji na mengineyo yatakayoibuka huko mbeleni yatkuwa rahisi kudeal nayo??
 
Kama ujamaa wa Nyerere ungefanikiwa tungekuwa taifa pekee Afrika la watu weusi tu linalojitegemea na lililoendelea.Ule ulikuwa ujamaa uliobeba nia njema kwa Tanzania.Sasa hivi hakuna hata hatua moja inayopigwa kuurudia zaidi ya kuingia mikataba inayotufanya watumwa kila siku.

Ye anachofurahia kutumia simu na Tv
 
Back
Top Bottom