Makundi yafuatayo hayawezi kumpatia kura Magufuli.
1. Watumishi wote wa umma waliotia nia kugombea ubunge CCM wakaambulia kukosa mishahara Julai na Agosti.
2. Watumishi wa umma wana CCM ambao walitakiwa kupandishwa madaraja Julai 2020 hawajapandishwa mpaka sasa.
3. Watumishi wana CCM waliofuzwa kwa vyeti feki wakanyimwa na mafao yao.
4. Wafanyabiashara wana CCM waliokadiliwa kodi ya juu ya TRA wakafunga biashara mpaka leo TIN zao zinasoma deni.
5. Wanafunzi wana CCM wote waliokosa mikopo elimu ya juu kuanzia 2015 mpaka sasa.
6. Wahitimu wa vyuo vikuu wana CCM ambao hawajaajiriwa tangu wamalize elimu ya juu.
7. Wapambe wa CCM wa wagombea wa CCM waliopita bila kupingwa ambao wamekimbilia Dar na kuwaacha na njaa majimboni wapambe.
8. Wana CCM walioongoza kura za maoni lakini wamekatwa lawana zao zote ni kwa Magufuli.
9. Wajumbe wote wa kura ya maoni ambao mgombea wao aliongoza lakini amekatwa.
10. Wakulima wa mazao ya biashara wana CCM ambao wananyonywa na vyama vya ushirika na halmashauri kwa kodi kubwa.