Magufuli ataiweza vita dhidi ya Karimjee Jivanjee Family?

Bila shaka report ya CAG umeiona ilichokisema kuhusiana na hao GPSA na uagizaji wa magari ya Toyota.
Naona kweli wameyaleta kwa half price kama ulivyosema mkuu,hahah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mng'ato, nimeisoma ripoti ya CAG na kikweli nimeshituka, nimesikitika na kuhuzunika sana jinsi tunavyopigwa.
Niliongea na CEO mwenyewe wa GIPSA, tena sio mazungumzo makavu tuu bali nilimrekodi na kumtengenezea kipindi, alisema Sasa wanaagiza magari direct kutoka kiwandani kama wafanyavyo UNDP, hadi akanitajia figures za pesa walizo okoa, kumbe ule ulikuwa uongo tuu, yaani anapiga kamba, kuwadanganya Watanzania, huku chini chini wanapiga cha juu.
Nikiamua kuipandisha ile clip humu na kuoanisha na taarifa ya CAG, huyu bosi kuanzia kesho atakuwa hana kazi!, bahati yake mimi Mkristu.
P.
 
Daah mkuu thnxs sama kwa reply,maana nilikua nataka ku-confirm kama jamaa bado wanaendelea kutupiga kama kawaida huku tukiambiwa upigaji umepungua sana.

Thnxs sana mkuu wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah mkuu thnxs sama kwa reply,maana nilikua nataka ku-confirm kama jamaa bado wanaendelea kutupiga kama kawaida huku tukiambiwa upigaji umepungua sana.

Thnxs sana mkuu wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wanaendelea tuu kupiga, na hiyo video clip anayosema sasa wanaagiza directly from Japan, na kunitajia figures tulizo okoa, sasa ni fursa, yaani ni deal!.
P.
 
Ukristo =upigaji/wizi???????....
 
@Pascal Mayalla umeamua kufuga jizi?
Ukristo wako unakuruhusu kufanya jambo hili kivipi?
 
Report ni ya 2017/2018 lkini imeibua mambo hd y mwaka 2010 me ninavojua CEO was GPSA Hana miaka miwili ofisini na anafanya mageuzi makubwa Sana yawezekana kabisa hiyo bulk procurement imefanyika ndani ya hiki kipindi cha Dr Geradine
 
Kwanza nikupongeze kwa kufanya investigative journalism, hapa hofu inayonijia ni pengine labda tokea alipoanza kuagiza direct from Japan bado mkaguzi hajapita.
Kikubwa tujue ni lini wameanza kuagiza moja kwa moja.

Hit direct to the Ntonku
 
Sidhani kaka. Nenda pugu road Toyota pale. Yanayotoka pale mengi ni SU STK STJ nk.why buy direct wakati Kuna dealer anayetoa after sale service and parts?
 
Sidhani kaka. Nenda pugu road Toyota pale. Yanayotoka pale mengi ni SU STK STJ nk.why buy direct wakati Kuna dealer anayetoa after sale service and parts?
Mkuu Kisepi, hii ni ngoma ya 2015 na ilianzia hapa
P.
 
Kwanza nikupongeze kwa kufanya investigative journalism, hapa hofu inayonijia ni pengine labda tokea alipoanza kuagiza direct from Japan bado mkaguzi hajapita.
Kikubwa tujue ni lini wameanza kuagiza moja kwa moja.
Hit direct to the Ntonku
Mkuu Coscated, hakuna IJ yoyote niliyofanya, bali nilifanya ordinary interview na CEO wa GPSA ndio akaniambia wanaagiza direct na kunipa figures kiasi gani wana save, kumbe zilikuwa ni kamba!.
Kumbe zilikuwa ni kamba tuu.
P.
 
Umeona ripot ya CAG bado jamaa wanapiga
 
@Pascal Mayalla umeamua kufuga jizi?
Ukristo wako unakuruhusu kufanya jambo hili kivipi?
No sio kufuga jizi bali ukijua kuwa ukifanya hiki, kitakachomkuta ni kibaya, then unaamua kuacha,
Ila pia hii ni fursa, nikimuwekea zile clips kwenye flash, nikampelekea ofisini, hii ni dili nzuri zaidi.
Ukiwa eneo la Manzese, umekaa kwenye daladala na next seat kwa mbele yao unamshuhudia kibaka, ukamuona amechomoa simu ya mama mmoja na hapo hapo kaamka kuelekea mlango wa kushuka, ukaamka nae, ukamfikia na kumnong'oneza, naiomba hiyo simu, vinginevyo nitakuitia mwizi, atakupa simu, nawe utamrudishia yule mama, ndipo watu wanashtuka. Wewe utabarikiwa kwa ulichokifanya, kibaka atadakwa siku 40 yake ikifika, ungemuita ni kibaka, unajua kitakachomfika.

Ndivyo mimi nilivyo na hizi clips, nikizi release tuu, kuna mtu kesho yake kitaota!. Sio kila madudu ni kulipua tuu, madudu mengine ni fursa.
P.
 
ipambanishe..ukristo ni kusema ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…